JWTZ, kwa huu Ufisadi unaoendelea nchini, tukubaliane tu muongoze kipindi cha mpito kulipatia Taifa Katiba Mpya

Sasa utafanyeje?
Binafsi nimeshaweka wazi kuliko kuendelea kuwa chini ya ccm mtandao inayongoza na samia na mastermind Kikwete ni heri nitawaliwe hata M23.

Hivyo tutafute msaada hata kama ni nje ya nchi kukabiliana na hawa wadhalimu, kikubwa tu samia na ccm yake watoke.
 
Kwa mtu yeyote mwenye huruma na taifa hili, kwa jinsi mama Abdul na ccm yake walivyotugeuza manamba kwenye taifa letu la Tanganyika, hawezi akapinga wazo la jeshi kuchukua nchi hasa ukizingatia ndio option ya uhakika iliyopo kwa sasa.

Kuendelea kutawaliwa na maccm haya ya sasa ni kukubali kuendelea kuibiwa na kuuawa muda wowote ule utakapojaribu kufungua mdomo...

....hii ccm ya sasa hivi kuua mtu kwa minor issue ni kama kunywa maji tu, imagine mtu amejirekodi anasema kuwa "october anatoka akimtaka samia ajiuzulu"... siku mbili baadae akaja kuchukuliwa na land cruiser iliyokuwa na watu waliojitambulisha ni maafisa wa polisi, na mpaka leo hajarudi umeshapita mwezi sasa.

Sasa serikali hii ina tofauti gani na utawala na Sani Abacha au wa Jean Bedel Bokassa?

Huu utawala wa samia umegubikwa na udikteta pamoja na ufisadi kma tawala za hao wawili niliowataja hapo juu.

Samia government is sheer kleptocratic and it has no remorse for the poors.

Sasa kuliko kuendelea kutawaliwa na ccm ya samia ambayo haina tofauti na serikali ya Bokassa, ni heri tujaribu utawala wa kijeshi JWTZ ambapo pengine tunaweza kumpata Traore au Sankara akatusahaulisha machungu tunayopitia kwa huyu Idd amin mama.
Haya ni mawazo yako, yaheshimiwe. Maoni yangu ni kuwa, utawala wa kijeshi hapana. WaTanzania Bado tunaweza kushinikiza utawala wa kiraia tunaoweza kuuwajibisha. Ngoja tusome na maoni ya wengine mkuu.
 
Madagascar walisema kipindi cha mpito kitakua miezi mitatu wameongeza tena miaka mitatu halafu ikifika wataongeza tena miaka kadhaa na watakaoandamana watakula shaba za kutosha.
Even if it will take 30 years as long as the military regime is there for serving public interests adequately it is okay.

Ni heri kutawaliwa na serikali ya kijeshi ambayo iko incompetent ila imejaa wazalendo tupu, kuliko kutawaliwa na serikali inayojiita ya kiraia ila imejaa wala rushwa,wezi na madalali wa rasilimali za taifa.

Better patriotic fool that smart inconsiderate corrupt leader.
 
Unaona sasa...!?

Ndio maana nikasema wewe ni mnufaika wa mfumo na huko hapa kutu enjoy hauna lolote.

Hivi kwa hali iliyopo sasa nchini bado kuna mtu ana doubt kuwa idadi ya watu wanaomchukia samia ni kubwa?

Kwamba wewe unahisi kuna uwezekano wasiomtaka samia ni wachache sio??

Hivi kwa akili ya kawaida tu hii mikutano yake ya kampeni ambayo mpaka amefikia hatua anawalipa watu waudhurie haikuoneshi kabisa huyu mama analazimisha upendo na watu hawamtaki?

Kama wanaomtaka samia wangekuwa ni wengi tuongeona akitumia gharama kubwa kusomba watu na kuwajaza kwenye mikutano yao?

Tungeona anawaharibia watoto ratiba za masomo na kuwajaza kwenye mikutano yake?

Jamaa hakuna mwanasiasa anayependwa na majority ya watu akateseka hivi kutafuta audience kwenye kampeni, na wala asingekuwa anaendesha magenge ya wahuni ambayo yanashinda mitandaoni kutafuta wanaomkosoa.

Ninachokiona kwako ni hofu ya mirija yako ya upigaji kukatika pale serikali ya kijeshi itakaposhika nchi, huna lingine lolote wewe
Namba hazidanganyi, hitimisho langu halitokani na mhemko au hisia zangu, linatokana na ninachoshuhudia hata sasa tunapojadili.

Kama Chama kina wanachama, hawamtaki mgombea, kwanini anagombea? Jibu ni wanaomtaka wamewazidi wasiomtaka.

Kama nchi Ina raia, na hawamtaki raisi, kwanini wanakubali kuongozwa nae? Kwanini wanakubali wito wake anapowaita? Kwanini hawasimami kushinikiza aondoke? Jibu ni wanaotaka abaki, wamewazidi nguvu wanaotaka aondoke.

Kama sivyo, PROVE ME WRONG.

Mambo ya waTanzania ni Waoga, wanalipwa kujaza mikutano hizi zote ni sababu za kukubaliana na kilichopo, kama hukitaki, utakiondoa.
 
Uliondoka wewe alafu unaniuliza mimi? We endelea kubeba maboksi huko ughaibuni.
20250108_113946.jpg
 
Acha ujuaji. Niliondoka lini?
Ngabu nakusifu jambo moja. Upo consistent sana. Hiyo avatar tangu karne ya 20 hadi leo unayo. Tatizo watu wa aina yako ni waoga wa mabadiliko, hapo tu! Waacheni watanzania waamue
 
Haya ni mawazo yako, yaheshimiwe. Maoni yangu ni kuwa, utawala wa kijeshi hapana. WaTanzania Bado tunaweza kushinikiza utawala wa kiraia tunaoweza kuuwajibisha. Ngoja tusome na maoni ya wengine mkuu.
Wewe endelea kutetea usalama wa maslahi ya walafi wenzio na wewe mwenyewe, ila sisi tunachotaka ni kuona JWTZ ikishika nchi na kuwafurumusha huyo fisadi jike na genge lake ambapo naamini na wewe ni mmoja wapo.

Watanzania wanaweza vipi kuishinikiza hii serikali dhalimu ya washenzi kufuata matakwa yao na wakati sasa hivi unaambiwa wameshasambaza silaha kila mkoa kwa ajili ya kupambana na wanainchi?
 
Even if it will take 30 years as long as the military regime is there for serving public interests adequately it is okay.

Ni heri kutawaliwa na serikali ya kijeshi ambayo iko incompetent ila imejaa wazalendo tupu, kuliko kutawaliwa na serikali inayojiita ya kiraia ila imejaa wala rushwa,wezi na madalali wa rasilimali za taifa.

Better patriotic fool that smart inconsiderate corrupt leader.
Sani Abacha Ibrahimu Babangida Blaise Compaore asilimia kubwa ya Madikteta wa Afrika walikuwa ni millitary rulers.
 
Wewe endelea kutetea usalama wa maslahi ya walafi wenzio na wewe mwenyewe, ila sisi tunachotaka ni kuona JWTZ ikishika nchi na kuwafurumusha huyo fisadi jike na genge lake ambapo naamini na wewe ni mmoja wapo.

Watanzania wanaweza vipi kuishinikiza hii serikali dhalimu ya washenzi kufuata matakwa yao na wakati sasa hivi unaambiwa wameshasambaza silaha kila mkoa kwa ajili ya kupambana na wanainchi?
Unajaribu kuthibitisha hoja zako kwa kwa kutumia tuhuma usizo na ushahidi nazo kwa sababu tu tumetofautiana mtazamo kuhusu jeshi kuchukua nchi.
Jeshi likitofautiana mtazamo na wewe, utalishawishi kwa kulipa tuhuma pia?
 
Even if it will take 30 years as long as the military regime is there for serving public interests adequately it is okay.

Ni heri kutawaliwa na serikali ya kijeshi ambayo iko incompetent ila imejaa wazalendo tupu, kuliko kutawaliwa na serikali inayojiita ya kiraia ila imejaa wala rushwa,wezi na madalali wa rasilimali za taifa.

Better patriotic fool that smart inconsiderate corrupt leader.
Watanzania naona tuna hasira sana, ni kweli na sahihi kabisa
Ila JWTZ yetu hii sio taasisi imara ya kuweza kuwapa nchi hata Kwa masaa tu
Hili jeshi letu limekariri matumizi ya nguvu na kuvunja tofali
Hivi hawa vilaza wa JWTZ wana watu wenye weledi kwenye issue za uchumi, diplomacy, teknolojia n. K
Hii nchi sio parade kwamba uamke uamrishe miguu pande mambo yaende
CDF mwenyewe hawezi kujenga hoja ya ushawishi na anahongeka tu, sijui hao wa chini yake wakoje

Captain Traole yupo smart ni mzalendo haswa anajua diplomacy, uchumi, hatumii mabavu ovyo na ana love na nchi yake
Pia ana haiba ila hawa wa kwetu mmh Nina mashaka sana kusema ukweli

Yaani Kwa kifupi sijui TANZANIA tulimkosea nini Mungu, hatuna taasisi imara inayojielewa hata chembe

CCM imeharibu kila kitu
 
Ngabu nakusifu jambo moja. Upo consistent sana. Hiyo avatar tangu karne ya 20 hadi leo unayo. Tatizo watu wa aina yako ni waoga wa mabadiliko, hapo tu! Waacheni watanzania waamue
Wala sijamzuia mtu kuamua chochote atakacho.
 
Watanzania naona tuna hasira sana, ni kweli na sahihi kabisa
Ila JWTZ yetu hii sio taasisi imara ya kuweza kuwapa nchi hata Kwa masaa tu
Hili jeshi letu limekariri matumizi ya nguvu na kuvunja tofali
Hivi hawa vilaza wa JWTZ wana watu wenye weledi kwenye issue za uchumi, diplomacy, teknolojia n. K
Hii nchi sio parade kwamba uamke uamrishe miguu pande mambo yaende
CDF mwenyewe hawezi kujenga hoja ya ushawishi na anahongeka tu, sijui hao wa chini yake wakoje

Captain Traole yupo smart ni mzalendo haswa anajua diplomacy, uchumi, hatumii mabavu ovyo na ana love na nchi yake
Pia ana haiba ila hawa wa kwetu mmh Nina mashaka sana kusema ukweli

Yaani Kwa kifupi sijui TANZANIA tulimkosea nini Mungu, hatuna taasisi imara inayojielewa hata chembe

CCM imeharibu kila kitu
Kaka nakuelewa vizuri sana na kwenye hii comment umetiririka uhalisia mtupu.

Ni kweli kabisa kuongoza nchi inahitaji mtu mwenye uelewa mpana sana kwenye nyanja zote muhimu zinazogusa maisha ya mwanadamu.

Tena kwa taifa kama hili ambalo lina changamoto kibao na idadi kubwa ya watu linahitaji mtu makini sana na ambaye ana akili nyingi aina ya Kagame.

Ila sasa kwa vile tayari tumeshaya kanyaga leo hii tuna mtu kama samia ambaye naye ni kilaza tu pengine kuliko hao maafisa wa JWTZ ni heri tuwape hao JWTZ ambao naamini kuna mambo ya ovyo tunayoyaona kwa samia wao hawatakuwa nayo kama vile kuuza na kutapanya ovyo rasilimali za taifa, kuua watu ovyo wasiokuwa na impact kwenye utawala wao n.k

Kwa tulipofikia ni heri tuachague mbaya tunayomini ina nafuu kuliko kuendelea na mbaya isiyofaa ambayo inazidi kuwa mbaya zaidi kadri siku zinavyokwenda.

JWTZ hata kama watatumia mababvu kuliko akili, ila naamini discipline itakuwepo kwanzia serikalini mpaka uraiani.

Acha tuwape tu kuliko kuendelea kutawaliwa na hawa wauaji... imagine eti wale madogo waliokuwa wanaponda bango la samia, wameuawa sasa ndio serikali gani hii? Samia na ccm yake hapana kwakweli
 
Samia ana uelewa gani?

Wanafisadi rasilimali zote za Taifa sasahivi.

Ombo letu Watanzania Jeshi lichukue nchi kipindi cha mpito na liongoze zoezi la kupata Katiba mpya.
 
Umesahau pembejeo na mbolea. Ukiangalia vizuri picha ya pili, hii ITEL inaingiza pembejeo pia. Ndio wanaleta mbolea feki hawa hawa jamaa na kuwaumiza wakulima. Kwahiyo project nzima ya ruzuku za pembejeo sijui nini ni circle hile hile. Dadeeeeek!!!
 
Kaka nakuelewa vizuri sana na kwenye hii comment umetiririka uhalisia mtupu.

Ni kweli kabisa kuongoza nchi inahitaji mtu mwenye uelewa mpana sana kwenye nyanja zote muhimu zinazogusa maisha ya mwanadamu.

Tena kwa taifa kama hili ambalo lina changamoto kibao na idadi kubwa ya watu linahitaji mtu makini sana na ambaye ana akili nyingi aina ya Kagame.

Ila sasa kwa vile tayari tumeshaya kanyaga leo hii tuna mtu kama samia ambaye naye ni kilaza tu pengine kuliko hao maafisa wa JWTZ ni heri tuwape hao JWTZ ambao naamini kuna mambo ya ovyo tunayoyaona kwa samia wao hawatakuwa nayo kama vile kuuza na kutapanya ovyo rasilimali za taifa, kuua watu ovyo wasiokuwa na impact kwenye utawala wao n.k

Kwa tulipofikia ni heri tuachague mbaya tunayomini ina nafuu kuliko kuendelea na mbaya isiyofaa ambayo inazidi kuwa mbaya zaidi kadri siku zinavyokwenda.

JWTZ hata kama watatumia mababvu kuliko akili, ila naamini discipline itakuwepo kwanzia serikalini mpaka uraiani.

Acha tuwape tu kuliko kuendelea kutawaliwa na hawa wauaji... imagine eti wale madogo waliokuwa wanaponda bango la samia, wameuawa sasa ndio serikali gani hii? Samia na ccm yake hapana kwakweli
Nimekwambia hawa JWTZ ni vilaza
Kama wangekuwa jeshi smart Kwa haya yanayoendelea wangekuwa wametoa tamko la kuonya au kuchukua nchi bila kukumbushwa kama hivi,

Kwakuwa ni vilaza wapo kimya ati wanasubiri wananchi waanze.

Yaani nchi inaibiwa tuna jeshi lisilojua majukumu yake lipi wafanye ili ku rescue hii hatari
Sasa sisi wananchi tutawakabidhi vipi nchi jeshi lisilojua majukumu yake

JWTZ wanasema eti wanalinda katiba lakini hata katiba walivo vilaza hawajui inawataka wafanye Nini?

Katiba inasema hivi jukumu kuu la JWTZ ni kulinda nchi dhidi ya adui wa ndani na nje ya nchi, Sasa adui wa ndani ambayo ni Deep state ipo inaharibu nchi JWTZ inatazama tu Sasa haya malofa tu

Adui wa ndani anauwa Watanzania ila JWTZ inatazama tu

Katiba inawataka JWTZ kulinda uhuru wa Watanzania, Sasa Watanzania wamepoteza uhuru wao wanatekwa na kuuliwa na wasiojulikana Kwa kipindi cha miaka 10 JWTZ inatazama tu haikemei, haitoi tamko wao wapo wanapasua matofali

JWTZ wana jukumu la kulinda mipaka ya nchi na Rasimali za nchi
Sasa ona ukifika Ngorongoro mtandao wa simu unasoma UAE
Bandari inauzwa wapo wanatazama
Tena wanasindikiza wezi Kwa kupewa zawadi ya saa
Makaa ya mawe yanachimbwa JWTZ wanatazama tu

Ndo maana Sisi jeshi letu halijielewi hata haya tunayoyajadili hapa walipaswa kuyafanya na kuhodhi madaraka bila kutetewa ila hawana uzalendo

JWTZ ni taasisi ya CCM kama CWT au uvccm wapo kuvizia teuzi
 
Ok, mkuu. Sababu umehitimisha kwa namna ya kuwa na hakika na yajayo, Sina hoja dhidi yako.
Ighaghe,  Hitimisho ni common sense, it is not sustainable to rule in this fashion without real consent of people even for 5 years.

Itabidi aongeze maradufu vitendo vya ukatili, utesaji, utekaji, mauaji, kutupa watu magereza ili aendelee kutawala, nchi itakuwa kama Korea ya Kaskazini, Police state.

Hata hivyo pressure itaongezeka kutoka ndani na nje ya nchi. Mwisho wa siku atakimbia kama sheikh Hasina au kuishia jela baada ya ukombozi.
 
Mtoa mada baada ya kushiba magimbi na mihogo apo kwa shemeji yako umeamua kuja huku jf na porojo zako!!
Ivi unajua hao jeshi wakishika nchi wewe adi stage hiyo utakuwa na hali gani?
Hata chakula cha kula tu siku mbili za hayo maandamano hauna!
Toka kwa shemeji yako kwanza ndo utake maandamano.!
1.Kwa nini uko personal?
2.Unafikiri wewe hicho ulichoandika ndo umejipambanua ulivyo na uelewa kuliko mtoa mada??
3.Majeshi ya sasa, sio kama ya Kina Mabangida au madictators wa 60's..maisha yamebadirika,hujaona kilichotokea Madagascar...majeshi ya kisasa sio Ntelahamwe??
 
Ighaghe,  Hitimisho ni common sense, it is not sustainable to rule in this fashion without real consent of people even for 5 years.

Itabidi aongeze maradufu vitendo vya ukatili, utesaji, utekaji, mauaji, kutupa watu magereza ili aendelee kutawala, nchi itakuwa kama Korea ya Kaskazini, Police state.

Hata hivyo pressure itaongezeka kutoka ndani na nje ya nchi. Mwisho wa siku atakimbia kama sheikh Hasina au kuishia jela baada ya ukombozi.
Mkuu, That’s precisely why I’ll refrain from commenting on your interpretation of common sense that shaped your conclusion.
 
Back
Top Bottom