JWTZ msifanye makosa DRC, haya ndio yatakuwa madhara yake

Vita ya DRC imegeuka kutoka kuwa mgogoro wa kijamii hadi mgogoro wa kimaslahi ya ulinzi na uchumi, taifa letu likiwa eastern na southern Africa linapaswa kutambua yafuatayo.

Kama JWTZ haitaingilia Kati mgogoro wa DRC kama ilivyofanya mwaka 2012/13 madhara yake

1. Maeneo ya mashariki ya Congo yatakua chini ya uthibiti wa Rwanda chini ya M23 Kwa asilimia 100%.

2. Rwanda ataendelea kupata uungwaji Mkono wa mataifa wanufaika wa Rasilimali za madini na misitu in favour ya Ku exchange Rasilimali hizo na military items mfano makampuni makubwa yanayotegemea mgogoro kuiba madini Congo in exchange watampatia siraha na aircraft za mana Rwanda ambazo zitamwezesha kuwa dominant wa security east Africa Kwa maana hio kitendo cha kumuacha Rwanda kuiteka DRC ni kitendo cha kumkuza kiuchumi na in exchange kumkuza kijeshi

3. Rwanda kuwa hub ya mineral business Kwa maana ya kwamba Kigali Airport Ku connect na Dubai moja Kwa moja kufanya miji hii kuwa bussy na biashara ya madini Kwa kasi kuliko wakati wowote huku mgogoro ukikuzwa kuendelea ili biashara ziendelee kufanyika.

4. JWTZ inaenda kupoteza geomilitary influence na badala yake Rwanda anaenda kuchukua military influence ya technical skills, ability (siraha hatari) na kandarasi za ulinzi katika maeneo yenye migogoro tunaenda kutengeneza new Israel east Africa ambayo wazungu wataona inafaa kuwaunga mkono.

5. JWTZ itegemee statement yoyote ya kubezwa kutoka jeshi la Rwanda, kama ambavyo Kagame amemjibu Leo Ramaphosa

Afande CDF. Mkunda, Mama yetu yuko bize na Uchaguzi, intelligensia kubwa imeelekezwa kwenye siasa hilo liko wazi, Waziri wako nae ndio hivyo tena Sekta ngumu kama hii wanaleta mwanamama kazi kweli kweli, visingizio vitakua vingi

Hivyo nakushauri utumie ushawishi wako wakikushinda yupo Rais Jk, Mwamunyange, Mwakibolwa watume washawishi vijana waruhusiwe waingie kazini lakini tuwe na makubaliano yenye maslahi ya kiuchumi na DRC katika mgogoro huu.

Pia jeshi letu lisiwe tena chini ya command ya south Africa whether ni SADC au MUNUSCO tujitegemee bila kuwa chini yao bali tufanya exchange ya intelligence tuu katika operation zetu, jeshi la south Africa kwenye filed ni lelemama, hawawezi kitu dominate ati sababu wana technology wakati application ni zero

Nawasilisha:
mmh
 
Well spoken. Kikubwa maslahi hakuna msaada wa bure siku hizi. Ila assessment muhimu sana kabla ya kuingiza pua zetu Goma. Tujue askari wetu watakufa sana. So tulinganishe faida na hasara. Mwakiborwa arudi kwanza ndo twende hatua inayofuata.
Sidhani km rahisi atakubali hili.
 
Vita ya DRC imegeuka kutoka kuwa mgogoro wa kijamii hadi mgogoro wa kimaslahi ya ulinzi na uchumi, taifa letu likiwa eastern na southern Africa linapaswa kutambua yafuatayo.

Kama JWTZ haitaingilia Kati mgogoro wa DRC kama ilivyofanya mwaka 2012/13 madhara yake

1. Maeneo ya mashariki ya Congo yatakua chini ya uthibiti wa Rwanda chini ya M23 Kwa asilimia 100%.

2. Rwanda ataendelea kupata uungwaji Mkono wa mataifa wanufaika wa Rasilimali za madini na misitu in favour ya Ku exchange Rasilimali hizo na military items mfano makampuni makubwa yanayotegemea mgogoro kuiba madini Congo in exchange watampatia siraha na aircraft za mana Rwanda ambazo zitamwezesha kuwa dominant wa security east Africa Kwa maana hio kitendo cha kumuacha Rwanda kuiteka DRC ni kitendo cha kumkuza kiuchumi na in exchange kumkuza kijeshi

3. Rwanda kuwa hub ya mineral business Kwa maana ya kwamba Kigali Airport Ku connect na Dubai moja Kwa moja kufanya miji hii kuwa bussy na biashara ya madini Kwa kasi kuliko wakati wowote huku mgogoro ukikuzwa kuendelea ili biashara ziendelee kufanyika.

4. JWTZ inaenda kupoteza geomilitary influence na badala yake Rwanda anaenda kuchukua military influence ya technical skills, ability (siraha hatari) na kandarasi za ulinzi katika maeneo yenye migogoro tunaenda kutengeneza new Israel east Africa ambayo wazungu wataona inafaa kuwaunga mkono.

5. JWTZ itegemee statement yoyote ya kubezwa kutoka jeshi la Rwanda, kama ambavyo Kagame amemjibu Leo Ramaphosa

Afande CDF. Mkunda, Mama yetu yuko bize na Uchaguzi, intelligensia kubwa imeelekezwa kwenye siasa hilo liko wazi, Waziri wako nae ndio hivyo tena Sekta ngumu kama hii wanaleta mwanamama kazi kweli kweli, visingizio vitakua vingi

Hivyo nakushauri utumie ushawishi wako wakikushinda yupo Rais Jk, Mwamunyange, Mwakibolwa watume washawishi vijana waruhusiwe waingie kazini lakini tuwe na makubaliano yenye maslahi ya kiuchumi na DRC katika mgogoro huu.

Pia jeshi letu lisiwe tena chini ya command ya south Africa whether ni SADC au MUNUSCO tujitegemee bila kuwa chini yao bali tufanya exchange ya intelligence tuu katika operation zetu, jeshi la south Africa kwenye filed ni lelemama, hawawezi kitu dominate ati sababu wana technology wakati application ni zero

Nawasilisha:
Ungekuwa karibu ningekupa offer ya dinner au lunch. Hili jambo ni nyeti na gumu sana tusipojipanga. Tukiendekeza siasa za maji taka za Chadema na CCM wkt Rwanda anajitanua ipo siku atatugeuka na wala sio muda mrefu. Tukumbuke miaka ya karibu wamekuwa wanaingiza mifugo kwenye mapori ya Tanzania na kujifanya wahangaza na wanyambo. Na kisha wanaloea na kuchukua uraia. Niliwahi kusoma gazeti la Rai miaka ya 2000 kuhusu uchambuzi na utafiti wa siri kubwa ya Wanyarwanda Watutsi kuwa na mkakati wa kuitawala Africa ya mashariki, kati na kusini, kijeshi, kiuchumi na kuwaweka watusi kwenye nchi zote kama ilivyo kwa Uganda, Rwanda nk. Mseveni mtusi aliingia madarakani kijeshi, na Kagame the same. Hatuko salama. Tanzania au Kenya hata msumbiji, Zambia, Malawi nk
 
Wameamua kukodi mercenaries waliodhaminiwa na France kwa kuwa wanaamini France wana personal hatred against Kagame so they'll do whatever it takes kumuondoa madarakani.
Kagame kawatukana sana Wafaransa, hata sasa ndiyo taifa la Wazungu linalo piga kelele na kuwahusisha direct na hivyo vita zaidi ya taifa jingine lolote.
Acha seregere liendelee tuone nani atakubali kushindwa.
Mauaji ya waafrika ni ujinga na uroho wa Mwafrica alirubuniwa na mzungu.
 
Niliwahi kusoma gazeti la Rai miaka ya 2000 kuhusu uchambuzi na utafiti wa siri kubwa ya Wanyarwanda Watutsi kuwa na mkakati wa kuitawala Africa ya mashariki, kati na kusini
daah gazeti lilikuwa la moto sana hili. Unalisoma gazeti halikuchoshi na ukimaliza haulitupi unaliweka maktaba au sehemu yyote salama kwa rejea ya bdae. daah ule uandishi wa kichunguzi umepotea mazima
 
Hata kwenye familia zetu, Mwanamke hajawahi kuwa serious na jambo linalohosu usalama.

Mimi sio mbaguzi wa jinsia ila nimeongelea experience yangu.

Kikwete alikua na madhaifu mengi lakini sio Malawi wala Rwanda walioendelea na chokochoko baada ya kujibiwa.
 
Vita ya DRC imegeuka kutoka kuwa mgogoro wa kijamii hadi mgogoro wa kimaslahi ya ulinzi na uchumi, taifa letu likiwa eastern na southern Africa linapaswa kutambua yafuatayo.

Kama JWTZ haitaingilia Kati mgogoro wa DRC kama ilivyofanya mwaka 2012/13 madhara yake

1. Maeneo ya mashariki ya Congo yatakua chini ya uthibiti wa Rwanda chini ya M23 Kwa asilimia 100%.

2. Rwanda ataendelea kupata uungwaji Mkono wa mataifa wanufaika wa Rasilimali za madini na misitu in favour ya Ku exchange Rasilimali hizo na military items mfano makampuni makubwa yanayotegemea mgogoro kuiba madini Congo in exchange watampatia siraha na aircraft za mana Rwanda ambazo zitamwezesha kuwa dominant wa security east Africa Kwa maana hio kitendo cha kumuacha Rwanda kuiteka DRC ni kitendo cha kumkuza kiuchumi na in exchange kumkuza kijeshi

3. Rwanda kuwa hub ya mineral business Kwa maana ya kwamba Kigali Airport Ku connect na Dubai moja Kwa moja kufanya miji hii kuwa bussy na biashara ya madini Kwa kasi kuliko wakati wowote huku mgogoro ukikuzwa kuendelea ili biashara ziendelee kufanyika.

4. JWTZ inaenda kupoteza geomilitary influence na badala yake Rwanda anaenda kuchukua military influence ya technical skills, ability (siraha hatari) na kandarasi za ulinzi katika maeneo yenye migogoro tunaenda kutengeneza new Israel east Africa ambayo wazungu wataona inafaa kuwaunga mkono.

5. JWTZ itegemee statement yoyote ya kubezwa kutoka jeshi la Rwanda, kama ambavyo Kagame amemjibu Leo Ramaphosa

Afande CDF. Mkunda, Mama yetu yuko bize na Uchaguzi, intelligensia kubwa imeelekezwa kwenye siasa hilo liko wazi, Waziri wako nae ndio hivyo tena Sekta ngumu kama hii wanaleta mwanamama kazi kweli kweli, visingizio vitakua vingi

Hivyo nakushauri utumie ushawishi wako wakikushinda yupo Rais Jk, Mwamunyange, Mwakibolwa watume washawishi vijana waruhusiwe waingie kazini lakini tuwe na makubaliano yenye maslahi ya kiuchumi na DRC katika mgogoro huu.

Pia jeshi letu lisiwe tena chini ya command ya south Africa whether ni SADC au MUNUSCO tujitegemee bila kuwa chini yao bali tufanya exchange ya intelligence tuu katika operation zetu, jeshi la south Africa kwenye filed ni lelemama, hawawezi kitu dominate ati sababu wana technology wakati application ni zero

Nawasilisha:
Ngoja tuone
Cc : Tumbili wa mjini
 
Ungekuwa karibu ningekupa offer ya dinner au lunch. Hili jambo ni nyeti na gumu sana tusipojipanga. Tukiendekeza siasa za maji taka za Chadema na CCM wkt Rwanda anajitanua ipo siku atatugeuka na wala sio muda mrefu. Tukumbuke miaka ya karibu wamekuwa wanaingiza mifugo kwenye mapori ya Tanzania na kujifanya wahangaza na wanyambo. Na kisha wanaloea na kuchukua uraia. Niliwahi kusoma gazeti la Rai miaka ya 2000 kuhusu uchambuzi na utafiti wa siri kubwa ya Wanyarwanda Watutsi kuwa na mkakati wa kuitawala Africa ya mashariki, kati na kusini, kijeshi, kiuchumi na kuwaweka watusi kwenye nchi zote kama ilivyo kwa Uganda, Rwanda nk. Mseveni mtusi aliingia madarakani kijeshi, na Kagame the same. Hatuko salama. Tanzania au Kenya hata msumbiji, Zambia, Malawi

Hizi habari za ndugu zetu kushikiliwa ni za kweli au
Kama ni kwa habari ya madereva wameshaachiwa na walisindikizwa na M23 wenyewe.
 
Ungekuwa karibu ningekupa offer ya dinner au lunch. Hili jambo ni nyeti na gumu sana tusipojipanga. Tukiendekeza siasa za maji taka za Chadema na CCM wkt Rwanda anajitanua ipo siku atatugeuka na wala sio muda mrefu. Tukumbuke miaka ya karibu wamekuwa wanaingiza mifugo kwenye mapori ya Tanzania na kujifanya wahangaza na wanyambo. Na kisha wanaloea na kuchukua uraia. Niliwahi kusoma gazeti la Rai miaka ya 2000 kuhusu uchambuzi na utafiti wa siri kubwa ya Wanyarwanda Watutsi kuwa na mkakati wa kuitawala Africa ya mashariki, kati na kusini, kijeshi, kiuchumi na kuwaweka watusi kwenye nchi zote kama ilivyo kwa Uganda, Rwanda nk. Mseveni mtusi aliingia madarakani kijeshi, na Kagame the same. Hatuko salama. Tanzania au Kenya hata msumbiji, Zambia, Malawi nk
Samahani mkuu nimequote kwa kukuchanganya na comment ya mtu mwingine.
 
Hupo sahii Kabisa
Mimi sio mwanajeshi wala mtu wa intelligentsia lakini nasisitiza Taifa la Tanzania linauwezo mkubwa wa kutatua matatizo mengi sana kwa sasa.
Nipo tayari kutoa maelekezo.
0747285555/0747534444
Natamani sana nikutane na wausika wa nchi yetu waliopewa dhamana ya utawala kwa wakati huu.
Nimewai kuongea jambo na mmoja wa wausika akasema atanikutanisha na wakuu wa vyombo vya usalama lakini akapotea.
Naitaji sana kukutana na Mheshiwa Rais alafu Kuna maelekezo nitampatia.
Ndugu zangu watanzania haya mambo ni mepesi sana kwa msaada wa Mungu. I m 100% sure kuwa taifa letu kwa sasa ndio lenye nguvu saana duniani. Narudia naitaji kukutana na wausika then wote tutajua Tanzania ni nchi gani!
Majina yangu naitwa Deogratias Byela Henry Rutabana.
Najua sana Mh Rais yupo tayari kupokea ushauri tena wa kiMungu lakini bahati mbaya sana wote anaokutana nao wamevaa SURA za utumishi wa Mungu na wanajiita viongozi wa Dini wakati hamna kitu na ndio maana hata Yesu alitumia wakina Petro, dakitali wa binadamu Dk Luka nk akamuacha Nikodemu ambaye alionekana Mtumishi wa Mungu katika macho ya watu kumbe hamna kitu, lakini pia hata Farao aliyemsaida tafsili ya ndoto yake alikuwa ni Yusuph baada ya waganga na wote waliojiita watumishi wa Mungu kukosa majibu.
Najua muda na wakati utafika wa kukutana na Mh Rais.
Tusiishi kwa kukalili Mungu yupo hatuitaji kupata tabu.
It is always good to work in easy way.
Kagame acha kejeli na dhihaka
 
Kwa huu upuuzi unaotokea Goma, kama Rais angekuwa ni JK, muda mrefu angekuwa ameshawadhibiti hao kenge wa M 23! Bahati mbaya ndiyo hivyo tena.
Na hapo ndio utaelewa bayana, tofauti ya mwanamke na mwanaume, maamuzi ya kike na Yale ya kiume, vipaumbele vya mwanamke na vile vya mwanaume n.k n.k
 
Waende tu hao Bongo movie watarudishwa kwa aibu kama wale mercenaries wa Kifaransa na Kiromania, jeshi letu linapaswa kusukwa liwe kama lile la enzi za Nyerere kuanzia kwenye drills, discipline na patriotism.
Kwa sasa hatuna soldiers wa kukabiliana na wale wahuni.
Hiyo geopolitical military influence tumeutoa wapi au unazungumzia enzi za Mchonga? Hivi tuna influence Kenya au Uganda au Zambia au wapi labda mimi ndiyo niko gizani?
Acha jeshi na intelijensia yake waendelee kulinda CCM dhidi ya vyama vya upinzani kwani huko ndiyo tuna uhakika hawategemei kuaibishwa na wala kuliaibisha taifa kwa ujumla wake.
Vyombo vyetu vyote vya ulinzi na usalama wamejikita kwenye siasa zaidi na confidence uchwara eti tulimpiga Nduli Idd Amin Dada(history).
Huu ndio ukweli wenyewe, na msema kweli ni mpenzi wa Mungu..mkuu kongole kwa kuuweka ukweli peupe kbs! Tumebaki tunajimwambafai kwa historia zilizopita lkn kiuhalisia, siasa ya sasa ime compromise our military ability and intelligence
 
Duh nimekubali sana aisee. Hivi unajuwa ukianzisha kanisa alafu ukawa mbishi hivyo halafu unaongea mavitu ambayo hayaeleweki watu wanaweza wakakufuata ukakusanya sadaka ya kutosha.

Lakini kuhusu migogoro kama hii, suluhisho ni maelewano lazima uongee vitu ambavyo watu wanaelewa. Siri ya kuleta amani ni maelewano, watu wakishaelewana tu wanaweka silaha chini. Ndio maana rais JK (sitaki kukumbushia maugomvi ya zamani Mungu aepushie mbali) alishauri RPF wazungumze na FDLR wayamalize. Lakini RPF walikasirika sana kwa hiyo kauli kwa sababu ya kile ambacho watu wao walifanyiwa mwaka 1994 wakasema rais Kikwete ni FDLR sympathizer kidogo kiwake. Lakini viongozi wa Tanzania wamejaliwa busara moto ukazima.

Ukiongea mavitu yasiyoeleweka unazidi tu kuwatia watu gizani na kutengeneza confusion itakayochochea ugomvi. Ila ukiongea kitu kinachoeleweka unawaweka watu nuruni.

Tambua wewe ni mkristo unakuja na habari zako kuhusu roho mtakatifu. Lakini siyo kila mtu ni mkristo na hata si kila mkristo atakuelewa, kwanza wakristo wamegawanyika kwa madhehebu tofauti tofauti. Imagine akaja mtu anayefuata dini za asili za Afrika akaja na habari zake kuhusu mizimu, wewe utamsikiliza. Si utasema shetani toka.

Tambua kutofautisha field tofauti tofauti, kuna sayansi ya siasa, kuna teolojia na

Tambua kutofautisha field tofauti tofauti, kuna sayansi ya siasa, kuna teolojia na kuna mambo ya kijeshi kila kimoja kina nafasi yake. Huwezi tatua kila changamoto kwa kutumia teolojia peke yake utakuwa ni mpumbavu.
Inabidi ujue ukweli na lengho sio kufuraisha watu Mungu anatumia mtu mmoja kumaliza tatizo ndio maana nimeweka wazi kuwa ninachokisema ninauakika nacho sio kubahatisha.
Mambo ya teolojia, sayansi ya siasa wala Mungu hayapo huko na mambo ya .Mungu hayafundishwi!
Tatizo kubwa la hizi imani tulizo nazo wala haziendani na ukweli ndio maana huko makanisani mnawaita watu wachungaji, walimu, waijilisti, nitumie na manabii na mnaona ni sawa kabisa.
HATARI sana!!!!
Uliwai jiuliza kwanini Yesu alisema atakuja kunyakua/kuchukua kanisa lake wala sio kuliendeleza???
Unaposoma Biblia penda kujiuliza maswali magumu utagundua mambo mengi na uwezi elewa kitu kama huna Roho Mtakatifu saau.
Amesema waaminio watapewa kuongea lugha nyingine...Angalizo!
 
Back
Top Bottom