JWTZ na Serikali waache kudanganya/Kuhadaa Vijana

Kwanini kila wanajeshi watano wawili Ni wakurya.?
Ni kwasababu wakurya wamelitaifisha Hilo jeshi Kama walivyotaifisha jeshi la polisi.
Angalia tu ma SACP and above wa kikurya vs a vs makabila mengine. Au angalia ma OCD na ma OCS utakuta zaidi ya asilimia 40 Ni wakurya au watu wa Musoma.
Kwanini hakuna hata RPC mmoja toka Tanga au Pwani ?
Angalia wakuu wa vikosi JW. Wangapi wanatoka Mara na wangapi wanatoka Lindi?
 
Kama mnataka kuwa wanajeshi nendeni kongo nafasi zipo,watu wanataka nafasi za jeshi kwa udi na uvumba na hali nchi yetu haina vita ,wanataka waende wakafanye nini,wakanenepe eeh.

Nafasi za jeshi kwenye nchi zenye migogoro zipo lukuki ,mnataka kuwa wanajeshi na wakati nchi haina vita ,nyie sio wazalendo kabisa,mnataka mkakae mnenepe tu.

Hamieni kongo nafasi za jeshi zipo wazi na watu wanahitajika kila kukicha
 
Wazee nina 1million nataka kutoboa hizi ,, ni kujibu op makoa makuu.
 
Yuvisisiemu ndio recruitment pool , just imagine .Kwa vilaza wale ndio unategemea kuzalisha Tiss
Hahaha.. Wacha waendelee kubebelea Mizoga.
Si jeshini si Huko UVCCM hakuna intellectuals.. Tuliombee Taifa.
 
Kwani tangazo lililotoka wameshamaliza meseji si Bado watapata wote adi wa maskini [emoji23][emoji23]
 
Hili swala la la nafasi za kujiunga na Jeshi la ulinzi la wananchi Tanzania ni kuwadanganya na kuwahadaa watoto wa maskini Rais na watu wako chini ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga taifa Bashungwa mngeachana nalo tu hili swala, Kwa jinsi mnavyotaka kujisafisha na kujikosha kwa yanayofanyika ndani ya JWTZ na sio kusumbua watoto wa watu, kiukweli ni uhalisia unaofahamika kuwa sahili zote za Makambini Za Vijana Wa Kujitolea Ndani ya jeshi la kujenga taifa bila kuwa na mtu nyuma huwezi enda jwtz hata wenyewe Wanakwambia kwamba hakuna miujiza hiyo pale ni maelekezo tu.

Hizi zinazofanyika kudanganya watoto wa masikini kwamba ni usahili tangu wapo operation makako makuu Dodoma mpaka hawa operation samia hakuna kitu ni rollcall tu ya geresha ili mpate uhalali wa kupitisha watoto wenu wenye maelekezo kwa kisingizio usahili ulifanyika na waliopatikaa ndo hao. Hakuna kitu kama hicho ni kusumbua watoto wa watu.

Sawa kujitolea ni swala moja na kuajiriwa ni swala jingine lakini kama mtu kajitolea kwa miaka miwili na zaidi na nafasi zimetoka sifa na vigezo anavyo inakuaje anaachwa halafu anaenda kuchukuliwa mtu tu aliye nje ya mfumo huko eti kisa tu mkuu anasali nae kanisani ameona kwaya inaimba vizuri anasomba wanakwaya waende jeshini halafu tena watu hao hao wanafika kule wanatoroka au Mnajaza nafasi na kina Ibra Classic halafu tena anatoka unfit

Rais Samia ni heri ingefanyika kama kwa Hayati Magufuli kwamba kama wote wamerudi, warudi wote sio wengine walime na kujitolea si zitoke za ajira wachukuliwe ambao hawakupita kabisa kwenye haya mafunzo ya awali, miaka zaidi ya miwili halafu warudi, kisha watoto wenu na ndugu zenu waliopo uraiani hawajui lolote kuhusu kujitolea mnawapeleka na maelekezo mazito

Kwa mfano kuna hili la juzi vijana waliopo makambini oparesheni samia suluhu walifanya huo wanaoita usahili, yamekuja majina ni watu wale wale waliokwama kule oljoro meseji zilizo zuiliwa ndo yamekuja tena na wengine wamesomwa majina yao tena wakati waliisha andikishwaga(ajiriwa) ni pte sasa hivi Kama kuna kijana anaitwa Abdallah isike huyu alikua kikosi cha oljoro na wengine wengi tu waliisha andikishwaga(ajiriwa) lakini majina yao yamerudi tena hii maanaake nini?

Na sasa hivi tena mmefanya kitu ambacho hakija wahi fanywa na jeshi ili tu mjikoshe katika kuhalalisha kwamba nafasi zilitangazwa lakini sio kweli ni Mnarudisha majina ya watoto wenu tuu ambao majina ni yale yale ya pdf zilizo zuiwa oljoro kwenye ile intake ya 41 ..

Lakini ndani ya jeshi kuna watu ambao bado ni waadilifu sana lakini wanasiasa ndo wanaharibu jeshi letu lilio imara.. lakini ipo siku VIJANA WATACHOKA there is always a first time in everything.​
Usikae kulalamika
 
Wanapitaga hukohuko kwenye mausahili ya PT,UT na Uhamiaji Na Jw kama walivowafanyia walio jenga ukuta wa melerani wote waliahidiwa kwenda jw na Magu ,na akawarudisha nyumbani TISS waliwachukua wote ,sisi tukiwa tunajenga ikulu wao ndio tumewakuta ndo walinzi wanatusimulia yaliyowakuta na kutuambia tusikate tamaa hata tukirudi nyumbani
Course zao vipi wanaenda baada ya saili zote hizo au ni kulingana na mahitaji yao?
 
Hili swala la la nafasi za kujiunga na Jeshi la ulinzi la wananchi Tanzania ni kuwadanganya na kuwahadaa watoto wa maskini Rais na watu wako chini ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga taifa Bashungwa mngeachana nalo tu hili swala, Kwa jinsi mnavyotaka kujisafisha na kujikosha kwa yanayofanyika ndani ya JWTZ na sio kusumbua watoto wa watu, kiukweli ni uhalisia unaofahamika kuwa sahili zote za Makambini Za Vijana Wa Kujitolea Ndani ya jeshi la kujenga taifa bila kuwa na mtu nyuma huwezi enda jwtz hata wenyewe Wanakwambia kwamba hakuna miujiza hiyo pale ni maelekezo tu.

Hizi zinazofanyika kudanganya watoto wa masikini kwamba ni usahili tangu wapo operation makako makuu Dodoma mpaka hawa operation samia hakuna kitu ni rollcall tu ya geresha ili mpate uhalali wa kupitisha watoto wenu wenye maelekezo kwa kisingizio usahili ulifanyika na waliopatikaa ndo hao. Hakuna kitu kama hicho ni kusumbua watoto wa watu.

Sawa kujitolea ni swala moja na kuajiriwa ni swala jingine lakini kama mtu kajitolea kwa miaka miwili na zaidi na nafasi zimetoka sifa na vigezo anavyo inakuaje anaachwa halafu anaenda kuchukuliwa mtu tu aliye nje ya mfumo huko eti kisa tu mkuu anasali nae kanisani ameona kwaya inaimba vizuri anasomba wanakwaya waende jeshini halafu tena watu hao hao wanafika kule wanatoroka au Mnajaza nafasi na kina Ibra Classic halafu tena anatoka unfit

Rais Samia ni heri ingefanyika kama kwa Hayati Magufuli kwamba kama wote wamerudi, warudi wote sio wengine walime na kujitolea si zitoke za ajira wachukuliwe ambao hawakupita kabisa kwenye haya mafunzo ya awali, miaka zaidi ya miwili halafu warudi, kisha watoto wenu na ndugu zenu waliopo uraiani hawajui lolote kuhusu kujitolea mnawapeleka na maelekezo mazito

Kwa mfano kuna hili la juzi vijana waliopo makambini oparesheni samia suluhu walifanya huo wanaoita usahili, yamekuja majina ni watu wale wale waliokwama kule oljoro meseji zilizo zuiliwa ndo yamekuja tena na wengine wamesomwa majina yao tena wakati waliisha andikishwaga(ajiriwa) ni pte sasa hivi Kama kuna kijana anaitwa Abdallah isike huyu alikua kikosi cha oljoro na wengine wengi tu waliisha andikishwaga(ajiriwa) lakini majina yao yamerudi tena hii maanaake nini?

Na sasa hivi tena mmefanya kitu ambacho hakija wahi fanywa na jeshi ili tu mjikoshe katika kuhalalisha kwamba nafasi zilitangazwa lakini sio kweli ni Mnarudisha majina ya watoto wenu tuu ambao majina ni yale yale ya pdf zilizo zuiwa oljoro kwenye ile intake ya 41 ..

Lakini ndani ya jeshi kuna watu ambao bado ni waadilifu sana lakini wanasiasa ndo wanaharibu jeshi letu lilio imara.. lakini ipo siku VIJANA WATACHOKA there is always a first time in everything.​
Pole kwa kukosa ajira za jeshi.
 
Nonsense

Back
Top Bottom