Kabisa na ushadi upo, kwanza bila tawala za kijeshi kuituliza ile nchi biafran war ingewamaliza.Project kubwa za maendeleo nchini Nigeria zilifanywa na Jeshi likiwa madarakani
Kabisa na ushadi upo, kwanza bila tawala za kijeshi kuituliza ile nchi biafran war ingewamaliza.Project kubwa za maendeleo nchini Nigeria zilifanywa na Jeshi likiwa madarakani
Baada ya tawala za kijeshi kufika tamati huo uporaji umeisha??? Mafuta yao yameacha kuchimbwa na makampuni ya waingereza? Na sakata la biafra muafaka ulishapatikana?Walipora matrilioni ya fedha za Wananchi wa Nigeria.
Sasa hivi hakuna mnigeria anayetaka utawala wa kijeshi hata kuisikia.
Ghala ni nchi, Mazao ni keki ya taifa inayotakiwa kunufaisha watu wote, panya ni mafisadi, watekaji, waharibu uchumi n.kMfano wako wa panya ni wa kipuuzi mno na wala hauna logical relevance na hiki tunachokiongelea hapa...
Kwamba una maanisha tukiwa na utawala wa jeshi utatuumiza zaidi wote kuliko huu utawala ccm ambao unatuumiza wengi huku wengine mkineemeka sio?
Kama hicho ndio unachomaanisha kwenye mfano wako huo wa panya, basi acha niusapoti.
Hakika ni heri woote tuumie kabisa au wote tukose kuliko kuendelea kuumizwa na kundi la wachache na ndio maana huko mwanzo kwenye moja ya comments zangu nilisema kabisa kama JTWZ watashindwa basi waje hata M23 watutawale na nina sababu za msingi za kuwa na mawazo haya.
Ila sasa isipokuwa hivi tukubali hali iliyopo sasa ya nchi kuongozwa na huyu mama na familia yake, huku wakijipa tenders zote na kumaliza rasilimali zote kwa watu wao na makampuni yao. Bado utekaji , uonevu, ufisadi kila kona, maendeleo hakuna! Kwa kweli huyu Mama ametuingiza kwenye mkwamo mkubwa sana wa kisiasa na hata kiuchumi (hii itaonekana right after uchaguzi). Kajua kutuharibia nchi.Hivi kile kiti unakielewa mkuu? Mpito? Mpito kwenye kiti cha uraisi Africa hii? Sijui, Kuna mambo unaweza yatamani ila yakitokea unajuta hata kwanini uliyafikiria. Jeshi libaki na majukumu yake ya kijeshi, raia tuwe na serikali ya kiraia, tuwe na Katiba sahihi inayoiwajibisha. Jeshi lichukue nchi? Hapana. Haya ni maoni yangu lakini. Tanzania tupo M60.
Mpumbavu ni wewe. Tulia tuwaoneshe Wanajeshi wetu kipi wanapaswa kufanya?We ni mpuuzi tu tena mpumbavu tu,
Hii nchi haitaongozwa na Jeshi bwege wewe.
Aliyemuweka hapo huyo mama si Mwanajeshi?
Unategemea nini
JWTZ malizeni hili suala tuanze upya.Kampuni yenye mahusiano na mtoto wa Rais Abdul inapewa tenda za kuchimba Maliasili za Taifa kwenye moja ya mkoa masikini zaidi Tanzania.
Kampuni hii inachimba madini ya Makaa ya Mawe kwa kiwango cha kutisha na kuyasafirisha nje ya nchi.
Kampuni nyingine ya swahiba wa Rais Rostam Aziz inapewa kibali cha kuchomba Makaa ya Mawe kwa bei ya kutupa kwenye mkoa huo huo wenye umasikini wa kutisha.
Kampuni ya Mtoto wa Rais pia inapewa tenda ya kuingiza sukari nchini na kuwauzia Wananchi.
Haya yote yanafanyika huku Watanzania wakizidi kuwa masikini. Hawana maji safi na salama ya uhakika. Hawapati madawa hospitalini.
Haya yote yanafanyika huku Amiri Jeshi Mkuu, Mtoto wake na mkwe wake wakiongoza makundi ya kuwateka, kuwapoteza na kuwaua Watanzania wasio na hatia wanaopaza sauti kukataa uovu.
Endapo JWTZ hawatachukua hatua sasa nitaungana na Watanzania kusema kwa sauti moja tuna Jeshi la Kipumbavu haijawahi tokea na ni heri libadilishwe jina na lisiitwe tena Jeshi la Wananchi.
View attachment 3491456View attachment 3491457View attachment 3491458View attachment 3491459
Hujui unachokiongea wewe pakaJwtz wenyewe waoga,ndio watachukua hii nchi.kweli
No hata wasipoongoza wao, wataselect right leaders kulingana na matakwa ya Wananchi...lile ni jeshi la WananchiJWTZ wanajua nini kuhusu kuongoza nchi?
Sijawahi kukutana na mwanajeshi yeyote yule wa JWTZ aliye na akili.
Kuweni waangalifu na mchokitaka/ mnachokitamani.
Tunaanza kupata majibu. Kama nilivyosema huko juu jeshi linaweza kuchukua nchi. Likaweka serikali ya mpito, utawala wa Technocrats. Mfano mzuri ni kama serikali ya Mpito ya Bangladesh chini ya Dr Yunus.Siyo mbali muda utatupa majibu.