K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

I think i totally agree with you shule ndio kila kitu yaan .... And nafikiri she has passion with interior designing that's why she came up with that spectacular idea of selling furniture and interior decors..... Shule shule ndio mambo yote.....
shule kwa wengine ni kazi bure..kuna waliosoma mpaka ma PHD but still maVilaza kama wao hakuna..nadhani kuna shule nyingine ya uraiyani (ustaarabu) inasaidia ukiachana na shule ya darasani.
 
Habari zao mpaka Ununue Business Times,The Guardian utawakuta kwenye economic Forums..........sasa wewe ukijiloga ukanunua ''Wikienda''.......Ni Habari za ............. na vigodoro.
habari za singeli na wema sepenga. hahahah
 
Huyu ndio alichagua fursa, yaani hata akiamua akae ndani anaangalia tv tu anauhakika wa kula bata hadi anakufa. Sio wale vinuka mkojo wanaopoteza muda kwa vitoto vikina Harmonize. We waache tu fainali uzeeni
Wengine walifuata sura wakaambulia kufundishwa uteja na kupoteza kila kitu.
 
Flaviana Matata amemganda TRUMP. Ngoja uone mpambano wake na Jacquiline, huku madafu huku dolali.
 
Back
Top Bottom