Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Hii nchi inaongozwa na Cartels.Kwa huu unyang'anyi sasa hapa tuna tofauti gani na zile nchi za south america ambazo zinaongozwa na magenge ya wahalifu?
Hii serikali ya ccm chini ya Samia imefanya maovu mengi kwa wanainchi wake kuliko hata serikali ya Bokassa wa afrika ya kati.
Kiukweli kwa level tuliyofikia binafsi niko tayari hata kutawaliwa na freedom fighters groups kama M23 au Ambazonia kuliko kuendelea kuwa chini ya CCM hii ya sasa.
Sasa utafanyeje?Kwa huu unyang'anyi sasa hapa tuna tofauti gani na zile nchi za south america ambazo zinaongozwa na magenge ya wahalifu?
Hii serikali ya ccm chini ya Samia imefanya maovu mengi kwa wanainchi wake kuliko hata serikali ya Bokassa wa afrika ya kati.
Kiukweli kwa level tuliyofikia binafsi niko tayari hata kutawaliwa na freedom fighters groups kama M23 au Ambazonia kuliko kuendelea kuwa chini ya CCM hii ya sasa.
Wewe umeondoka Tanzania kipindi CDF ni Waitara alikuwa anawabania sana Wanajeshi kwenda shule.JWTZ wanajua nini kuhusu kuongoza nchi?
Sijawahi kukutana na mwanajeshi yeyote yule wa JWTZ aliye na akili.
Kuweni waangalifu na mchokitaka/ mnachokitamani.
Niliondoka lini?Wewe umeondoka Tanzania kipindi CDF ni Waitara alikuwa anawabania sana Wanajeshi kwenda shule.
Sasahivi Jeshi lina watu wengi wenye akili na wanaojitambua.
Mwamunyange alibadilisha sana Jeshi letu kulifanya kuwa la Wasomi na Wanaojielewa.
Exception zipo chache kama huyu CDF chawa Mkunda ambaye eti anatembelea mikoa na kujipeleka Ofisi za Wakuu wa Mikoa.
Kampuni yenye mahusiano na mtoto wa Rais Abdul inapewa tenda za kuchimba Maliasili za Taifa kwenye moja ya mkoa masikini zaidi Tanzania.
Kampuni hii inachimba madini ya Makaa ya Mawe kwa kiwango cha kutisha na kuyasafirisha nje ya nchi.
Kampuni nyingine ya swahiba wa Rais Rostam Aziz inapewa kibali cha kuchomba Makaa ya Mawe kwa bei ya kutupa kwenye mkoa huo huo wenye umasikini wa kutisha.
Kampuni ya Mtoto wa Rais pia inapewa tenda ya kuingiza sukari nchini na kuwauzia Wananchi.
Haya yote yanafanyika huku Watanzania wakizidi kuwa masikini. Hawana maji safi na salama ya uhakika. Hawapati madawa hospitalini.
Haya yote yanafanyika huku Amiri Jeshi Mkuu, Mtoto wake na mkwe wake wakiongoza makundi ya kuwateka, kuwapoteza na kuwaua Watanzania wasio na hatia wanaopaza sauti kukataa uovu.
Endapo JWTZ hawatachukua hatua sasa nitaungana na Watanzania kusema kwa sauti moja tuna Jeshi la Kipumbavu haijawahi tokea na ni heri libadilishwe jina na lisiitwe tena Jeshi la Wananchi.
View attachment 3491456View attachment 3491457View attachment 3491458View attachment 3491459
Uliondoka wewe alafu unaniuliza mimi? We endelea kubeba maboksi huko ughaibuni.Niliondoka lini?
Kama Mkunda anakula na Mafisadi, Wanajeshi wazalendo wamshughulikie nae na kumuondoa kama walivyofanya wa MadagascarNaamini kabisa, samia anakula na kina mkunda.
Tunalipa kodi zinaenda kwa Abdul, Chivayo, Kizigha,Mombo, Wambura, Kikwete, posho kwa wenza wa viongozi na kujenga Zanzibar. Wananchi wanazidi kuwa maskini.Hiyo ni miaka minne tu hahahaahaha
Acha ujuaji. Niliondoka lini?Uliondoka wewe alafu unaniuliza mimi? We endelea kubeba maboksi huko ughaibuni.
Inaumiza sana.Tunalipa kodi zinaenda kwa Abdul, Chivayo, Kizigha,Mombo, Wambura, Kikwete, posho kwa wenza wa viongozi na kujenga Zanzibar. Wananchi wanazidi kuwa maskini.