JWTZ na Serikali waache kudanganya/Kuhadaa Vijana

JWTZ na Serikali waache kudanganya/Kuhadaa Vijana

limbuyu ndo kila kitu angalia mfano kwenye vigezo cha umri kwa mtu wa elimu ya juu wakiwa wamemaanisha sijui stashahada, shahada na kuendeleea hakuna mwenye umri usio zidi miaka 27 mwenye shahada na amemaliza mkataba huu ni uongo, huyo mtu hayupo
This is unfair
 
li mbuyu ndo kila kitu angalia mfano kwenye vigezo cha umri kwa mtu wa elimu ya juu wakiwa wamemaanisha sijui stashahada, shahada na kuendeleea hakuna mwenye umri usio zidi miaka 27 mwenye shahada na amemaliza mkataba huu ni uongo, huyo mtu hayupo
Hapo inamaana kama umri umekucha inabid ujiongezee
 
Kwenye umri hapo sijui wamewaza nini, jkt mtu mwenye shahada akijiunga na miaka 25, anatumikia jeshi kwa zaidi ya miaka miwili, bado anakaa uraiani mda mrefu, angalau wangesema miaka 30, lakini nayo pia hio kama hana mbanga kutoboa ni nadra..
 
Ukweli ninaojua Mimi kazi za jeshi wanapewa direct walio kambini it means wanaendelea na mafunzo 😅😅 ilo tamko ni promo tu
Hata hao waliopo wanapewa ambao wanambanga mkuu, unaweza ukawa upo lakini huna akujuaye ni kilio tuuu
 
Nikikumbuka jenerali mmoja alikua ananikumbusha kama na mtu kwenye ukoo wetu analitaka jeshi nimpe majina. Kabla yeye hajafikia umri wa kustaafu.

Kuvaa zile nguo kuna muda ni rahisi ukiwa kwenye mfumoo
Aiseeee
 
Kwenye umri hapo sijui wamewaza nini, jkt mtu mwenye shahada akijiunga na miaka 25, anatumikia jeshi kwa zaidi ya miaka miwili, bado anakaa uraiani mda mrefu, angalau wangesema miaka 30, lakini nayo pia hio kama hana mbanga kutoboa ni nadra..
Mambo mengine yanasikitisha mpaka kuchekesha tu sasa
 
Back
Top Bottom