JWTZ: Tunamsaka aliyesema tumeongezewa Mshahara

Endeleeni kumsaka, mmeshindwa kuwasaka wabadhirifu na wahalifu wa nchi hii mpo busy na mambo ya kijinga, tatizo lenu mmekua trained kudeal na mambo madogo madogo yasiyo na maslahi kwa Taifa halafu yale yenye maslahi kwa taifa mnakaa pembeni kama vile hampo
 
Mi sijui hata nchi wanailindaje kwakweli?
Wanaongoza kwa kuchukua rusha huko mipakani na kuingiza wageni kwa njia haramu, hapa nchini wamejaa wamalawi hawana vibali na wanaishi kama wapo kwao, nigerians,kuna wakenya na raia wengine wa kigeni kibao ambao ukijiuliza wamaigiaje hupati jibu na they live very confortable bila wasiwasi
 
Nimekumbuka mbali sana nikiwa kambi ya Chabruma huko Songea .

Wajeda uwa hawapendi kuongea maneno kwa uwazi wao ni wazee wa tafsida tu

Kwa maneno haya sikawii kusema namba moja ujumbe ameupokea na atafanyia kazi .

Eti oooh sisi ni wazalendo hatulipwi mshahara tunalitumikia taifa yako wapi ?

Sasa na mimi ngoja nikaendae tangazo la kuwa MCT tunakanusha taarifa iliyochapishwa hapa JF kuwa tumeongezewa maokoto.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Nadhani ni kukosa kazi. Kwani inasaidia nini? Kuna mambo mengi ya muhimu wanapaswa wafanye zaidi ya hayo.
 
Kwahiyo ndugu Afande mnaomba nyongeza kijanja ? kama hamjapata hiyo nyongeza si kanusheni tu , shida iko wapi ?
 
Dah kwahiyo jeshi letu siku hizi limeanza kugombana na raia?[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…