spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,156
42 days, no anger, reasoning and stability, act from within not by responding to the outer "provocative" blanks!!!
Some people are made to be fixed by the same reactions against their actions. They understand better when you go down to their kneels rather than showing them the differences between dark and light. I use ass languages rarely and after a number of warning shots. Thanx bro, lets get where we belong!
Huku ni Tanzania sio Marekani na sheria za kwao zinaruhusu kwetu sheria haziruhusu kuuza wala kuvaa nguo za jeshi kwa mtu asiyehusika. Imeeleweka hiyo!?
vaa tuu mbona mi nimevaa najuzi nimepita toka tabata hadi kigogo free tuu...Juzi kwenye daladala nilikuta na mshikaji amevaa kiraia (Anaonekana laini na legevu hawezi kuwa ni mjeda).., sasa begi lake la mkanda la kuvaa bega moja lilikuwa na rangi za kijeshi pure kabisa.., sasa jee kwani begi sio vazi..??! coz mavazi tumeshapewa onyo kali sana mpaka naogopa!
Na zile za watoto?
Mbona za polisi hazivaliwagi!!!?
kutokujua sheria nalo ni kosa kisheria
na sisi usalama, hatutaki kuona RAIA wamevaa Kaunda suit..hilo ni kosa
Mbona za polisi hazivaliwagi!!!?
Heshima.....!
Polisi na soldier ni viumbe viwili tofauti sana linapokuja suala la respect..
Hazina deal.unaonekana mganga njaa mkimbiza mamantilie na wanywa gongo.kwa kifupi hazina heshima mbele ya jamii kama za jwtz!!ndo mana hats watoto Wa shule hawawapishi seat ktk daldala
Kuvaa mfananio na jeshi huwahamasisha vijana kupenda jeshi toka utotoni. Marekani ni ruksa kuvaa toka umri mdogo ndio maana huchangamkia kujiunga na jeshi wakati wa vita.
Wasanii wa marekani mfano Rihanna ni ruks kuvaa vya jeshi, wacheza sinema wa Hollywood nao ni ruksa. Si mmeona picha za akina Shwazznegaer . Hawa huruhusiwa kutumia mpaka ndege za Kivita (Top Gun) na vifaru. Wasani hukuza uchumkhiv