Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 4,967
- 11,056
Jeshi la Wapumbavu....
Tuongee ukweli, hizi mbung'o zikiamka asubuhi zinafanya nini zaidi ya kufagia uwanja wa kwata na zingine zenye vyeo vya kati kufuatilia ni menu gani iko kambini...
Zile mbung'o za captain na kwenda juu nini kupiga soga mchana kutwa....
Mpaka wale kanali na luteni kanali ni wazugaji wakubwa kambini....
Nimesoma shule ya jeshi na na nilikuwa mtoro wakuzunguka kambini siku nzima
Hizi mbung'o hakuna wanachofanya