JWTZ, tulindieni heshima yetu yalindeni maslahi yetu DRC-Congo

JWTZ, tulindieni heshima yetu yalindeni maslahi yetu DRC-Congo

Tanganyika haijawahi kua na maslahi nje y kiuchumi nje ya Tanzania. Nyie endeleeni kuvunja matofali.

KAZI ni kipimo cha UTU
Tumewahi kufanya operation Burundi, Comoro, Mozambique hii ni kwa maslahi ya kiuchumi zaidi
 
Wale wanajeshi ni nguvu kazi ya taifa, sasa kupeleka wanajeshi wetu kwenye uwanja wa vita bila maslahi huo ni uwendawazimu.!!

Tushajua kinachogombaniwa mali, sasa kwanini na sisi tusiweke masharti yetu ili tufaidike km wengine??
Huku kunaweka heshima na kupata faida
 
Umeongea point. Hapo mnapotaka kunyang’anya M23 migodi, na yenyewe inailinda kwa masrahi ya wengine. Ni wekeni mezani mtupe hiki na hiki, mzigo wenu upo. So, mnachowaza JWTZ ipewe, kuna na wengine wanapewa hicho hicho. Je, wapo tayari kupoteza!? Kama mlifatilia, kuna case ya Kampuni ya Apple kutumia madini kutoka DRC, na huku ilikatazwa. Ukija kufatilia huo mlolongo,utagundua kitu. Wenye masrahi DRC ni wengi.

Juzi kwenye mkutano wa UN, mkuu wa MONUSCO Bintou Keita, alisema kwamba Rwanda inatumia GPS jamming system, inayosababisha MONUSCO washindwe kutekeleza majukumu yao.
Je, hiyo mifumo Rwanda imeitoa wapi? Unadhani aliongopa!? Na mpaka Rwanda aweze kujam hizo system, UN unadhani kampuni ya kibongo!? Kuna mikono ya watu wengi sana tena wazito.
That's y tunasema, kumuacha Rwanda aendelee Ku dorminate bila kum destruct itapelekea jamaa kuwa powerful that's y tunashauri JWTZ waingie kazini
 
JW hawana uwezo wa kufanya chochote, Goma na mashariki ya Kongo imeshaangukia kwa Kagame, mazungumzo pekee ni kuzuia wasiende kinshansa Ila mashariki Kongo iwe nchi mpya huru, hili ndilo analotaka PK, wakijifanya jeuri kinshansa itadondoka
 
Nazani hujui nguvu ya JWTZ hao waasi ni swala la masaa Watakua Rwanda, labda Tanzania iamue kuwa mjinga ndipo Congo itagawanywa ili Kagame aongeze kipande cha Ardhi
 
Hivi unajidanganya kuwa tuko vizuri kuliko Rwanda?
Mtauponza.
Hao TPDF unaodhani wana uwezo na uelewa wameacha vipi Ikulu akae mtu ambaye anagawa rasilimali kwa Waarabu?
Kazi ya TPDF ni pamoja na kulinda nchi na mipaka. Wao wanalinda nini ikiwa sehemu nyeti zote mpaka sasa kuna wawekezaji ambao hatuoni impacts zao kwenye uchumi wa nchi?
Nenda wizara ya madini wakupe orodha ya migodi inayochimbwa na wawekezaji kisha uje hapa.
Zaidi ya kampuni 500 ziko hapa nchini wanachukua madini huku Watanzania wakigeuzwa watumwa kwenye hiyo migodi
 
Nazani hujui nguvu ya JWTZ hao waasi ni swala la masaa Watakua Rwanda, labda Tanzania iamue kuwa mjinga ndipo Congo itagawanywa ili Kagame aongeze kipande cha Ardhi
JW ipo Kongo muda mrefu na mauaji yanaendelea, Kongo mashariki walitaka kujitenga tangu Kagame hazaliwa, unawafahamu kina Kasavubu? Toka miaka ya 60 Kongo ni mauaji tu, ifike mahali tuseme basi, wale ni binadamu sio kumbikumbi, wajitenge nchi itulie, wawaze maendeleo sio risasi
 
Hakuna kujitenga Mzee
JW alifanya operation maalumu 2013 hamjawahi kusikia mapigano hadi chokochoko zilizoanza mwaka Jana
Kitendo cha JW kuondoa vikosi vyake na kuacha Askari wachache chini ya SADC ndipo makosa yalianzia hapo
Hakuna Raia wa Congo anayetaka kujitenga Ila kuna wahuni wanataka kumiliki maeneo yenye Rasilimali especially Kivu na Goma
Endapo JW watakubaliana na DRC kuendesha operation nakuhakikishia wiki moja nyingi Hali itarudi kama kawaida
 
Hivi unajidanganya kuwa tuko vizuri kuliko Rwanda?
Mtauponza.
Hao TPDF unaodhani wana uwezo na uelewa wameacha vipi Ikulu akae mtu ambaye anagawa rasilimali kwa Waarabu?
Kazi ya TPDF ni pamoja na kulinda nchi na mipaka. Wao wanalinda nini ikiwa sehemu nyeti zote mpaka sasa kuna wawekezaji ambao hatuoni impacts zao kwenye uchumi wa nchi?
Nenda wizara ya madini wakupe orodha ya migodi inayochimbwa na wawekezaji kisha uje hapa.
Zaidi ya kampuni 500 ziko hapa nchini wanachukua madini huku Watanzania wakigeuzwa watumwa kwenye hiyo migodi
Kwa namna Fulani TPDF wamewaamini Sana TISS ambao wamegeuka machawa wa viongozi
Ndani ya TPDF ipo intelligence unit inayoweza Ku monitor, counter na Ku regulate mambo ya nchi hii
Tofaut na Enzi za kikwete miaka ya hivi karibuni kuna makosa yamefanywa kuwaona TISS ndio wamiliki wa nchi hii kitu ambacho kinaonesha uzaifu katika maswala muhimu ikiwepo uwekezaji
Hii ni meseji Kwa Afande Mkunda
 
That's y tunasema, kumuacha Rwanda aendelee Ku dorminate bila kum destruct itapelekea jamaa kuwa powerful that's y tunashauri JWTZ waingie kazini
Kwa hiyo, kwa akili zako JWTZ inaenda kutatua tatizo. Si ndio!? Pole yako. Basi iende tuone. Hizo ni kauli zako. Sema tu mmekuwa na amani mnaona vita raha ehh. Komaeni.
 
Wamatumbi hawa hawa watarudi kulalamika kwanini TZ imeenda vitani wakati ina changamoto nyingi nyumbani za kutatua.
Wapeleke vijana huko walipwe hata Dola million kumi kwa mwezi, kama walivyokua wanalipwa wa Romania. Serikali pia iangalie maslahi mengine. Hasa Tz tunasafirisha sana mafuta DRC hali ikiwa mbaya tutaathirika sana.

imhotep Hammaz
 
Maslahi yapo Congo tu?

Our biggest trading partner is Kenya na nchi za kusini kwanini msiimarishe uhusiano huko?

Mmemaliza ku maximize potential za fursa zingine viwanda, madini, utalii, usafiri, kilimo nk?

Kuacha fursa zingine na kuiwaza Congo kimaslahi ni ufinyu wa akili bora hata mseme for solely humanitarian courses.
Congo wanapitisha mafuta yao mengi bandari ya Dsm, pia wanasafirisha mizigo mingi kuliko nchi yeyote EA. Kwahio Congo ni washirika muhimu sana kwetu, Serikali inataka kujenga SGR ambayo itafika Kigoma, kama huko Congo pakiwa na vita manufaa ni yapi?.
 
Hivi unajidanganya kuwa tuko vizuri kuliko Rwanda?
Mtauponza.
Hao TPDF unaodhani wana uwezo na uelewa wameacha vipi Ikulu akae mtu ambaye anagawa rasilimali kwa Waarabu?
Kazi ya TPDF ni pamoja na kulinda nchi na mipaka. Wao wanalinda nini ikiwa sehemu nyeti zote mpaka sasa kuna wawekezaji ambao hatuoni impacts zao kwenye uchumi wa nchi?
Nenda wizara ya madini wakupe orodha ya migodi inayochimbwa na wawekezaji kisha uje hapa.
Zaidi ya kampuni 500 ziko hapa nchini wanachukua madini huku Watanzania wakigeuzwa watumwa kwenye hiyo migodi
We mnyarwanda tulia TPDF ije huko kuimalisha ulinzi.
 
Afande G. Mkunda

Ni muda wako wa kulinda historia na heshima ya muda mrefu iliyowekwa na watangulizi wako

Yanayoendelea DRC hatuwezi kuyaacha yaendelee, Sisi kama MABABU wa ulinzi na ukombozi katika ukanda wa east na south Africa ni fedheha kuona mgogoro huu unaendelea na Sisi tumekaa tuu bila kuchukua hatua.

Pamoja na madhaifu mengi ya jeshi la Congo, inahitaji hatua ya dharura kuokoa maisha ya watu wanaokufa bila hatia na safari hii tuende kimkakati zaidi

1. Kuwe na Mkataba wa muda mrefu wa ulinzi eneo lote lenye mgogoro -kivu, goma nk liwe chini ya ulinzi wa majeshi ya Tanzania Kwa makubaliano maalumu.

2. JWTZ iweke military base katika maeneo hayo.

3. JWTZ ifanye kandarasi ya Ku reshape jeshi la Congo ili Kuwa stabilize jeshi la Congo.

Endapo makubaliano hayo yatafikiwa basi Afande utakua umeweka historia na kudumisha yaliyofanywa na G.

Mwamunyange, akisaidiwa na Wazee wa kazi chafu B.G Mwakibolwa na Lt.G Mella

Licha za faida kiuchumi tutakazopata bado tunahitaji heshima yetu, wananchi wa Congo wanaimani kuwa JWTZ itawakomboa kutoka mkononi wa waasi.

Afande ni muda wako wa kulinda heshima na maslahi ya Tanzania DRC
[/QUOTE
Kuna sera za nje za Kila rais, kwahiyo hatujui msimamo wa Tanzania Kwa Sasa, huyo Nkunda anasubiri amri hawezii amua pasipo kuamlishwa
 
Back
Top Bottom