JWTZ wanapendwa sana na raia

JWTZ wanapendwa sana na raia

Kwa mtazamo wangu, Majeshi Yote Tanzania.

Jeshi linalopendwa sana na Watu Wengi ni Jeshi la JWTZ.

Walipopita Sehemu Lazima Watu Waonyeshe Furaha na Imani kwa Jeshi Lao.

Leo JWTZ walipofika Ktk Ghorofa lilianguka Raia wote wameonyesha wazi wazi Furaha na Imani yao wazi wazi kuwa Jeshi ni Imara na wanaweza.

Majeshi mengine Yajifunze kitu..Watu walilipuka kwa Miruzi na Makofi.

Dosari: Ndogo Ndogo kutokana hulka ya mtu binafsi isiwekwe hapa. Ila mi nimetazama Upendo wa Raia kwa Jeshi Lao kiujumla.
Nilichoshangaa kwenda eneo la tukio mikono mitipu🤔🤔
 
Ikifika muda wa kuja nachukua nauli na mazaga natoa msaada vijana wasome wafute ujinga.

Najua nikitua tu, ugomvi unaanzia airport kabla hata sijagusa Vingunguti.
Kuna mwenzako huku washamdaka mambo hayo hayo..
Kaita mapoti et machoko..
😂😂😂😂😂😂

Wewe una vipengere vyako kwa jinsi unavyopondaga vile ngoja ukanyage nchini utajua tu mambo yanavoenda sawa unorthodox
 
Kwasababu hawana direct mission na raia, hata wao mngewachukia vibaya sana kama mnavyowachukia Polisi.
Si kwamba hawana direct mission, ila kwenye mafunzo yao nidhamu ni nguzo, they dont play around ukikosa nidhamu. Is why wale wanao bahatika kwenda mafunzo advanced wanatoka humble.
Majeshi mengine haswa lele la khaki on otherside dispite kuwa in contact na raia mafunzo yao ni kitu kingine, it all about ubabe, raia ni kama second citizen
 
Vip waliokoa wangapi
 
Attachments

  • VID-20241116-WA0050.mp4
    2.3 MB
Ni kweli kabisa hawa jamaa hata kitaani hawanaga mambo mengi tunaishi nao poa sana na hujichanganya na raia bila shida kabisa
 
Unajua kuna watu ambao hawajui wakawa wanasema jeshi la polisi livunjwe na nafasi zao zilichukuliwe na JW eti hawali rushwa. Nlicheka sana. JW siyo kama hawataki rushwa ila kazi yao haiwapi nafasi ya kuomba rushwa kwa wananchi. Mfumo wetu wa jeshi la polisi hata ukichukuwa hawa wanaojiita walokole wawe polisi watachukiwa. Hii ni kwa sababu serikali ndiyo tatizo na siyo jeshi per se.
Huo ndo ukweli hata polisi marekani wanachukiwa na wananchi kutwa nzima tunaona LAPD wanakimbizana barabarani na raia
 
Wakulaumu ni viongozi wa serikali na CCM. Wanatumia polisi kama mbwa.
Polisi wakitumwa mahala kwenda kupambana na watu, huwa wanabeba bunduki, mbwa,magari ya maji, mawe, manati, fimbo, marungu hadi vidumu vya peetrol ili kuchoma waandamanaji.
Nakumbuka Wakati wa Kikwete pale Kariakoo waislam walijipanga kuandamana, likatumwa Jeshi, walikwenda ma lori lao bila ya silaha yoyote na hata kushuka hawakushuka
 
Kuna mwenzako huku washamdaka mambo hayo hayo..
Kaita mapoti et machoko..
😂😂😂😂😂😂

Wewe una vipengere vyako kwa jinsi unavyopondaga vile ngoja ukanyage nchini utajua tu mambo yanavoenda sawa unorthodox
Kwa sasa kitakachonileta Bongo ni msiba wa nuclear family tu.

Tena nakuwa very specific kuhudhuria msiba baada ya msiba nakipa kitu.

Kama washkaji wote kwanza washaondoka hawako Bongo. Kiaro yuko Nairo, Papii Cape Town, hao wengine ndio hata kuwapata wako wapi vurugu, hata walio Bongo wako machimbo huko.

Kama kuangalia wanyama si hobby yangu naweza kuwaangalia hata National Geographic.

Kama beach ndiyo hivyo nishajiongeza Turks and Caicos.

Sasa nije Bongo iweje? Nitekwe?
 
Njia pekee ya kupendwa ni wao kuacha kusimamia sheria iliyotungwa ili ikubane
una maanisha kubambikia watu kesi, kudai rushwa, kuonea watu ndiyo sheria wanazozisimamia? Una maansha wakiacha hivyo ndiyo watachukiwa?
 
Kwa sasa kitakachonileta Bongo ni msiba wa nuclear family tu.

Tena nakuwa very specific kuhudhuria msiba baada ya msiba nakipa kitu.

Kama washkaji wote kwanza washaondoka hawako Bongo. Kiaro yuko Nairo, Papii Cape Town, hao wengine ndio hata kuwapata wako wapi vurugu, hata walio Bongo wako machimbo huko.

Kama kuangalia wanyama si hobby yangu naweza kuwaangalia hata National Geographic.

Kama beach ndiyo hivyo nishajiongeza Turks and Caicos.

Sasa nije Bongo iweje? Nitekwe?
Daaah kweli kuna watu mnakula life..
Ila wewe siku tuki kudaka si tunapiga hovyo hovyo mkuu...

Mkuu seriously bongo lini...?
 
Daaah kweli kuna watu mnakula life..
Ila wewe siku tuki kudaka si tunapiga hovyo hovyo mkuu...

Mkuu seriously bongo lini...?
Sasa unataka kunidaka unipige hovyo hovyo halafu hapo hapo unaniuliza bongo lini?

Unajuaje sipo bongo sasa hivi?

Mimi nishajiapiza hata nikifa sitaki kurudishwa Bongo.

Maisha ni mbele kwa mbele.
 
una maanisha kubambikia watu kesi, kudai rushwa, kuonea watu ndiyo sheria wanazozisimamia? Una maansha wakiacha hivyo ndiyo watachukiwa?
Hakuna nchi polisi anapendwa kwasababu wao ndo law enforcers, sheria zimewekwa kumpunguzia binadam uhuru, wasipokula rushwa wakasimamia sheria bado chuki itakua palepale maana kila kesi itafika mahakamani sheria zilizotungwa kukubana ni nyingi mno
 
Back
Top Bottom