Mage Kimambi akiona hivyo kiroho kinamuumaaaa! Anataman hyo nafasi iwe empty aigombanieWabongo muvi roho zinawauma hapo
Tatizo lao wanapenda kuongelewa kila sikuMage Kimambi akiona hivyo kiroho kinamuumaaaa! Anataman hyo nafasi iwe empty aigombanie
Nadhani ukikaa nao unajikuta tajiri kimawazoHabari zao mpaka Ununue Business Times,The Guardian utawakuta kwenye economic Forums..........sasa wewe ukijiloga ukanunua ''Wikienda''.......Ni Habari za ............. na vigodoro.
Inaitwa kismati hiiKuna watu wana nyota ya kutosemwa yani hii couple ingekuwa bi couple nyingine age difference na ndoa ya mzee ya awali basi ingesemwa hatari.
Lakini ajabu kwao kila mtu anamsifia k lyn
Angefanya madame sepetunga pasingetosha.Inaitwa kismati hii
Hiyo inaitwa beauty with brain..... Wadada wengine siku hizi hawajui even beauty fades away unatakiwa kufanya vitu vya maana investment particularly wao wanaenjoy checking in kwenye prestigious hotel having dinner wapost intagram, kweli unaambiwa ukiwa na elimu + maarifa no one can take away your education.......
Jack hakuwa mtulivu hata kidogo..sema tu umepata alichotaka..ashachapwa sana na mtoto wa kingunge na wengine wengi...sasa hv ndio amepata alichokuwa anatafuta. Imebid atulieHuyu Jaq kweli kakamata Fursa, maana vitu anavyomiliki is worth it....Kwanini wadada hawajifunzi kwake, utulivu ndo kila kitu, nashindwa kuelewa kwanini Madame Rita alishindwa hili!! Kiukweli wasanii kuchukuliwa na wasanii wenzao ni kuchezeana period!!
Binamu bana...Aliyewahi kuwa miss Tanzania mwaka 2000, Jackline Ntuyabaliwe maarufu kama K-Lynn au bosslady ambaye pia ni mke halali wa billionea na mfanyabiashara maarufu nchini bwana Reginald Mengi, hivi karibuni amefungua duka lake jipya la FURNITURE 'Amorette" lenye brand yake ambapo atakuwa anauza furniture mbalimbali za nyumbani pamoja na mambo ya interior decorations.
View attachment 401358
Alimfanya nini mkewe?Waliachana mke alikuwa mtata yule mama dah iko siku alimfukuza mzee akatoka nduki akaruka ukuta wa nyumba hata geti hakuliona.
X wako alafu Wa zamani?Daaaaaahhhhh X wangu wa zaman huyu
Hili jambo nami hujiuliza sana, Mengi alikua hakufunga ndoa au more money less masharti ya kiimani n vice versa?
[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mtt Mashaalaah uyu kwa bed
Yan anakupa ile kitu Unacho staili
Hakup unacho kitaka
We inakuhusu nini?usilolijua kuhusu maisha ya watu liache hivyo hivyo jadili unayoyaona na ya kwakoMke wa kwanza wa Mengi yupo wapi?au alikuwa bado hajaoa!
Mi mwenyewe nashangaa mkuu kuna watu wana judge wenzao kuhusu imani wakati wao wenyewe ni wazinz mbwa sasa imani ya mtu ikusaidie nn kwa mfanoMengi na huyo jack wake wamefunga ndoa ya kibomani na sio ya kanisani, sasa hapo imani inaingiaje?
Hahaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]a akishapata nyumba na nini????Yupo Machame Nkwarungo
Kajitulia zake na lile limjumba pale la maana
Kufukuzana hataki si unajua tena ndugu zangu wamachame wakishapata nyumba na friji wameridhika
No stress