JWTZ: Litafanyika zoezi la kawaida la Medani Mkoani Lindi na Mtwara kuanzia 19 hadi 29 Oktoba 2022

Ile siku ya Nyerere day kuna anko wa kitaa alikua anatupa stori jinsi walivyokwama kwenye machafuko ya Burundi 1994.hii stoty mwisho kuna mambo ya kushangaza kuhusu jeshi letu la JW.

yalikua maroli matatu ya kitanzania na madereva wake wakiwa wanapakia kahawa pembezoni mwa mji flani upo milimani"aliutaja huo mji ila mimi nimeusahau.

ni story ndefu alituhadithia na inamatukio mengi ya kuhuzunisha,kusisimua ila nitahadithia namimi kwa kifupi kwa yale nitakayoyakumbuka.

,,,,,story inaendelea.
Hiyo stori ipo humu
 
Jeshi letu linatumia teknolojia mtumba, kwanini hatuwaendelezi wanasayansi wetu kwenye medani ya teknolojia ya silaha za kiviya? Je tungeokoa kiasi gani cha pesa? Je tungeibua vipaji vingapi vinavyofia mtaani?
Mpumbavu wewe

Unaona vita ya Urusi na ukraine

Unaona wanapigana kwa kutumia tu hicho unachoita wewe teknolojia ya wanasayansi? Huwaoni Askari wa miguu,huoni wameshika bunduki wakienda kwa miguu,huoni mavifaru na magari ya vita

Chadema Hopeless kabisa ninyi
 
Ile siku ya Nyerere day kuna anko wa kitaa alikua anatupa stori jinsi walivyokwama kwenye machafuko ya Burundi 1994.hii stoty mwisho kuna mambo ya kushangaza kuhusu jeshi letu la JW.

yalikua maroli matatu ya kitanzania na madereva wake wakiwa wanapakia kahawa pembezoni mwa mji flani upo milimani"aliutaja huo mji ila mimi nimeusahau.

ni story ndefu alituhadithia na inamatukio mengi ya kuhuzunisha,kusisimua ila nitahadithia namimi kwa kifupi kwa yale nitakayoyakumbuka.

,,,,,story inaendelea.
Lete mkeka wote. Acha uoga
 
Wajaribushe zana zakutosha na drone zikirekodi kama drills za nchi zilizoendelea
 
Jeshi letu linatumia teknolojia mtumba, kwanini hatuwaendelezi wanasayansi wetu kwenye medani ya teknolojia ya silaha za kiviya? Je tungeokoa kiasi gani cha pesa? Je tungeibua vipaji vingapi vinavyofia mtaani?
Kule Ukraine kikundi cha vijana kisicho wanajeshi kilisaidia siku za mwanzo za uvamizi...

Wale vijana walikuwa na vikundi vya kuendesha drones, drone zao ndo zilispot walipo wanajeshi wa kirusi na wakawa wanawapa wanajeshi wao coordinates, kilichotokea hadi leo Urusi hayupo kyiv
 
Back
Top Bottom