moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Kabisa.Wale wanajeshi ni nguvu kazi ya taifa, sasa kupeleka wanajeshi wetu kwenye uwanja wa vita bila maslahi huo ni uwendawazimu.!!
Tushajua kinachogombaniwa mali, sasa kwanini na sisi tusiweke masharti yetu ili tufaidike km wengine??
Wakongomani wenyewe wamekaa zao Kinshasa, Lubumbashi, Karemie, Uvira na Kisangani wanakula bata ila Tanzania ikamwage damu kwa faida yao!!!
Hii haiwezekani.
Kama hawawezi kuweka mzigo mezani wapotezwe tu.