JWTZ na Serikali waache kudanganya/Kuhadaa Vijana

JWTZ na Serikali waache kudanganya/Kuhadaa Vijana

Nasikitika tu rafiki yangu Colimba tulisoma nae advanced level yeye baada ya kumaliza akaenda JKT hadi leo hana kazi hiyo ya jeshi, japo hata mimi sijaajiriwa ila nna kazi zangu nimejiajiri tu vizuri. Inaumiza sana usipokuwa na referee hutoboi
 
Na mtu anaenda jeshini kufanya nini sasa na Tanzania nchi ya amani kama sio kufuata mishahara tu 😁
 
"[emoji23][emoji23] kwanzia kesho mpka tarehe 14 usipoitwa ndo ushaachwa ivo"

Una maana watu washaanza kupigiwa simu?[emoji28]
 
"[emoji23][emoji23] kwanzia kesho mpka tarehe 14 usipoitwa ndo ushaachwa ivo"

Una maana watu washaanza kupigiwa simu?[emoji28]
hahaha ngoja tuone Mimi sisemi kitu ila kwanzia Leo mpaka 14 ujue umepigwa ndoige
 
Back
Top Bottom