Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #121
Wao kupeana discipline ni rahisi sana kuliko hawa mafisadi wa kisiasa.wanajeshi nao ni mafisadi unaikumbuka meremeta,wizi suma jkt hata ajira za huko ni rushwa tupu
Wao kupeana discipline ni rahisi sana kuliko hawa mafisadi wa kisiasa.wanajeshi nao ni mafisadi unaikumbuka meremeta,wizi suma jkt hata ajira za huko ni rushwa tupu
Naenda mjini maana kwa ss nilikua mkoaUnayakimbia ama unayafata?
Hapo kwenye bolded items umeongea upumbavu na umedhiirisha umbumbu wako na ufinyu wa kufikiri..Namba hazidanganyi, hitimisho langu halitokani na mhemko au hisia zangu, linatokana na ninachoshuhudia hata sasa tunapojadili.
Kama Chama kina wanachama, hawamtaki mgombea, kwanini anagombea? Jibu ni wanaomtaka wamewazidi wasiomtaka.
Kama nchi Ina raia, na hawamtaki raisi, kwanini wanakubali kuongozwa nae? Kwanini wanakubali wito wake anapowaita? Kwanini hawasimami kushinikiza aondoke? Jibu ni wanaotaka abaki, wamewazidi nguvu wanaotaka aondoke.
Kama sivyo, PROVE ME WRONG.
Mambo ya waTanzania ni Waoga, wanalipwa kujaza mikutano hizi zote ni sababu za kukubaliana na kilichopo, kama hukitaki, utakiondoa.
Kwa hiyo unataka niiamini hii serikali ya mama ako ambayo inadanganya uma kuwa watu wanajiteka?Unajaribu kuthibitisha hoja zako kwa kwa kutumia tuhuma usizo na ushahidi nazo kwa sababu tu tumetofautiana mtazamo kuhusu jeshi kuchukua nchi.
Jeshi likitofautiana mtazamo na wewe, utalishawishi kwa kulipa tuhuma pia?
Sitaki uamini chochote, nataka uonyeshe umuhimu wa hoja yako ya Jeshi kuchukua nchi kuwa ni sahihi kuliko sisi ambao tuna mtazamo tofauti.Kwa hiyo unataka niiamini hii serikali ya mama ako ambayo inadanganya uma kuwa watu wanajiteka?
Au unataka niziamini mainstream media za bongo ambazo ccm mmeshazitia najisi kiasi kwamba hata lile sakata la madascar hawakulirusha kwa sababu wanazojua wao? Hizo ndio newsoutlets unazotaka nizoamini?
Ni bora niamini hata gazeti la sani kuliko nyie machawa na serikali yenu
U mwepesi wa kuerupt. Prove me wrong, nionyeshe kwamba sipo sahihi, ni sentensi ya kawaida. Halafu, unaweza kueleweka hata ukiwa na utulivu, si lazima ufoke japo huzuiwi kufoka.Hapo kwenye bolded items umeongea upumbavu na umedhiirisha umbumbu wako na ufinyu wa kufikiri..
Ni watanzania gani hao wanaokubali wito wake zaidi ya nyie machawa wachumia tumbo na wanafunzi wa shule ya msingi?
Kama huyu mama ako raia wanaomtaka aendelee ni wengi kuliko wasiomtaka, ni kwanin alikataa kufanya reforms ambazo zingeweka mazingira ya uchaguzi wa huru na haki?
Unaongelea kuhusu watu kutomshinikiza asiendelee, halafu chini unanipigi pini eti uwoga wa tanzania sio sababu.. halafu hapo hapo tena eti uniambia "PROVE ME WRONG"?? hivi una akili wewe? Unataka nikuprove vipi wakati unanichagulia majibu ya kukupa?
Kama huyu mama ako wanaompenda ni wengi kuliko wanaomchukia, angekuwa kila siku anatoa kauli za vitisho kuhusu watu watakaoandama?
Angekuwa kila siku anajinasibu yeye ni amiri jeshi mkuu hili kuwatisha wanainchi? Si angeacha tu hao hao wanainchi wanaompenda wampambanie siku ya maandamamo?
Nyie wanufaika wa mfumo mnaboa sana na mnatia hasira... eti Samia anapendwa na raia wengi, labda nyie macha ndio mnampenda wengi.
Pumbav sana wewe tangu mwanzo nimekuona ukiukataa utawala wa kijeshi, na nilijua sababu, mirija yako ya ufisadi itakuwa ndio imefika mwisho... na samia wako hana maisha marefu hapo akiwa kma raisi, hata akipita salama hii october huko mbele hatoboi.
Unaudhi sana wewe,U mwepesi wa kuerupt. Prove me wrong, nionyeshe kwamba sipo sahihi, ni sentensi ya kawaida. Halafu, unaweza kueleweka hata ukiwa na utulivu, si lazima ufoke japo huzuiwi kufoka.
Mfano wako wa panya ni wa kipuuzi mno na wala hauna logical relevance na hiki tunachokiongelea hapa...Sitaki uamini chochote, nataka uonyeshe umuhimu wa hoja yako ya Jeshi kuchukua nchi kuwa ni sahihi kuliko sisi ambao tuna mtazamo tofauti.
Mfano, Ghala la mazao limeingia panya, unapendekeza tulichome ili panya wafie humo, halafu akija mwenye mawazo mbadala kuepusha mazao kuteketea unatoa tuhuma kuwa na yeye ni panya. Kazi ipo.
Achana nae mpuuzi huyu. Wao wanachojali ni hali hii iendelee kuwepo ili wazidi kujineemesha kwa kodi zetu wanazotuibiaMfano wako wa panya ni wa kipuuzi mno na wala hauna logical relevance na hiki tunachokiongelea hapa...
Kwamba una maanisha tukiwa na utawala wa jeshi utatuumiza zaidi wote kuliko huu utawala ccm ambao unatuumiza wengi huku wengine mkineemeka sio?
Kama hicho ndio unachomaanisha kwenye mfano wako huo wa panya, basi acha niusapoti.
Hakika ni heri woote tuumie kabisa au wote tukose kuliko kuendelea kuumizwa na kundi la wachache na ndio maana huko mwanzo kwenye moja ya comments zangu nilisema kabisa kama JTWZ watashindwa basi waje hata M23 watutawale na nina sababu za msingi za kuwa na mawazo haya.
Ila unapenda kuongozwa na majizi,mafisadi,watekaji na wauaji ccm sio?Mimi JWTZ wasiniongoze
Wase.nge hawa, wanaona fahari sana kutugeuza manamba kwenye aridhi yetu huku wakiishi kwa kuchezea kwanzia kodi zetu mpaka maisha yetu.Achana nae mpuuzi huyu. Wao wanachojali ni hali hii iendelee kuwepo ili wazidi kujineemesha kwa kodi zetu wanazotuibia
Jeshi halichekagi na kima. Wanajua wataozea jelaWase.nge hawa, wanaona fahari sana kutugeuza manamba kwenye aridhi yetu huku wakiishi kwa kuchezea kwanzia kodi zetu mpaka maisha yetu.
Leo hii wao ndio wanaamua ni nani aishi na nani asiishi, halafu bado wanatuhubiria amani.
Mama yao shetani samia kakataliwa kwanzia ndani ya chama chake mpaka kwa wanainchi na sasa hivi dunia imeshajua ni kiongozi mwanamke wa ovyo kupindukia anayetumia vyombo vya dola kuua watu wake....
....halafu huyu mjinga anakuja kutwambia wanamtaka samia ni wengi kuliko wasiomtaka, na wakati kila mwenye macho anaona hali halisi wanaomtaka ni hao wala makombo tu basi.
Halafu kwa akili zake fupi ananiambia ni mprove wrong, na wakati hataa uzi tu unatosha kabisa kumpa majibu kuwa mama yake hatakiwi na watu, maana hakuna mtu mwingine aliyetumia nguvu nyingi kupinga hili wazo la utawala wa kijeshi.
Wanajua mbele ya jeshi watakuwa kama mashoga tu, hawatakuwa na nguvu yoyote ya kimamlaka.
Nafikiri ukienda kwenye page ya wanainchiforum au kwa maria sarungi utaikuta.Hiyo clip ya hao madogo unayo? Imenipita hii..
Kinachonishangaza hawa vilaza wanafikiri jeshi linafurahia kuona haya maovu wanayoyafanya..!!Jeshi halichekagi na kima. Wanajua wataozea jela
Yes they were very good leaders dispite of being autocratic, na hasa Babangida huyu baada ya kuishika nchi alianzisha kitu kinaitwa MAMSER(Massive Mobilization for self-reliance,Social justice and Economic Recovery).Sani Abacha Ibrahimu Babangida Blaise Compaore asilimia kubwa ya Madikteta wa walikuwa ni millitary rulers.
Walipora matrilioni ya fedha za Wananchi wa Nigeria.Yes they were very good leaders dispite of being autocratic, na hasa Babangida huyu baada ya kuishika nchi alianzisha kitu kinaitwa MAMSER(Massive Mobilization for self-reliance,Social justice and Economic Recovery).
Karibu sanaNaenda mjini maana kwa ss nilikua mkoa
Nayafuata huku niliko hskuna amsha amshs sn km bongo
Jeshi letu sio la NigeriaWalipora matrilioni ya fedha za Wananchi wa Nigeria.
Sasa hivi hakuna mnigeria anayetaka utawala wa kijeshi hata kuisikia.
Project kubwa za maendeleo nchini Nigeria zilifanywa na Jeshi likiwa madarakaniYes they were very good leaders dispite of being autocratic, na hasa Babangida huyu baada ya kuishika nchi alianzisha kitu kinaitwa MAMSER(Massive Mobilization for self-reliance,Social justice and Economic Recovery).
kupitia hiyo programe alitaka kuitoa Nigeria kwenye utegemezi wa Waingereza na alianzisha projects kibao za uchimbaji wa mafuta na kufanya kilimo...
Mpaka leo huko Nigeria kuna makampuni ya uchimbaji wa mafuta mambayo ni matokeo ya MAMSER.
Huyu alikuwa ni kiongozi mahiri na mchapakazi licha ya yeye kuwa military dictator, ndio maana huko Nigeria kuna shule na hospitals ambazo zinaitwa jina lake, tofauti na Abacha ambaye hakuna hata bara bara inayoitwa jina lake kumuenzi, maana yeye alijua kuiba na kuuua watu tu kama anavyofanya mama Abdul hapa kwetu.