elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Kweli aisee yani hakuna anayethubutu kuandika against hata bwana shigongo.Ndugu yangu usisahau kua Mzee Mengi ni mlezi wa wanahabari na ili hayo yasemwe ni kupitia habari hata kama ni za udaku.
Mkuu nimejikuta nacheka kama mazuriwaliachana mke alikuwa mtata yule mama dah iko siku alimfukuza mzee akatoka nduki akaruka ukuta wa nyumba hata geti hakuliona
habari ndo hiyo.Sasa angewaita kina shilole unadhani?
Lazima waende watu wa class flani hvi
shule kwa wengine ni kazi bure..kuna waliosoma mpaka ma PHD but still maVilaza kama wao hakuna..nadhani kuna shule nyingine ya uraiyani (ustaarabu) inasaidia ukiachana na shule ya darasani.I think i totally agree with you shule ndio kila kitu yaan .... And nafikiri she has passion with interior designing that's why she came up with that spectacular idea of selling furniture and interior decors..... Shule shule ndio mambo yote.....
Ni kweli ndio maana nikaadd kwa kusema shule + maarifa na wewe umeongezea hapo ukiwa mstaarabu...shule kwa wengine ni kazi bure..kuna waliosoma mpaka ma PHD but still maVilaza kama wao hakuna..nadhani kuna shule nyingine ya uraiyani (ustaarabu) inasaidia ukiachana na shule ya darasani.
indeedLook at her clique,what a circle of Influence!!!.........
habari za singeli na wema sepenga. hahahahHabari zao mpaka Ununue Business Times,The Guardian utawakuta kwenye economic Forums..........sasa wewe ukijiloga ukanunua ''Wikienda''.......Ni Habari za ............. na vigodoro.
like 1000000000 tilionsHuyu ndio alichagua fursa, yaani hata akiamua akae ndani anaangalia tv tu anauhakika wa kula bata hadi anakufa. Sio wale vinuka mkojo wanaopoteza muda kwa vitoto vikina Harmonize. We waache tu fainali uzeeni
hahaha. lipstick quality yake ya elfu 5 anauza elfu 25. shame on her. awauzie hao hao mavilaza wenzake. mmxiieewww.Hao waanze kupiga piga self tu ... Hivi Wema biashara Yake ya lips Stick ipo
Wengine walifuata sura wakaambulia kufundishwa uteja na kupoteza kila kitu.Huyu ndio alichagua fursa, yaani hata akiamua akae ndani anaangalia tv tu anauhakika wa kula bata hadi anakufa. Sio wale vinuka mkojo wanaopoteza muda kwa vitoto vikina Harmonize. We waache tu fainali uzeeni
anaanzaje kuacha singeli? hahahahWema kama kweli kapata bilionea Arusha atulie nae tu ale maisha aachane na usanii afanye kazi alizosomea shuleni
Mshauri mke wako anzishe hiyo taasisi!-->>NI VYEMA ANGEANZISHA TAASISI YA KIFEDHA YA UKOPESHAJI,UKIZINGATIA HALI YA SASA NI NGUMU KWA KILA MTU./ AU AANZISHE A LARGER BONDS FACILITIES" KAMA ULAYA WITH A HUGE GODOWN./
na kwenda kwa glammadam kufanya makeUp kwa ajili ya birthday ya mtoto wa fulani. hahahaMademu wa kibongo wanajua kuomba hela tu wakasukie mawigi kwa asnat pale mwenge
yap yapNi kweli ndio maana nikaadd kwa kusema shule + maarifa na wewe umeongezea hapo ukiwa mstaarabu...
mmeanza...watanzania bwana!Hili jambo nami hujiuliza sana, Mengi alikua hakufunga ndoa au more money less masharti ya kiimani n vice versa?
Mage Kimambi akiona hivyo kiroho kinamuumaaaa! Anataman hyo nafasi iwe empty aigombanieWabongo muvi roho zinawauma hapo