Hawa ambao mwezi wa nne wapo gaza inayo zidiwa ukubwa na kigamboni lakini wakashindwa kuiteka na kuwapata mateka dhidi ya migambo ya jiji sasa wakija tz hiyo IDF tofauti yake na jwtz ni mashoga walio jaa humo.IDF hakuna wenye miili kama jamaa ila msako wanaotembeza GAZA mabikra 72 kuzimu ndio wanauelewa vizur.
Kwani huko mashimoni wanakaa milele?Sasa ww siumetuambua kuwa Hamas wako mashimoni ? kwahiyo labda wanajeshi wake watakuwa wanauliwa na majini maimuna.
Uhusiano wa jeshi letu na raia siyo mzuri hivyo usilazimishe lipendwe. Acheni kuwa mnapiga na kutesa raia kisa tu mmoja wenu kafumaniwa huko na mke wa mtu na kupigwa mtama. Always remember that an army unit without discipline is nothing but a bunch of hooligans!Nyie madogo ni wapumbavu sana mmezungukwa na manchi yaliyokosa amani na bado mpo safe leo mnaleta dharau kwa JWTZ ?
Mnalala mnaamka salama siku kucha mnajambiana na mademu zenu huko hamjui kwamba kuna watu wanakesha ili ninyi muwe safe au unafikiri wanafanya maigizo.
Hata kama CCM huipendi ila linapo fika suala la JWTZ kulinda nchi wape heshima yao usiite maigizo shenzi kabisa.
Kwani huko mashimoni wanakaa milele?
Si kuna muda wanatoka kutafuta mahitaji ya kuwafanya waendelee kusurvive humo shimoni ndio hapo wanakutana na kipigo.
Acha uzezeta
Wapo Sasa hivi ndio, ila hio mission iliofanywa wakati huo ilifanikiwa na wakapigwa. Kama wewe mgeni JF huwezi jua hili ila Kuna nyuzi nyingi sana humu za Jwtz na M23 miaka ya 2012-2014. Mpaka Kagame akawa analia lia. So far Ukanda wetu ni Jwtz pekee ambao waliweza kuwapiga Hawa jamaa kwa ufanisi mkubwa.Mbona M23 bado wapo.
📌📌📌📌📌📌📌👏👏👏👏👏👏Nchi inajilinda hii. Amani ya nchi hii siyo kwasabb ya jeshi. Ni aina ya watu wake. Wajinga waliojaa uoga na hofu.
Mitafaruku ya nchi jirani haisababishwi na uvamizi au udhaifu wa majeshi yao. Ni kwasabb ya aggressiveness ya wananchi wake.
Hayo maswala ya jeshi teule utajadili na wadini wenzako wanaoamini kwenye uteuleKwa hiyo wakitoka kufuata mahitaji ndo wanatoka wanawauwa wanajeshi wa jeshi teule?
Alafu kwa sasa gaza ni mahitaji gani ambayo watatoka kuyatafuta?
Tofauti ya IDF na JWTZ ni kuwa idf imejaa mashoga na wafukuana mitaro .
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sio kwamba tu ni ajira, Bali ni ajira yenye mapato makubwa.Aliyekwambia jeshi ni ajira ni nani mkuu?? Tuanzie hapo.
Mimi Sina silaha Wala sifanyi mazoezi ya mabavu maana naweza kupata kwa njia nyingine za halali. Lakini hawatishi kihivyo. Hizo sifa kawaambie wajichanganye na wenye mazoezi kama wao ndio watafurahia show.Subiri uje uingie kwenye anga zao upapaswe kalio ndo utaiona kazi ya kuvunja matofari.
Nashukuru kwa kunipa jambo jipya ambalo sikulijua hapo kabla.Sio kwamba tu ni ajira, Bali ni ajira yenye mapato makubwa.
Hicho wanachokifanya JWTZ ni upumbavu mkubwa. Dunia iko mbali sana kwenye teknolojia za kivita, hayo mazingaombwe wangewaachia mgambo wa jijiNyie madogo ni wapumbavu sana mmezungukwa na manchi yaliyokosa amani na bado mpo safe leo mnaleta dharau kwa JWTZ ?
Mnalala mnaamka salama siku kucha mnajambiana na mademu zenu huko hamjui kwamba kuna watu wanakesha ili ninyi muwe safe au unafikiri wanafanya maigizo.
Hata kama CCM huipendi ila linapo fika suala la JWTZ kulinda nchi wape heshima yao usiite maigizo shenzi kabisa.
Mbona kama wewe ndiye FALAUngekuwa hauwaogopi ungekuwa unatumia ID feki fala ww.