JWTZ, kwa huu Ufisadi unaoendelea nchini, tukubaliane tu muongoze kipindi cha mpito kulipatia Taifa Katiba Mpya

Hivi kile kiti unakielewa mkuu? Mpito? Mpito kwenye kiti cha uraisi Africa hii? Sijui, Kuna mambo unaweza yatamani ila yakitokea unajuta hata kwanini uliyafikiria. Jeshi libaki na majukumu yake ya kijeshi, raia tuwe na serikali ya kiraia, tuwe na Katiba sahihi inayoiwajibisha. Jeshi lichukue nchi? Hapana. Haya ni maoni yangu lakini. Tanzania tupo M60.
Hawawezi kuwa wa hovyo kuliko genge la Samia. Sio lazima waongoze nchi moja kwa moja kunakuwa na serikali ya mpito wao wakisimamia ulinzi na usalama na kudhibiti mtandao wa wahuni.

Hadi nchi ipate katiba mpya, kujenga mifumo ya nchi upya, kuwapata mateka wote, kurudisha rasilimali za nchi kwa umma na kuwafikisha mahakamani wahuni wote.

Mfano mzuri ni Bangladesh chini ya Technocrat Muhamad Yunus baada ya wanafunzi, gen Z kumtimua Shikh Hasina. Tanzania inaweza kuwa chini ya Warioba kwa muda wa mpito.
 
Serikali ya kiraia inaweza dhibitiwa na raia Tena kupitia Chama tu iwapo kweli raia hawaitaki.

Kumbuka kuwa tupo M30+. Kama hata chini ya 1/2 Hawataki serikali iendelee wala hata huitaji Jeshi. Pale pale CCM ndani kutakuwa na pressure isiyoelezeka.
 
Jeshi linatakiwa kusimama nyuma ya hao raia. Pia kuwakamata wahuni wote na kuwahifadhi sehemu salama kuhakikisha hawafanyi figisu yoyote kuidhoofisha serikali ya kiraia.

Kuhakikisha katiba mpya inapatikana, mali za nchi zilizoibiwa zinarudishwa mikononi kwa umma na kurudishwa kwa mateka wote wa kisiasa, na wafungwa wa kisiasa kuachiliwa.

Mambo yaki- stabilize wanarudi kambini. Kwa kifupi wanadhibiti mambo kwa muda mfupi kutoa nafasi viongozi wa kiraia kuweka mambo sawa bila kukwamishwa na wahuni.

Bila jeshi kudhibiti kipindi cha mpito kunaweza kutokea machafuko yakiwadhaminiwa na wahuni. Wahuni sasa hivi wana control pesa zote za nchi na vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Wanaweza kutumia kodi zetu na vyombo vya dola kufanya mauaji, machafuko.
 
Hatujafika hiyo hatua. Tena ni raisi zaidi Jeshi kushinikiza Katiba mpya kuliko wao kupewa jukumu La kiraia.
Hatujafika kivipi?

Huoni huu Ufisadi? Huoni mfumo yote ilivyokuwa compromised?

Huoni watu wanavyotekwa, kuuwawa na kupotezwa?
 
Kodi zinatakiwa means tested, PAYE, unalipa kutokana na kipato chako.

Ukiwa na kipato kidogo mfano chini ya milioni kwa mwaka hulipi kodi. 1.1M hadi 10M unalipa 10%. 11m hadi 50m 20%. 50.1m hadi 500 unalipa 30%. Zaidi ya 500.1m unalipa 40%.

Hii itasaidia biashara ndogondogo na wananchi wenye vipato vidogo. Hawa ndio inatakiwa wapewe ruzuku, taxi credit.

Ondoa ruzuku kwenye vyama vya siasa, kuwapa hongo ya VX wagombea wa Urais, posho wenza wa viongozi, punguza msululu kwenye msafara wa Rais pesa zinazookolewa peleka kwa wananchi maskini.
Naunga Mkono
 
Jwtz wenyewe waoga,ndio watachukua hii nchi.kweli
Hawatakiwi kuendekeza uoga. Wameshadharauliwa sana hadi Kagame kaanza kuwachukulia poa.

Waanze kuchukua hatua kujitenga na upumbavu wa CCM ili warudishe unyeti wao na heshima yao sio tu kwa Wananchi bali kwa Mataifa mengine ya Afrika.
 
Hawa JW kama vipi wanaleta uoga watupe chuma wananchi tuingie wenyewe frontline

Nchi imevamiwa na wavamizi wanajulikana ila jeshi lime mute tu!
Waache kuwasikiliza hawa majenerali aao wanaokatiwa milungula na hawa mafisadi wa CCM
 
Jeshi linatakiwa kusimama nyuma ya hao raia. Pia kuwakamata wahuni wote na kuwahifadhi sehemu salama kuhakikisha hawafanyi figisu yoyote kuidhoofisha serikali ya kiraia.

Kuhakikisha katiba mpya inapatikana, mali za nchi zilizoibiwa zinarudishwa mikononi kwa umma na kurudishwa kwa mateka wote wa kisiasa, na wafungwa wa kisiasa kuachiliwa.

Mambo yaki- stabilize wanarudi kambini. Kwa kifupi wanadhibiti mambo kwa muda mfupi kutoa nafasi viongozi wa kiraia kuweka mambo sawa bila kukwamishwa na wahuni.

Bila jeshi kudhibiti kipindi cha mpito kunaweza kutokea machafuko yakiwadhaminiwa na wahuni.
Mkuu, Jeshi siku zote hata Sasa linadhibiti usalama wa nchi. Mambo ya jinai ndani ya nchi ni mambo ya kiraia siyo kijeshi. Watu wazima M30+, vyama vya siasa kikiwemo Chama tawala hawashindwi kubadili uongozi kama Kuna ulazima huo. Ni vile, Kuna Kundi La watu wachache mno wanaopigania hili unalolisema na wengi wao ni mitandaoni. Sasa kama watu >27m<29m wapo kimya utegemee watu >1m<3m na hapo <100 ndo wanaongea live ndo wafanikishe kumtoa raisi? Kenya tu hapo Waliingia wa kutosha barabarani na raisi hakutoka.
 
Jeshi linatakiwa kusimama nyuma ya hao raia. Pia kuwakamata wahuni wote na kuwahifadhi sehemu salama kuhakikisha hawafanyi figisu yoyote kuidhoofisha serikali ya kiraia.

Kuhakikisha katiba mpya inapatikana, mali za nchi zilizoibiwa zinarudishwa mikononi kwa umma na kurudishwa kwa mateka wote wa kisiasa, na wafungwa wa kisiasa kuachiliwa.

Mambo yaki- stabilize wanarudi kambini. Kwa kifupi wanadhibiti mambo kwa muda mfupi kutoa nafasi viongozi wa kiraia kuweka mambo sawa bila kukwamishwa na wahuni.

Bila jeshi kudhibiti kipindi cha mpito kunaweza kutokea machafuko yakiwadhaminiwa na wahuni. Wahuni sasa hivi wana control pesa zote za nchi na vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Wanaweza kutumia kodi zetu na vyombo vya dola kufanya mauaji, machafuko.
Mkuu, Jeshi siku zote hata Sasa linadhibiti usalama wa nchi. Mambo ya jinai ndani ya nchi ni mambo ya kiraia chini ya majeshi ya kiraia.

Watu wazima M30+, vyama vya siasa kikiwemo Chama tawala hawashindwi kubadili uongozi kama Kuna ulazima huo. Ni vile, Kuna Kundi La watu wachache mno wanaopigania hili unalolisema na wengi wao ni mitandaoni.

Sasa kama watu >27m<29m wapo kimya utegemee watu >1m<3m na hapo <100 ndo wanaongea live ndo wafanikishe kumtoa raisi? Kenya tu hapo Waliingia wa kutosha barabarani na raisi hakutoka.
 
Mkuu, Jeshi siku zote hata Sasa linadhibiti usalama wa nchi. Mambo ya jinai ndani ya nchi ni mambo ya kiraia siyo kijeshi. Watu wazima M30+, vyama vya siasa kikiwemo Chama tawala hawashindwi kubadili uongozi kama Kuna ulazima huo. Ni vile, Kuna Kundi La watu wachache mno wanaopigania hili unalolisema na wengi wao ni mitandaoni. Sasa kama watu >27m<29m wapo kimya utegemee watu >1m<3m na hapo <100 ndo wanaongea live ndo wafanikishe kumtoa raisi? Kenya tu hapo Waliingia wa kutosha barabarani na raisi hakutoka.
Kenya ni Kenya na Tanzania ni Tanzania.

Sie tunaliomba Jeshi lisisubiri maandamano yawe ya muda mrefu siku ya kwanza tu waingie ikulu na kuwatoa hawa vibaka na mafisadi CCM.
 
Kwanza hayo maandamano yawepo, pili yawe kwa idadi inayotosheleza kutodhibitika, Tatu serikali itumie njia ya utatuzi ambayo inailazimisha Jeshi kuingilia Kati. Yakitokea haya upo sahihi.
 
Nchi ngumu hii, wakati mgombea anaendelea kuomba Kura wenzetu huku wanatekwa na ushahidi uko wazi, baadae jeshi letu pendwa wanasimama kutuhakikishia kwamba usalama wa raia ni aslimia 100

Nachoka mimi
 
Mkuu, Jeshi siku zote hata Sasa linadhibiti usalama wa nchi. Mambo ya jinai ndani ya nchi ni mambo ya kiraia siyo kijeshi. Watu wazima M30+, vyama vya siasa kikiwemo Chama tawala hawashindwi kubadili uongozi kama Kuna ulazima huo. Ni vile, Kuna Kundi La watu wachache mno wanaopigania hili unalolisema na wengi wao ni mitandaoni. Sasa kama watu >27m<29m wapo kimya utegemee watu >1m<3m na hapo <100 ndo wanaongea live ndo wafanikishe kumtoa raisi? Kenya tu hapo Waliingia wa kutosha barabarani na raisi hakutoka.

Yanayoendelea Tanzania ni zaidi ya jinai. Yanahatarisha amani, haki, maisha, muungano, mshikamano wa Watanzania. Yanahatarisha kuwepo kwa nchi ya Tanzania.

Kuuza bandari, misitu, mbuga, viwanja vya ndege, kujilimikisha rasilimali za nchi kama madini, kuiba chaguzi zote, kuweka ndugu zake serikalini, kuliweka bunge, mahakama, TISS, polisi, CCM, vyama vyote vya siasa mfukoni, kuligawanya taifa kidini, kikabila na kivyama. Kuteka, kutesa, kupoteza watu unaona haya ni mambo madogo siyo.

Polisi, usalama wanakamata wananchi hovyo, mahakama hazitendi haki, bunge, CCM ni machawa.

Mambo makubwa kwako ni yapi?
 
JWTZ wanajua nini kuhusu kuongoza nchi?

Sijawahi kukutana na mwanajeshi yeyote yule wa JWTZ aliye na akili.

Kuweni waangalifu na mchokitaka/ mnachokitamani.
Ni bora JWTZ kuliko utawala huu wa kijinga kila uchwao wanatekwa watu na kupotezwa, kwa utawala huu tuendelee kuishi hivi.
 
Changamsha kijiwe mwamba..
Siku hz jf ni kijiwe kama vijiwe vya kahawa kwa sababu ya makumma kama haya!
 
Kwanza hayo maandamano yawepo, pili yawe kwa idadi inayotosheleza kutodhibitika, Tatu serikali itumie njia ya utatuzi ambayo inailazimisha Jeshi kuingilia Kati. Yakitokea haya upo sahihi.
Jerry Rawlings alichukua nchi Ghana akiwa Luteni bila hata kuwepo na maandamano.

Jeshi kama kuchukua hatua lnaweza kuchukua hatua hata muda huu.
 
Yanayoendelea Tanzania ni zaidi ya jinai. Yanahatarisha amani, haki, maisha, muungano, mshikamano wa Watanzania. Yanahatarisha kuwepo kwa nchi ya Tanzania.

Kuuza bandari, misitu, mbuga, viwanja vya ndege, kujilimikisha rasilimali za nchi kama madini, kuiba chaguzi zote, kuweka ndugu zake serikalini, kuliweka bunge, mahakama, TISS, polisi, CCM, vyama vyote vya siasa mfukoni, kuligawanya taifa kidini, kikabila na kivyama. Kuteka, kutesa, kupoteza watu unaona haya ni mambo madogo siyo.

Mambo makubwa kwako ni yapi?
Mkuu, Haya ni madai. Madai ya kwenye mitandao ambayo unatakiwa kuushawishi Uma kwa ushahidi ili uchukue hatua.

Ukumbuke, watu wazima 18+ hii nchi tupo 30M+. Unahitaji sapoti ya >5m<10m tu kufanikisha mission.
 
Kampuni yenye mahusiano na mtoto wa Rais Abdul inapewa tenda za kuchimba Maliasili za Taifa kwenye moja ya mkoa masikini zaidi Tanzania.

Kampuni hii inachimba madini ya Makaa ya Mawe kwa kiwango cha kutisha na kuyasafirisha nje ya nchi.

Kampuni nyingine ya swahiba wa Rais Rostam Aziz inapewa kibali cha kuchomba Makaa ya Mawe kwa bei ya kutupa kwenye mkoa huo huo wenye umasikini wa kutisha.

Kampuni ya Mtoto wa Rais pia inapewa tenda ya kuingiza sukari nchini na kuwauzia Wananchi.

Haya yote yanafanyika huku Watanzania wakizidi kuwa masikini. Hawana maji safi na salama ya uhakika. Hawapati madawa hospitalini.

Haya yote yanafanyika huku Amiri Jeshi Mkuu, Mtoto wake na mkwe wake wakiongoza makundi ya kuwateka, kuwapoteza na kuwaua Watanzania wasio na hatia wanaopaza sauti kukataa uovu.

Endapo JWTZ hawatachukua hatua sasa nitaungana na Watanzania kusema kwa sauti moja tuna Jeshi la Kipumbavu haijawahi tokea na ni heri libadilishwe jina na lisiitwe tena Jeshi la Wananchi.
View attachment 3491456View attachment 3491457View attachment 3491458View attachment 3491459
Tarehe 29 ndio siku Yetu ya kipekee tusiiichezee
Inaumiza sana.

Hii nchi tusipoitumia vizuri Oktoba 29 kuwashughulikia hawa majambazi tutajuta milele.
 
Back
Top Bottom