JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

Mwambie usaili WA Kule lazma wakague ka marinda yapo hawakubal kuuziwa mbuzi kwny gunia
Nilienda kwa mujibu wa sheria, ila intake yangu hatukukaguliwaaa marindaaa. Ila wa mwanzo walikaguliwa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilienda kwa mujibu wa sheria, ila intake yangu hatukukaguliwaaa marindaaa. Ila wa mwanzo walikaguliwa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mujibu hua hawakagui Mara nyingi wanawakagua wa kujitolea na ukitaka kuivaa nguo yao yaani baka lazima ukaguliwe Haswaa sio marinda tu hata mshipa ka ufanya kazi utaambiwa ukohoe
 
CCM kwa sasa ina wanachama na uongozi unaoharibu taifa. Watolewe wameshashindwa kulijenga taifa maana wapo nje ya misingi ya ujenzi wa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…