TPDF_23
Member
- Jul 27, 2022
- 50
- 83
ili mtu ajichanganye akapigwe sungunyo. .😂😂Haha jamaa wa "Ikuru"...
Naona anatumia nguvu nyingi sana kuwaaminisha watu kuwa ana connection ya uhakika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ili mtu ajichanganye akapigwe sungunyo. .😂😂Haha jamaa wa "Ikuru"...
Naona anatumia nguvu nyingi sana kuwaaminisha watu kuwa ana connection ya uhakika.
Aiseh, hebu njoo inbox kwanza tuone tunaanzia wapi...😃Jamani tufundishane namna ya kupata mbanga wengine hela zipo ila hatujui pa kuanzia
Utapigwa ww mpk ushangae yaani wenzako wanaonyana hapo juu kuhusu matapeli we ndio unajianika kwamba kibunda kipo au sioJamani tufundishane namna ya kupata mbanga wengine hela zipo ila hatujui pa kuanzia
Muone jamaa wa "ikuru"Jamani tufundishane namna ya kupata mbanga wengine hela zipo ila hatujui pa kuanzia
Huwezi ukapata mbaga wa uhakika kwa kutanguliza HELA mbeleJamani tufundishane namna ya kupata mbanga wengine hela zipo ila hatujui pa kuanzia
Huyo ataishia kupunwa tuMuone jamaa wa "ikuru"
Mwaka jana nilikuwa namlalamikia jamaa wa ikuru kwa kunipuna vijisenti vyangu lkn baadae mambo yakawa safiHaha jamaa wa "Ikuru"...
Naona anatumia nguvu nyingi sana kuwaaminisha watu kuwa ana connection ya uhakika.
Sahihi kabisa...Huwezi ukapata mbaga wa uhakika kwa kutanguliza HELA mbele
Mbaga mzuri ni Yule anaekusaidia for free
Percent kubwa ya wanaotegemea mbaga kwa kutanguliza HELA mbele huwa hawatoboi
hahahaaa na ukasema had kufika disemba hajakupeleka unaweka ID yake hapa,umetoka nae mbali sanaMwaka jana nilikuwa namlalamikia jamaa wa ikuru kwa kunipuna vijisenti vyangu lkn baadae mambo yakawa safi
Mwaka jana nafasi zilitoka? Na vipi mwaka huu? jamaa yako wa ikulu analonja ya hiliMara nyingi zinapotangazwa nafasi za kazi vyombo vya ulinzi baadhi ya wanavitengo wasio waaminifu hutumia hiyo fursa kufanya utapeli usishangae
Captain
Major
Luten
Nk
Kukupuna vijisenti vyako (vya mjinga huliwa na mwelevu)
Hata kama ni wewe mtu humjui akujui anakuletea one milion utaiacha ?
Mwaka jana kuna RPC aliomba kustafu ndani ya mwezi mmoja toka Astafu akawa anataka binti yake ambae ni degree holder aingie Tiss
Basi bwana wee RPC akakutana na kaunda suti mmoja maarufu kwa jina la Mr G (huyu Mr G ni adui wa jamaa yangu wa ikuru)
RPC akampa Mr G 1.5 milioni, Mr G akamchukua huyo binti mpaka mkoa fulani huko akafika anawaweka pale (jumla walikuwa 8 watu ambao Mr G kachukua hela zao na aliyetoa kiasi kidogo ni laki 8)
Wakaa pale wiki ya kwanza ikaisha ya pili ya tatu (kama mnakumbuka mwaka jana nafasi zilichelewa kutoka mategemeo yalikuwa zitoke mwezi 8-10 ila ikawa bilabila)
Kufupisha story ni kuwa kati ya hao nane hakuna aliyepata nafasi
SASA KAMA RPC ANAPUNWA WEWE NI NANI USIPUNWE
TISS kutangaza nafasi...........!Mara nyingi zinapotangazwa nafasi za kazi vyombo vya ulinzi baadhi ya wanavitengo wasio waaminifu hutumia hiyo fursa kufanya utapeli usishangae
Captain
Major
Luten
Nk
Kukupuna vijisenti vyako (vya mjinga huliwa na mwelevu)
Hata kama ni wewe mtu humjui akujui anakuletea one milion utaiacha ?
Mwaka jana kuna RPC aliomba kustafu ndani ya mwezi mmoja toka Astafu akawa anataka binti yake ambae ni degree holder aingie Tiss
Basi bwana wee RPC akakutana na kaunda suti mmoja maarufu kwa jina la Mr G (huyu Mr G ni adui wa jamaa yangu wa ikuru)
RPC akampa Mr G 1.5 milioni, Mr G akamchukua huyo binti mpaka mkoa fulani huko akafika anawaweka pale (jumla walikuwa 8 watu ambao Mr G kachukua hela zao na aliyetoa kiasi kidogo ni laki 8)
Wakaa pale wiki ya kwanza ikaisha ya pili ya tatu (kama mnakumbuka mwaka jana nafasi zilichelewa kutoka mategemeo yalikuwa zitoke mwezi 8-10 ila ikawa bilabila)
Kufupisha story ni kuwa kati ya hao nane hakuna aliyepata nafasi
SASA KAMA RPC ANAPUNWA WEWE NI NANI USIPUNWE
Alinisaidia zile zilizopita hizi ananipa chenga za mwili tuMwaka jana nafasi zilitoka? Na vipi mwaka huu? jamaa yako wa ikulu analonja ya hili
Wap wamesema tiss walitangaza nafasi?TISS kutangaza nafasi...........!
sera hizi,
mkuu ckupingi ila ni vile ckuamini hata kidg
mpe salama jamaa ako wa ikulu
peace
We si ulisemq jamaa yako wa ikuru tayari kashasababisha tena ukasema sijui mdogo wake demu wako..😂😂😂😂 et umsogeze pwqni...... Duuuh we jamaa unataka uvute watu uwapige so bure....na atakayejichanganya tayar mtu mwenye connection hawezi akajitangaza hivi hadharani kila dayAlinisaidia zile zilizopita hizi ananipa chenga za mwili tu
Anajitekenya alafu anacheka mwenyewe tenaWe si ulisemq jamaa yako wa ikuru tayari kashasababisha tena ukasema sijui mdogo wake demu wako..😂😂😂😂 et umsogeze pwqni...... Duuuh we jamaa unataka uvute watu uwapige so bure....na atakayejichanganya tayar mtu mwenye connection hawezi akajitangaza hivi hadharani kila day
[emoji3][emoji3][emoji3] Jamaa wa "Ikuru"Mara nyingi zinapotangazwa nafasi za kazi vyombo vya ulinzi baadhi ya wanavitengo wasio waaminifu hutumia hiyo fursa kufanya utapeli usishangae