JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

Jamani tufundishane namna ya kupata mbanga wengine hela zipo ila hatujui pa kuanzia
Utapigwa ww mpk ushangae yaani wenzako wanaonyana hapo juu kuhusu matapeli we ndio unajianika kwamba kibunda kipo au sio
 
Haha jamaa wa "Ikuru"...

Naona anatumia nguvu nyingi sana kuwaaminisha watu kuwa ana connection ya uhakika.
Mwaka jana nilikuwa namlalamikia jamaa wa ikuru kwa kunipuna vijisenti vyangu lkn baadae mambo yakawa safi
 
Unaweza ukatoboa kwa vigezo lkn kutegemea vigezo tu huwa ni ngumu zaidi kwa sababu waombaji wa hizo nafasi wote ni mkusanyiko wa wenye vigezo

Unaweza kutoboa kwa bahati (God plan)

Lakini ni vyema zaidi mkajipanga kwa kutengeneza connection kwa NIDHAMU tafuta mtumishi yoyote hasa madaktari hawa huwa wanaconnection saana
Tafuta mtu yoyote mwenye wadhifa jenga nae bond muheshimu alafu ishi

Huu ujinga wa kutanguliza HELA MTAPUNWA SAANA
 
Mara nyingi zinapotangazwa nafasi za kazi vyombo vya ulinzi baadhi ya wanavitengo wasio waaminifu hutumia hiyo fursa kufanya utapeli usishangae
Captain
Major
Luten
Nk
Kukupuna vijisenti vyako (vya mjinga huliwa na mwelevu)
Hata kama ni wewe mtu humjui akujui anakuletea one milion utaiacha ?

Mwaka jana kuna RPC aliomba kustafu ndani ya mwezi mmoja toka Astafu akawa anataka binti yake ambae ni degree holder aingie Tiss
Basi bwana wee RPC akakutana na kaunda suti mmoja maarufu kwa jina la Mr G (huyu Mr G ni adui wa jamaa yangu wa ikuru)

RPC akampa Mr G 1.5 milioni, Mr G akamchukua huyo binti mpaka mkoa fulani huko akafika anawaweka pale (jumla walikuwa 8 watu ambao Mr G kachukua hela zao na aliyetoa kiasi kidogo ni laki 8)

Wakaa pale wiki ya kwanza ikaisha ya pili ya tatu (kama mnakumbuka mwaka jana nafasi zilichelewa kutoka mategemeo yalikuwa zitoke mwezi 8-10 ila ikawa bilabila)

Kufupisha story ni kuwa kati ya hao nane hakuna aliyepata nafasi

SASA KAMA RPC ANAPUNWA WEWE NI NANI USIPUNWE
 
Mwaka jana nafasi zilitoka? Na vipi mwaka huu? jamaa yako wa ikulu analonja ya hili
 
TISS kutangaza nafasi...........!
sera hizi,
mkuu ckupingi ila ni vile ckuamini hata kidg
mpe salama jamaa ako wa ikulu
peace
 
Alinisaidia zile zilizopita hizi ananipa chenga za mwili tu
We si ulisemq jamaa yako wa ikuru tayari kashasababisha tena ukasema sijui mdogo wake demu wako..😂😂😂😂 et umsogeze pwqni...... Duuuh we jamaa unataka uvute watu uwapige so bure....na atakayejichanganya tayar mtu mwenye connection hawezi akajitangaza hivi hadharani kila day
 
A

Anajitekenya alafu anacheka mwenyewe tena
 
Mara nyingi zinapotangazwa nafasi za kazi vyombo vya ulinzi baadhi ya wanavitengo wasio waaminifu hutumia hiyo fursa kufanya utapeli usishangae
Captain
Major
Luten
Nk
Kukupuna vijisenti vyako (vya mjinga huliwa na mwelevu)
Hata kama ni wewe mtu humjui akujui anakuletea one milion utaiacha ?

Mwaka jana kuna RPC aliomba kustafu ndani ya mwezi mmoja toka Astafu akawa anataka binti yake ambae ni degree holder aingie Tiss
Basi bwana wee RPC akakutana na kaunda suti mmoja maarufu kwa jina la Mr G (huyu Mr G ni adui wa jamaa yangu wa ikuru)

RPC akampa Mr G 1.5 milioni, Mr G akamchukua huyo binti mpaka mkoa fulani huko akafika anawaweka pale (jumla walikuwa 8 watu ambao Mr G kachukua hela zao na aliyetoa kiasi kidogo ni laki 8)

Wakaa pale wiki ya kwanza ikaisha ya pili ya tatu (kama mnakumbuka mwaka jana nafasi zilichelewa kutoka mategemeo yalikuwa zitoke mwezi 8-10 ila ikawa bilabila)

Kufupisha story ni kuwa kati ya hao nane hakuna aliyepata nafasi

SASA KAMA RPC ANAPUNWA WEWE NI NANI USIPUNWE
[emoji3][emoji3][emoji3] Jamaa wa "Ikuru"
 
Back
Top Bottom