Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwa hiyo mkenda vitani mtakuwa mnapasua mawe na mbao kwa vichwa 😄Acha dharau dogo umewahi pita hata JKT angalau kwa miaka miwili ?
Nyie madogo ni wapumbavu sana mmezungukwa na manchi yaliyokosa amani na bado mpo safe leo mnaleta dharau kwa JWTZ ?Kwa hiyo mkenda vitani mtakuwa mnapasua mawe na mbao kwa vichwa 😄
Ova