JWTZ wanapendwa sana na raia

Jw ni jumla ya majeshi mbalimbali ikiwemo land force, nany, air force na Jkt. Nje ya hapo hakuna chombo kinaitwa jeshi. Chombo cha kiraia huwezi kukiita jeshi. Labda kama hufahamu jeshi ni nini.
Kwa mujibu wa Katiba ama?
 
Wabongo bwanah unafki mwingii washasahau siku walipohamasishana maandamano jeiwii walikuwa na Chalamila wakifanya usafi. Ili wananchi wakifanya fyoko wapigike.
Polis na hao lao Moja kuwatumikia wakubwa.
 
Ungeweka picha hapa tuone hiyo furaha ya kweli uliyoizungumzia.

Furaha ya kweli huonekana kwamuonekano, na sio kimaandishi
 
Upendo hauokoi, uwezo ndio unaokoa.
 
Kingereza hakina neno monitress acha ujinga
We ni kilaza ungenyamaza nisingejua kama hauna akili haya hamna monitress kuna nini? Au na wewe ndo wale wajinga mnaoita montress
 
-Sikubaliani na wewe
- ushasema washakupa mafunzo maana yake uko huko, tushapata majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…