ighaghe
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,367
- 3,304
Mkuu, Kama ni Kenya ni 🇰🇪 na Tanzania ni 🇹🇿, hata Ghana ni 🇬🇠na Tanzania ni 🇹🇿.Jerry Rawlings alichukua nchi Ghana akiwa Luteni bila hata kuwepo na maandamano.
Jeshi kama kuchukua hatua lnaweza kuchukua hatua hata muda huu.
Bado hukuna sababu za msingi kwanini Jeshi lichukue nchi.
Kwa haya yanayoendelea kama kweli raia Hawamtaki raisi Samia aendelee, Kuna idadi ya watu ya kutosha hata ndani ya Chama pekee kufanikisha Hilo. Kama hili tu linashindikana basi idadi ya wasiomtaka ni ndogo mno. Prove Me wrong.