JWTZ wanapendwa sana na raia

JWTZ wanapendwa sana na raia

Kwa mtazamo wangu, Majeshi Yote Tanzania.

Jeshi linalopendwa sana na Watu Wengi ni Jeshi la JWTZ.

Walipopita Sehemu Lazima Watu Waonyeshe Furaha na Imani kwa Jeshi Lao.

Leo JWTZ walipofika Ktk Ghorofa lilianguka Raia wote wameonyesha wazi wazi Furaha na Imani yao wazi wazi kuwa Jeshi ni Imara na wanaweza.

Majeshi mengine Yajifunze kitu..Watu walilipuka kwa Miruzi na Makofi.

Dosari: Ndogo Ndogo kutokana hulka ya mtu binafsi isiwekwe hapa. Ila mi nimetazama Upendo wa Raia kwa Jeshi Lao kiujumla.
Wamaanisha wale wapinda nondo na wavunja tufali kwa ngumi na wabeba mabegi mazita tu mgongoni?
 
Kwa mtazamo wangu, Majeshi Yote Tanzania.

Jeshi linalopendwa sana na Watu Wengi ni Jeshi la JWTZ.

Walipopita Sehemu Lazima Watu Waonyeshe Furaha na Imani kwa Jeshi Lao.

Leo JWTZ walipofika Ktk Ghorofa lilianguka Raia wote wameonyesha wazi wazi Furaha na Imani yao wazi wazi kuwa Jeshi ni Imara na wanaweza.

Majeshi mengine Yajifunze kitu..Watu walilipuka kwa Miruzi na Makofi.

Dosari: Ndogo Ndogo kutokana hulka ya mtu binafsi isiwekwe hapa. Ila mi nimetazama Upendo wa Raia kwa Jeshi Lao kiujumla.
sio kuonyesha,ni kuonesha
 
Si kwamba hawana direct mission, ila kwenye mafunzo yao nidhamu ni nguzo, they dont play around ukikosa nidhamu. Is why wale wanao bahatika kwenda mafunzo advanced wanatoka humble.
Majeshi mengine haswa lele la khaki on otherside dispite kuwa in contact na raia mafunzo yao ni kitu kingine, it all about ubabe, raia ni kama second citizen
Majeshi yote iwe police, prison, nidhamu ndio msingi wa kazi,
 
Yes but jeshi la wananchi ni zaidi. Wao kukufukuza kwa utovu wa nidham rahisi mno. Forces zingine wanateteana sana

Jwtz wako so professionals, siwasifii i know them, walinipiga kozi back in the day
Hata kwa police kufukuzwa kazi ni rahisi sana,
 
Naona kama una tunafikia bana sisi na wanajeshi wetu..
😂😂😂😂
hakuna chembe ya unafiki hapo ni ukweli mtu,

ile habari ya kukuta gwanda mtumbani halafu mnajipa moyo, ati ooh sijui hii imepauka haina soo, ooh haina shida wala noma n.k n.k...

my friend,
tupendane tu na tusiingiliane kwenye rada na nyara za serikali tafadhali 🐒
 
Yes but jeshi la wananchi ni zaidi. Wao kukufukuza kwa utovu wa nidham rahisi mno. Forces zingine wanateteana sana

Jwtz wako so professionals, siwasifii i know them, walinipiga kozi back in the day
Sio raisi kiivyo kuna makosa jeshini husamehewi kama vile wizi unafukuzwa uku unazomewa kabisa

Af makosa mengine yanasameheka mkuu wizi husamehewi na kutembea na mke wa mtu
 
Hata kwa police kufukuzwa kazi ni rahisi sana,
Hell to the big no my man, although sikupita mafunzo yao, but i have my friends, ndugu wako humo. Sisemi wote ni wabaya no kuna beat performing officers na askari ila mostly kuna hawa madudu wanayo yafanya , wangekuwa jwtz wangekuwa out long time. Kama si kuteteana sana na kubebana
 
Sio raisi kiivyo kuna makosa jeshini husamehewi kama vile wizi unafukuzwa uku unazomewa kabisa

Af makosa mengine yanasameheka mkuu wizi husamehewi na kutembea na mke wa mtu
Ww umeona wizi? Kuna makosa mengine makubwa tena unafuluzwa kwa aibu. Unawekwa kwenye ubao wa notisi
 
Kwasababu kazi yao haiwakutanishi na raia moja kwa moja , wengine majukumu yao ni kudeal na wahalifu wa ndani kwahiyo lazima wachukiwe kama ulivyokua unamchukia Monitor na monitress darasani
Kingereza hakina neno monitress acha ujinga
 
hakuna chembe ya unafiki hapo ni ukweli mtu,

ile habari ya kukuta gwanda mtumbani halafu mnajipa moyo, ati ooh sijui hii imepauka haina soo, ooh haina shida wala noma n.k n.k...

my friend,
tupendane tu na tusiingiliane kwenye rada na nyara za serikali tafadhali 🐒
Wajeda mbona watu poa sana mkuu...
😂😂😂😂😂
Sema ni vile unataka kutuchonganisha nao...

Kwani ushawahi ona mtu kabigwa live live kisa gwanda mkuu
 
Back
Top Bottom