JWTZ, kwa huu Ufisadi unaoendelea nchini, tukubaliane tu muongoze kipindi cha mpito kulipatia Taifa Katiba Mpya

JWTZ, kwa huu Ufisadi unaoendelea nchini, tukubaliane tu muongoze kipindi cha mpito kulipatia Taifa Katiba Mpya

29 mzee ni kuingia road..
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Wewe umeondoka Tanzania kipindi CDF ni Waitara alikuwa anawabania sana Wanajeshi kwenda shule.

Sasahivi Jeshi lina watu wengi wenye akili na wanaojitambua.

Mwamunyange alibadilisha sana Jeshi letu kulifanya kuwa la Wasomi na Wanaojielewa.

Exception zipo chache kama huyu CDF chawa Mkunda ambaye eti anatembelea mikoa na kujipeleka Ofisi za Wakuu wa Mikoa.
Nkunda ni zaidi ya chawa and very useless
 
JWTZ wanajua nini kuhusu kuongoza nchi?

Sijawahi kukutana na mwanajeshi yeyote yule wa JWTZ aliye na akili.

Kuweni waangalifu na mchokitaka/ mnachokitamani.
Hawawezi kuwa wa hovyo kuliko genge la Samia. Sio lazima waongoze nchi moja kwa moja kunakuwa na serikali ya mpito wao wakisimamia ulinzi na usalama na kudhibiti mtandao wa wahuni.

Hadi nchi ipate katiba mpya, kujenga mifumo ya nchi upya, kuwapata mateka wote, kurudisha rasilimali za nchi kwa umma na kuwafikisha mahakamani wahuni wote.

Mfano mzuri ni Bangladesh chini ya Technocrat Muhamad Yunus baada ya wanafunzi, gen Z kumtimua Shikh Hasina. Tanzania inaweza kuwa chini ya Warioba kwa muda wa mpito.
 
JWTZ wanajua nini kuhusu kuongoza nchi?

Sijawahi kukutana na mwanajeshi yeyote yule wa JWTZ aliye na akili.

Kuweni waangalifu na mchokitaka/ mnachokitamani.
Unamaanisha wamesahau Mzee Jakaya na akina Kinana wametoka jeshini.
 
Tunahitaji Katiba itakayowezesha uwajibikaji wa serikali ya kiraia na sio kuruhusu serikali ya kijeshi na inawezekana kabisa hata kupitia chama tawala.

Watu tufanye biashara, tulipe Kodi, tuuze madini, tuingize watalii, tukopesheke na taasisi za kimataifa.

Ukishawaonjesha wanajeshi utamu wa siasa hata wakitoka ni suala La muda watataka tena au indirectly watafanya siasa.

Na nchi inayobadilika badilika mara serikali ya kijeshi mara ya kiraia inaweza sababisha hata hayo mapato ambayo tunayapata Kisha yanafisadiwa as you claim yasiwepo kabisa tukabaki tunaangaliana.
 
Tukubali huyo Kizimkazi na watu wake hawana elimu
Hivi unatumiaje kampuni 1 kuiba
ITEL ni Kampuni simu
ITEL ndo mwenye tender ya sukari ambayo inaua ufanisi wa viwanda vya ndani

ITEL ndo anafanya estate na buildings
Etel ndo anachimba makaa ya mawe

Huyu Abduli ni muuwaji hana huruma na Watanganyika ana ubinafsi anajali tumbo lake na Wazanzibar tu
 
Hivi mkuu kwa akili zake kabisa timamu unaamini JWTZ haijatiwa mfukoni na CCM?

Si JWTZ hiihii
ilikutwa na 3 trilion za mnadhimu mkuu wa Jeshi Bwana Shimbo enzi za Jakaya?

Hayati Magufuli ndo akalifanya Jeshi lake binafsi, siku za maandamano Jeshi linafagia barabara kama wehu. Makonda naye akawa analipeleka peleka tu enzi za Magufuli. Jeshi likawa linabangua korosho kwa meno, umesahau nini mkuu? Likaharibu uchaguzi Zanzibar kuua upinzani kabisa?

Si jeshi hilihili nalo limejitokeza linafanya mazoezi na polisi, watu wanatekwa na kuuwawa, umewahi kulisikia likitoa tamko? Ndo maana kule Congo limechapika sana, CCM imeshaharibu kila kitu cha nchi.

Pole sana Mkuu, akili yako ifunguke uwaze mbali.
 
Tunahitaji Katiba itakayowezesha uwajibikaji wa serikali ya kiraia na sio kuruhusu serikali ya kijeshi na inawezekana kabisa hata kupitia chama tawala.

Watu tufanye biashara, tulipe Kodi, tuuze madini, tuingize watalii, tukopesheke na taasisi za kimataifa.

Ukishawaonjesha wanajeshi utamu wa siasa hata wakitoka ni suala La muda watataka tena au indirectly watafanya siasa.

Na nchi inayobadilika badilika mara serikali ya kijeshi mara ya kiraia inaweza sababisha hata hayo mapato ambayo tunayapata Kisha yanafisadiwa as you claim yasiwepo kabisa tukabaki tunaangaliana.
Jeshi likitumika kwa maslahi mapana ya Taifa ni jambo la kheri.

TISS wamekuwa washenzi. Polisi ndo vichaa kabisa. Mahakama wamekuwa mazuzu huku Taasisi zingine zikiwa zimejifia kabisa.

Jeshi wachukue tu hatua.
 
Hawawezi kuwa wa hovyo kuliko genge la Samia. Sio lazima waongoze nchi moja kwa moja kunakuwa na serikali ya mpito wao wakisimamia ulinzi na usalama na kudhibiti mtandao wa wahuni.

Hadi nchi ipate katiba mpya, kujenga mifumo ya nchi upya, kuwapata mateka wote, kurudisha rasilimali za nchi kwa umma na kuwafikisha mahakamani wahuni wote.

Mfano mzuri ni Bangladesh chini ya Technocrat Muhamad Yunus baada ya wanafunzi, gen Z kumtimua Shikh Hasina. Tanzania inaweza kuwa chini ya Warioba kwa muda wa mpito.
Hivi kile kiti unakielewa mkuu? Mpito? Mpito kwenye kiti cha uraisi Africa hii? Sijui, Kuna mambo unaweza yatamani ila yakitokea unajuta hata kwanini uliyafikiria. Jeshi libaki na majukumu yake ya kijeshi, raia tuwe na serikali ya kiraia, tuwe na Katiba sahihi inayoiwajibisha. Jeshi lichukue nchi? Hapana. Haya ni maoni yangu lakini. Tanzania tupo M60.
 
Kuna shida gani? Mbona Jerry Rawlings alifanya hivyo Ghana?

Inawezekana Jeshi kuongoza kipindi cha mpito.
 
Mtoa mada baada ya kushiba magimbi na mihogo apo kwa shemeji yako umeamua kuja huku jf na porojo zako!!
Ivi unajua hao jeshi wakishika nchi wewe adi stage hiyo utakuwa na hali gani?
Hata chakula cha kula tu siku mbili za hayo maandamano hauna!
Toka kwa shemeji yako kwanza ndo utake maandamano.!
 
Jeshi likitumika kwa maslahi mapana ya Taifa ni jambo la kheri.

TISS wamekuwa washenzi. Polisi ndo vichaa kabisa. Mahakama wamwkuwa mazuzu huku Taasisi zingine zikiwa Imejifia kabisa.

Jeshi wachukue tu hatua.
Wanajeshi sio wanasiasa, wapo trained kulinda, kuua, kuzuia, kutoa maelekezo na wakitegemea yafuatwe bila kuhojiwa. Sasa uwape jukumu La kiraia?
 
Tanzania Ni Nchi Tajiri Sana Kama Tukiwa Viongozi Wenye Maono

Hata Hizi Tozo Au Ushuru Midogo Midogo Ambayo Ipo Chin Ya Hizi Halmashauri Zisingekuwepo Kwan Bado ZinaKandamiza Jamii Inayoishi Maisha Ya Chin
Kodi zinatakiwa kuwa means tested, PAYE, unalipa kutokana na kipato chako.

Ukiwa na kipato kidogo mfano chini ya milioni kwa mwaka hulipi kodi. 1.1M hadi 10M unalipa 10%. 11m hadi 50m, 20%. 50.1m hadi 500 unalipa 30%. Zaidi ya 500.1m unalipa 40%.

Hii itasaidia biashara ndogondogo na wananchi wenye vipato vidogo. Hawa ndio inatakiwa wapewe ruzuku, taxi credit.

Ondoa ruzuku kwenye vyama vya siasa, kuwapa hongo ya VX wagombea wa Urais, posho kwa wenza wa viongozi, punguza msululu kwenye msafara wa Rais, pesa zinazookolewa peleka kwa wananchi maskini.
 
Kuna shida gani? Mbona Jerry Rawlings alifanya hivyo Ghana?

Inawezekana Jeshi kuongoza kipindi cha mpito.
Hatujafika hiyo hatua. Tena ni raisi zaidi Jeshi kushinikiza Katiba mpya kuliko wao kupewa jukumu La kiraia.
 
Back
Top Bottom