Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
Ivi saiz mafunzo ni miez 4 au 6 wadau msaada??
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc😡southernboyIvi saiz mafunzo ni miez 4 au 6 wadau msaada??
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Yeah!! Nahisi ivo.Eeeh mpaka mwezi wa nane uko si ndo watamaliza wa mujibu..
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
miezi 6 nowIvi saiz mafunzo ni miez 4 au 6 wadau msaada??
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
miezi 6 now
miezi 6 now
miezi 6 now
Kozi ni ya siku 90Miez sita ni wakujitolea mujibu ni miez 3 tu Ko wa8 mwishoni mujib wanatoka
miezi 6 now
hiyo ni jkt nilimaanisha rts,jkt sahizi hata wa kujitolea wanapiga mi4Miez sita ni wakujitolea mujibu ni miez 3 tu Ko wa8 mwishoni mujib wanatoka
Ewaaa apo sawa nazungumzia rts apo umenipa ufunguo ni miez sita Dadeqiii Mdogo Wang Ata survive kwelii!!hiyo ni jkt nilimaanisha rts,jkt sahizi hata wa kujitolea wanapiga mi4
ata survive tu kwan wanaomalza koz wana nini cha ziada kumshinda... mdogo ako ana elimu gani mkuu?!Ewaaa apo sawa nazungumzia rts apo umenipa ufunguo ni miez sita Dadeqiii Mdogo Wang Ata survive kwelii!!
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ana elimu ya kidato cha nne alifaulu Vizuri ila akaenda kusoma diploma ya Clinical Medicine (Clinical officer) kwa kiswahili afisa Tabibuata survive tu kwan wanaomalza koz wana nini cha ziada kumshinda... mdogo ako ana elimu gani mkuu?!
kwa alichokisomea magoli sana yan afya (biomedical, co, lab) shav sana... akipita sku moja atavaa nyotaAna elimu ya kidato cha nne alifaulu Vizuri ila akaenda kusoma diploma ya Clinical Medicine (Clinical officer) kwa kiswahili afisa Tabibu
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Hahah ndugu unanipa moto sana natamani na Mimi Miaka ingerudi nyuma yani Mimi nilisomea "medical Laboratory" afu nilikuwa napenda sana ujeda lakini ukanipiga chengakwa alichokisomea magoli sana yan afya (biomedical, co, lab) shav sana... akipita sku moja atavaa nyota
Mungu ni mwema nyakat zote mdogo ako atapta tuHahah ndugu unanipa moto sana natamani na Mimi Miaka ingerudi nyuma yani Mimi nilisomea "medical Laboratory" afu nilikuwa napenda sana ujeda lakini ukanipiga chenga
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Amina Ndugu shukrani sana yaaani acha Mimi mpaka now Nina 30 kasoro Moja nimepambana na Banga zote ila nimeishiwa kutapeliwa tu.Mungu ni mwema nyakat zote mdogo ako atapta tu
daah pole sana mwanangu sometimes banga nazo huwaga zina banga zao yan unakutana na banga dalali[emoji28] mwishowe anakuacha kwenye mataaAmina Ndugu shukrani sana yaaani acha Mimi mpaka now Nina 30 kasoro Moja nimepambana na Banga zote ila nimeishiwa kutapeliwa tu.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Hahah Banga dalalidaah pole sana mwanangu sometimes banga nazo huwaga zina banga zao yan unakutana na banga dalali[emoji28] mwishowe anakuacha kwenye mataa