JWTZ wanapendwa sana na raia

Wamaanisha wale wapinda nondo na wavunja tufali kwa ngumi na wabeba mabegi mazita tu mgongoni?
 
sio kuonyesha,ni kuonesha
 
Majeshi yote iwe police, prison, nidhamu ndio msingi wa kazi,
 
Yes but jeshi la wananchi ni zaidi. Wao kukufukuza kwa utovu wa nidham rahisi mno. Forces zingine wanateteana sana

Jwtz wako so professionals, siwasifii i know them, walinipiga kozi back in the day
Hata kwa police kufukuzwa kazi ni rahisi sana,
 
tuliaminishwa ni jeshi bora kabisa la ardhini,sio africa tu bali duniani kote
 
Naona kama una tunafikia bana sisi na wanajeshi wetu..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hakuna chembe ya unafiki hapo ni ukweli mtu,

ile habari ya kukuta gwanda mtumbani halafu mnajipa moyo, ati ooh sijui hii imepauka haina soo, ooh haina shida wala noma n.k n.k...

my friend,
tupendane tu na tusiingiliane kwenye rada na nyara za serikali tafadhali πŸ’
 
Yes but jeshi la wananchi ni zaidi. Wao kukufukuza kwa utovu wa nidham rahisi mno. Forces zingine wanateteana sana

Jwtz wako so professionals, siwasifii i know them, walinipiga kozi back in the day
Sio raisi kiivyo kuna makosa jeshini husamehewi kama vile wizi unafukuzwa uku unazomewa kabisa

Af makosa mengine yanasameheka mkuu wizi husamehewi na kutembea na mke wa mtu
 
Hata kwa police kufukuzwa kazi ni rahisi sana,
Hell to the big no my man, although sikupita mafunzo yao, but i have my friends, ndugu wako humo. Sisemi wote ni wabaya no kuna beat performing officers na askari ila mostly kuna hawa madudu wanayo yafanya , wangekuwa jwtz wangekuwa out long time. Kama si kuteteana sana na kubebana
 
Sio raisi kiivyo kuna makosa jeshini husamehewi kama vile wizi unafukuzwa uku unazomewa kabisa

Af makosa mengine yanasameheka mkuu wizi husamehewi na kutembea na mke wa mtu
Ww umeona wizi? Kuna makosa mengine makubwa tena unafuluzwa kwa aibu. Unawekwa kwenye ubao wa notisi
 
Kwasababu kazi yao haiwakutanishi na raia moja kwa moja , wengine majukumu yao ni kudeal na wahalifu wa ndani kwahiyo lazima wachukiwe kama ulivyokua unamchukia Monitor na monitress darasani
Kingereza hakina neno monitress acha ujinga
 
Wajeda mbona watu poa sana mkuu...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sema ni vile unataka kutuchonganisha nao...

Kwani ushawahi ona mtu kabigwa live live kisa gwanda mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…