misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Kama ni hivyo anatafutwa mshirika wa Urusi na China ambaye ni Afrika ya kusini hapo.Kagame naye ana - back up ya kisirisiri Israel, US, UK na wengine. Huu mtifuano utaishia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni hivyo anatafutwa mshirika wa Urusi na China ambaye ni Afrika ya kusini hapo.Kagame naye ana - back up ya kisirisiri Israel, US, UK na wengine. Huu mtifuano utaishia wapi?
Sir you need to get your self together and stay focusedAcha bangi.
Nakazia tuwe na makubaliano kimaslahi na serikali ya DRC …. Mana hii oparation nizaidi ya uwanachamaVita ya DRC imegeuka kutoka kuwa mgogoro wa kijamii hadi mgogoro wa kimaslahi ya ulinzi na uchumi, taifa letu likiwa eastern na southern Africa linapaswa kutambua yafuatayo.
Kama JWTZ haitaingilia Kati mgogoro wa DRC kama ilivyofanya mwaka 2012/13 madhara yake
1. Maeneo ya mashariki ya Congo yatakua chini ya uthibiti wa Rwanda chini ya M23 Kwa asilimia 100%.
2. Rwanda ataendelea kupata uungwaji Mkono wa mataifa wanufaika wa Rasilimali za madini na misitu in favour ya Ku exchange Rasilimali hizo na military items mfano makampuni makubwa yanayotegemea mgogoro kuiba madini Congo in exchange watampatia siraha na aircraft za mana Rwanda ambazo zitamwezesha kuwa dominant wa security east Africa Kwa maana hio kitendo cha kumuacha Rwanda kuiteka DRC ni kitendo cha kumkuza kiuchumi na in exchange kumkuza kijeshi
3. Rwanda kuwa hub ya mineral business Kwa maana ya kwamba Kigali Airport Ku connect na Dubai moja Kwa moja kufanya miji hii kuwa bussy na biashara ya madini Kwa kasi kuliko wakati wowote huku mgogoro ukikuzwa kuendelea ili biashara ziendelee kufanyika.
4. JWTZ inaenda kupoteza geomilitary influence na badala yake Rwanda anaenda kuchukua military influence ya technical skills, ability (siraha hatari) na kandarasi za ulinzi katika maeneo yenye migogoro tunaenda kutengeneza new Israel east Africa ambayo wazungu wataona inafaa kuwaunga mkono.
5. JWTZ itegemee statement yoyote ya kubezwa kutoka jeshi la Rwanda, kama ambavyo Kagame amemjibu Leo Ramaphosa
Afande CDF. Mkunda, Mama yetu yuko bize na Uchaguzi, intelligensia kubwa imeelekezwa kwenye siasa hilo liko wazi, Waziri wako nae ndio hivyo tena Sekta ngumu kama hii wanaleta mwanamama kazi kweli kweli, visingizio vitakua vingi
Hivyo nakushauri utumie ushawishi wako wakikushinda yupo Rais Jk, Mwamunyange, Mwakibolwa watume washawishi vijana waruhusiwe waingie kazini lakini tuwe na makubaliano yenye maslahi ya kiuchumi na DRC katika mgogoro huu.
Pia jeshi letu lisiwe tena chini ya command ya south Africa whether ni SADC au MUNUSCO tujitegemee bila kuwa chini yao bali tufanya exchange ya intelligence tuu katika operation zetu, jeshi la south Africa kwenye filed ni lelemama, hawawezi kitu dominate ati sababu wana technology wakati application ni zero
Nawasilisha:
Rais yupo busy na maandalizi ya uchaguzi. umeona wakina lucas mwashambwa wanaleta uzi wowote ule kuhusu kinachoendelea? 2025 Tusifanye makosa mwanamke hana maamzi magumu kwa mambo kama hayaJamaa ni Kanyarwanda kamekuja kujifanya kama intelligensia na namba ya simu kameweka eti kaongee na Rais wetu shenzii
Naunga Mkono hojaTanzania ijenge military base mashariki mwa DRC, Tanzania inapaswa kulinda maslahi yake DRC kwa wivu mkubwa.
Lengo la Kagame yawezekana ni kubwa kuliko kuiba madini tu yawezekana anataka kumega kabisa sehemu ya DRC.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Dah kazi kweli kweliHupo sahii Kabisa
Mimi sio mwanajeshi wala mtu wa intelligentsia lakini nasisitiza Taifa la Tanzania linauwezo mkubwa wa kutatua matatizo mengi sana kwa sasa.
Nipo tayari kutoa maelekezo.
0747285555/0747534444
Natamani sana nikutane na wausika wa nchi yetu waliopewa dhamana ya utawala kwa wakati huu.
Nimewai kuongea jambo na mmoja wa wausika akasema atanikutanisha na wakuu wa vyombo vya usalama lakini akapotea.
Naitaji sana kukutana na Mheshiwa Rais alafu Kuna maelekezo nitampatia.
Ndugu zangu watanzania haya mambo ni mepesi sana kwa msaada wa Mungu. I m 100% sure kuwa taifa letu kwa sasa ndio lenye nguvu saana duniani. Narudia naitaji kukutana na wausika then wote tutajua Tanzania ni nchi gani!
Majina yangu naitwa Deogratias Byela Henry Rutabana.
Najua sana Mh Rais yupo tayari kupokea ushauri tena wa kiMungu lakini bahati mbaya sana wote anaokutana nao wamevaa SURA za utumishi wa Mungu na wanajiita viongozi wa Dini wakati hamna kitu na ndio maana hata Yesu alitumia wakina Petro, dakitali wa binadamu Dk Luka nk akamuacha Nikodemu ambaye alionekana Mtumishi wa Mungu katika macho ya watu kumbe hamna kitu, lakini pia hata Farao aliyemsaida tafsili ya ndoto yake alikuwa ni Yusuph baada ya waganga na wote waliojiita watumishi wa Mungu kukosa majibu.
Najua muda na wakati utafika wa kukutana na Mh Rais.
Tusiishi kwa kukalili Mungu yupo hatuitaji kupata tabu.
It is always good to work in easy way.
Bila shaka wataamka na kuanza kuona kwa maono ya miaka 50 hadi 100 huko mbele.Mkuu umeleta uchambuzi sahihi Kwa wakati sasa TISS acheni kazi ya uchawa siasa imewalevya kuna mambo yako well programmed yanaendelea nchi inapoteza focus nyie mko bize na chadema
Mambo ya kijinga Sana sisi wazalendo tunahitaji jina Tanzania lirudi katika kilele na vita ya uchumi na vita ya kijeshi zinazoendelea ni lazima tuwe macho
Acha wachukue kila wanachotaka. We linda mpaka wako wekeza kwenye elimu ya watu wakoNinacho zungumzia nikwamba apendaye madaraka hatoshiba madaraka
Leo lwanda Wana taka kulifanya lwanda iwe naeneo mpaka huko goma
Nabaada ya goma wanaitaka kivu mwisho wa siku wataitaka Congo
Sasa je baada ya kuipata congonho mzima hawata itaka Tanzania?
Hapa ndipo tunapo uona umhimu wa kuingilia Jambo hili
Sasa jamaa kutwa kukatika mauno na uchawaHawa Wacongoman sijawahi kuwaelewa , wamekaa kimama sana kutwa kwenye vioo kujichubua ona sasa M23 wanavyowapelekea moto.
Yaani hawawezi pigana kwa maslahi ya nchi yao mpaka wategemee majeshi washirika, hovyo sana hawa wacongoman.
Wao ni starehe tu mala Paris Sijui Belgium kumbe bure tu.
MithaliAcha wachukue kila wanachotaka. We linda mpaka wako wekeza kwenye elimu ya watu wako
Daaa hata mimi nilipo fika hapo nikachoka aiseeNimesoma kwa makini huko juu nilipofika hapa basi nikasitisha ata kuendeles kusoma..
Acha kujifanya mtu wa rohoni ili kutuzuga hapa. Zamani mataifa kibao ya Africa yaliingilia huo mgogoro ukaitwa the great African war lakini mbona haukuisha. Ngoja nikupe elimu kuhusu huo mgogoro.Mithali
29 Usiwaze mabaya juu ya jirani yako, Ambaye anakaa karibu nawe na kujiona salama.
MithaliAcha wachukue kila wanachotaka. We linda mpaka wako wekeza kwenye elimu ya watu wako
Tatizo wewe unaenda kwa historian wakati maneno ya Mungu hayabadiriki. Imendikwa pasipo na Roho sisi hatuwezi lolote. Ukikataa kuwa wa Rohoni then your nithingAcha kujifanya mtu wa rohoni ili kutuzuga hapa. Zamani mataifa kibao ya Africa yaliingilia huo mgogoro ukaitwa the great African war lakini mbona haukuisha. Ngoja nikupe elimu kuhusu huo mgogoro.
Hapo zamani za kale Kongo ilikuwa inaongozwa na Mobutu Seseko kwa bahati mbaya au nzuri kulikuwa na waasi wanampinga wakiongozwa na Laurent Kabila. Mapambano yao waliyaanzisha mashariki mwa Kongo.
Pia hapo zamani za kale (sorry mpaka leo miaka 40 sasa madarakani) Uganda inaongozwa na Yoweri Museveni hata hivyo kulikuwa na waasi wanampinga wanaitwa ADF. Waasi hao baada ya kuzidiwa na majeshi ya serikali ya Uganda walikimbilia mashariki ya Kongo.
Pia hapo zamani za kale kulikuwa na waasi wanaitwa RPF walikuwa wanaipinga serikali ya Rwanda iliyokuwa inaongozwa na Juvenal Habyarimana. RPF walikuwa kambi zao zipo Uganda na lengo lao nafikiri ilikuwa kupigania haki za watutsi kule Rwanda. Serikali ya Rwanda ilikuwa na wahutu zaidi enzi hizo. Kuna baadhi ya watu ndani ya serikali ya Rwanda walianzisha kikundi kinaitwa Interahamwe (maana yake wale walioshikamana) hao waliamini kwamba ili kumaliza changamoto ya uasi wa RPF inabidi waue watutsi wote Rwanda ndio chanzo cha mauaji ya kimbari ya mwaka 1994. Basi wakaanza project chinja chinja ndani kama ya wiki moja waliua watutsi kama 800,000 (utamu wa vita huo) hivi kinachotisha zaidi ni kwamba walikuwa wanatumia zaidi mapanga kuua. Ili kumaliza hayo mauaji RPF wakaingia Rwanda wakafanikiwa kukamata mji mkuu wa Kigali wakaunda serikali. RPF ndio chama cha siasa kinachoongoza Rwanda hata sasa (hapo mwanzo kilikuwa kikosi cha waasi). Wale wabaya wao yaani Interahamwe walipigwa wakakimbilia mashariki ya Kongo. huko inasemekana walianzisha kikosi cha waasi kinaitwa FDLR kupinga serikali ya RPF.
Kwahiyo waasi wa Uganda na waasi wa Rwanda wapo mashariki ya Kongo. Basi Uganda na Rwanda waliamini ili kuwashinda wale wa waasi kwanza wamsaidie Laurent Kabila kuipindua serikali ya Kinshasa na wakafanyo hivyo. Laurent Kabila akawa rais wa Kongo. Kishapo sasa Uganda na Rwanda waendelee na msako dhidi ya waasi wao walio mashariki ya Kongo. Lakini bwana Kabila hakupenda majeshi ya kigeni yaopareti kwenye mipaka yake, kwa hiyo kwa hiyo akawaambia Uganda na Rwanda wasepe. Nafikiri Uganda na Rwanda wakawaza huyu jamaa mjinga nini, basi ukawa ugomvi baina Kongo ya Kabila dhidi ya Rwanda na Uganda. Kabila akaomba msaada kwa mataifa mengine wakaja Zimbabwe na Angola kumsaidia. Mataifa kibao ya Afrika yakawa na majeshi ndani ya Kongo ikaitwa the great African War. Yule bwana Kabila atauawa na mmojawapo wa walinzi wake na washirika wake watampa nchi mwanae anaitwa Joseph Kabila.
Mataifa kama Zimbabwe sijui nani wataondoka Kongo lakini waasi wa serikali za Rwanda na Uganda bado wataendelea kuwepo mashariki ya Kongo. Hivyo tegemea majeshi ya Rwanda na Uganda bado yataendelea kuwepo pale mashariki ya Kongo kupambana na wabaya wao. Hata hivyo baadhi ya watu wataanza kusema majeshi ya Uganda na Rwanda hawapo tu mashariki ya Kongo kwa ajili ya kulinda usalama wao bali pia wanabeba rasilimali pale. Kuna madini pale yanatumika kutengeneza betri za Kompyuta na Simu.
Aisee nachoka kutype sana stori haiishii hapo. Ila hicho ndio kama kiini cha ugomvi
Na kumbuka anaposema mkamate sana Elimu aimaanishi Elimu Dunia ya Bachelor , masters, Doctor, PhD, na professor hapana anamaanisha mkamate sana Roho mtakatifu yeye anakupa uzima in everything you deliverMithali
29 Usiwaze mabaya juu ya jirani yako, Ambaye anakaa karibu nawe na kujiona salama.
Tatizo wewe unaenda kwa historian wakati maneno ya Mungu hayabadiriki. Imendikwa pasipo na Roho sisi hatuwezi lolote. Ukikataa kuwa wa Rohoni then your nithing
Duh nimekubali sana aisee. Hivi unajuwa ukianzisha kanisa alafu ukawa mbishi hivyo halafu unaongea mavitu ambayo hayaeleweki watu wanaweza wakakufuata ukakusanya sadaka ya kutosha.Mithali
29 Usiwaze mabaya juu ya jirani yako, Ambaye anakaa karibu nawe na kujiona salama.
Tatizo wewe unaenda kwa historian wakati maneno ya Mungu hayabadiriki. Imendikwa pasipo na Roho sisi hatuwezi lolote. Ukikataa kuwa wa Rohoni then your nithing
Vita ya DRC imegeuka kutoka kuwa mgogoro wa kijamii hadi mgogoro wa kimaslahi ya ulinzi na uchumi, taifa letu likiwa eastern na southern Africa linapaswa kutambua yafuatayo.