Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Nilichoshangaa kwenda eneo la tukio mikono mitipuπ€π€Kwa mtazamo wangu, Majeshi Yote Tanzania.
Jeshi linalopendwa sana na Watu Wengi ni Jeshi la JWTZ.
Walipopita Sehemu Lazima Watu Waonyeshe Furaha na Imani kwa Jeshi Lao.
Leo JWTZ walipofika Ktk Ghorofa lilianguka Raia wote wameonyesha wazi wazi Furaha na Imani yao wazi wazi kuwa Jeshi ni Imara na wanaweza.
Majeshi mengine Yajifunze kitu..Watu walilipuka kwa Miruzi na Makofi.
Dosari: Ndogo Ndogo kutokana hulka ya mtu binafsi isiwekwe hapa. Ila mi nimetazama Upendo wa Raia kwa Jeshi Lao kiujumla.
Kuna mwenzako huku washamdaka mambo hayo hayo..Ikifika muda wa kuja nachukua nauli na mazaga natoa msaada vijana wasome wafute ujinga.
Najua nikitua tu, ugomvi unaanzia airport kabla hata sijagusa Vingunguti.
Kwann polisi wanachukiwa sana?Kwasababu hawana direct mission na raia, hata wao mngewachukia vibaya sana kama mnavyowachukia Polisi.
Usiwe unaongea kitu kama hujuiPolisi kazi yao kutumika kisenge tu.
Felia kabisa
Si kwamba hawana direct mission, ila kwenye mafunzo yao nidhamu ni nguzo, they dont play around ukikosa nidhamu. Is why wale wanao bahatika kwenda mafunzo advanced wanatoka humble.Kwasababu hawana direct mission na raia, hata wao mngewachukia vibaya sana kama mnavyowachukia Polisi.
Huo ndo ukweli hata polisi marekani wanachukiwa na wananchi kutwa nzima tunaona LAPD wanakimbizana barabarani na raiaUnajua kuna watu ambao hawajui wakawa wanasema jeshi la polisi livunjwe na nafasi zao zilichukuliwe na JW eti hawali rushwa. Nlicheka sana. JW siyo kama hawataki rushwa ila kazi yao haiwapi nafasi ya kuomba rushwa kwa wananchi. Mfumo wetu wa jeshi la polisi hata ukichukuwa hawa wanaojiita walokole wawe polisi watachukiwa. Hii ni kwa sababu serikali ndiyo tatizo na siyo jeshi per se.
Hoja ya msingi sanaKwasababu hawana direct mission na raia, hata wao mngewachukia vibaya sana kama mnavyowachukia Polisi.
Polisi wakitumwa mahala kwenda kupambana na watu, huwa wanabeba bunduki, mbwa,magari ya maji, mawe, manati, fimbo, marungu hadi vidumu vya peetrol ili kuchoma waandamanaji.Wakulaumu ni viongozi wa serikali na CCM. Wanatumia polisi kama mbwa.
Kwa sasa kitakachonileta Bongo ni msiba wa nuclear family tu.Kuna mwenzako huku washamdaka mambo hayo hayo..
Kaita mapoti et machoko..
ππππππ
Wewe una vipengere vyako kwa jinsi unavyopondaga vile ngoja ukanyage nchini utajua tu mambo yanavoenda sawa unorthodox
una maanisha kubambikia watu kesi, kudai rushwa, kuonea watu ndiyo sheria wanazozisimamia? Una maansha wakiacha hivyo ndiyo watachukiwa?Njia pekee ya kupendwa ni wao kuacha kusimamia sheria iliyotungwa ili ikubane
Kama wanakubali kutumika ni kwa upumbavu wao. Kwanini ccm isilitumie Jeshi kama inaweza? Jibu ni rahisi tu Jeshini hapaingiliki kizembe na chombo kinaogopwa sana.Wakulaumu ni viongozi wa serikali na CCM. Wanatumia polisi kama mbwa.
Daaah kweli kuna watu mnakula life..Kwa sasa kitakachonileta Bongo ni msiba wa nuclear family tu.
Tena nakuwa very specific kuhudhuria msiba baada ya msiba nakipa kitu.
Kama washkaji wote kwanza washaondoka hawako Bongo. Kiaro yuko Nairo, Papii Cape Town, hao wengine ndio hata kuwapata wako wapi vurugu, hata walio Bongo wako machimbo huko.
Kama kuangalia wanyama si hobby yangu naweza kuwaangalia hata National Geographic.
Kama beach ndiyo hivyo nishajiongeza Turks and Caicos.
Sasa nije Bongo iweje? Nitekwe?
Hilo limeingiza dosar kubwa sanaUsije kushangaa kukuta leo hii mtu katekwa pamoja na kwamba kuna maafa lakini mingine iko busy kuteka wenzao.
Sasa unataka kunidaka unipige hovyo hovyo halafu hapo hapo unaniuliza bongo lini?Daaah kweli kuna watu mnakula life..
Ila wewe siku tuki kudaka si tunapiga hovyo hovyo mkuu...
Mkuu seriously bongo lini...?
Hakuna nchi polisi anapendwa kwasababu wao ndo law enforcers, sheria zimewekwa kumpunguzia binadam uhuru, wasipokula rushwa wakasimamia sheria bado chuki itakua palepale maana kila kesi itafika mahakamani sheria zilizotungwa kukubana ni nyingi mnouna maanisha kubambikia watu kesi, kudai rushwa, kuonea watu ndiyo sheria wanazozisimamia? Una maansha wakiacha hivyo ndiyo watachukiwa?