Wapo tayari kuilinda mipaka na nchi kiujumla Sasa kama hakuna vita unataka wafanye nnJeshi la Wapumbavu....
Tuongee ukweli, hizi mbung'o zikiamka asubuhi zinafanya nini zaidi ya kufagia uwanja wa kwata na zingine zenye vyeo vya kati kufuatilia ni menu gani iko kambini...
Zile mbung'o za captain na kwenda juu nini kupiga soga mchana kutwa....
Mpaka wale kanali na luteni kanali ni wazugaji wakubwa kambini....
Nimesoma shule ya jeshi na na nilikuwa mtoro wakuzunguka kambini siku nzima
Hizi mbung'o hakuna wanachofanya
Waache ujinga wao kupiga raia wanyongeWapo tayari kuilinda mipaka na nchi kiujumla Sasa kama hakuna vita unataka wafanye nn
Aliepigwa bila kosa si akashitaki kisheria ila mi naamini sio wajinga wakupiga tu mtu bila kosa lazima Kuna chanzoWaache ujinga wao kupiga raia wanyonge
Wewe ni mgomvi! Tabia hii sio nzuri mbele za watuWaache ujinga wao kupiga raia wanyonge
Hao wa uraiani wanakuwa hawajapitia JAKATA?Uhakika mwamba mie mwenyewe op samia suluh nimefanya usahili mara 3 lakin majina yanayo kuja ni ya watu wa uraiani aise.inauma sana kwa yeyote anaejua nini maana ya service man/girl wa kujitolea yan tumefanya kazi nyingi mno za kuzalisha halafu wala hatuonekqni dah haina umuhimu wa mafunzo ya jkt navo ona mie
Hao wa uraiani wanakuwa hawajapitia JAKATA?
Nadhani sio lazima awe amepitia kwenye mafunzo ya jkt kulingana na sifa za uandikishaji zilizoandikwa kwenye blog ya jwtz... ila kwenye matangazo ya kutuma maombi hiyo wanaweka ni Moja ya kigezoIvi kati ya sifa za kujiunga na jeshi la wananchi, je ni lazima kijana awe amepata mafunzo Jeshi la kujenga taifa au.. ?
Naomba mnipe somo kidogo
Vigezo kutoka katika blog ya jwtzIvi kati ya sifa za kujiunga na jeshi la wananchi, je ni lazima kijana awe amepata mafunzo Jeshi la kujenga taifa au.. ?
Naomba mnipe somo kidogo