JWTZ wanapendwa sana na raia

JWTZ wanapendwa sana na raia

Jw ni jumla ya majeshi mbalimbali ikiwemo land force, nany, air force na Jkt. Nje ya hapo hakuna chombo kinaitwa jeshi. Chombo cha kiraia huwezi kukiita jeshi. Labda kama hufahamu jeshi ni nini.
Kwa mujibu wa Katiba ama?
 
Wabongo bwanah unafki mwingii washasahau siku walipohamasishana maandamano jeiwii walikuwa na Chalamila wakifanya usafi. Ili wananchi wakifanya fyoko wapigike.
Polis na hao lao Moja kuwatumikia wakubwa.
 
Kwa mtazamo wangu, Majeshi Yote Tanzania.

Jeshi linalopendwa sana na Watu Wengi ni Jeshi la JWTZ.

Walipopita Sehemu Lazima Watu Waonyeshe Furaha na Imani kwa Jeshi Lao.

Leo JWTZ walipofika Ktk Ghorofa lilianguka Raia wote wameonyesha wazi wazi Furaha na Imani yao wazi wazi kuwa Jeshi ni Imara na wanaweza.

Majeshi mengine Yajifunze kitu..Watu walilipuka kwa Miruzi na Makofi.

Dosari: Ndogo Ndogo kutokana hulka ya mtu binafsi isiwekwe hapa. Ila mi nimetazama Upendo wa Raia kwa Jeshi Lao kiujumla.
Ungeweka picha hapa tuone hiyo furaha ya kweli uliyoizungumzia.

Furaha ya kweli huonekana kwamuonekano, na sio kimaandishi
 
Kwa mtazamo wangu, Majeshi Yote Tanzania.

Jeshi linalopendwa sana na Watu Wengi ni Jeshi la JWTZ.

Walipopita Sehemu Lazima Watu Waonyeshe Furaha na Imani kwa Jeshi Lao.

Leo JWTZ walipofika Ktk Ghorofa lilianguka Raia wote wameonyesha wazi wazi Furaha na Imani yao wazi wazi kuwa Jeshi ni Imara na wanaweza.

Majeshi mengine Yajifunze kitu..Watu walilipuka kwa Miruzi na Makofi.

Dosari: Ndogo Ndogo kutokana hulka ya mtu binafsi isiwekwe hapa. Ila mi nimetazama Upendo wa Raia kwa Jeshi Lao kiujumla.
Upendo hauokoi, uwezo ndio unaokoa.
 
Kingereza hakina neno monitress acha ujinga
We ni kilaza ungenyamaza nisingejua kama hauna akili haya hamna monitress kuna nini? Au na wewe ndo wale wajinga mnaoita montress
 
Hell to the big no my man, although sikupita mafunzo yao, but i have my friends, ndugu wako humo. Sisemi wote ni wabaya no kuna beat performing officers na askari ila mostly kuna hawa madudu wanayo yafanya , wangekuwa jwtz wangekuwa out long time. Kama si kuteteana sana na kubebana
-Sikubaliani na wewe
- ushasema washakupa mafunzo maana yake uko huko, tushapata majibu
 
Back
Top Bottom