K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

Hiyo inaitwa beauty with brain..... Wadada wengine siku hizi hawajui even beauty fades away unatakiwa kufanya vitu vya maana investment particularly wao wanaenjoy checking in kwenye prestigious hotel having dinner wapost intagram, kweli unaambiwa ukiwa na elimu + maarifa no one can take away your education.......

Hapo kwenye...''hiyo inaitwa beauty with brain'' ...umenikumbusha maneno ya yule rais Mkongwe barani Africa kwamba....''When a beautiful woman fail to use her brain her private parts suffers most''...hahaaa huyu mzee ana kauli tata sanaa...
 
Huyu Jaq kweli kakamata Fursa, maana vitu anavyomiliki is worth it....Kwanini wadada hawajifunzi kwake, utulivu ndo kila kitu, nashindwa kuelewa kwanini Madame Rita alishindwa hili!! Kiukweli wasanii kuchukuliwa na wasanii wenzao ni kuchezeana period!!
Jack hakuwa mtulivu hata kidogo..sema tu umepata alichotaka..ashachapwa sana na mtoto wa kingunge na wengine wengi...sasa hv ndio amepata alichokuwa anatafuta. Imebid atulie
 
Aliyewahi kuwa miss Tanzania mwaka 2000, Jackline Ntuyabaliwe maarufu kama K-Lynn au bosslady ambaye pia ni mke halali wa billionea na mfanyabiashara maarufu nchini bwana Reginald Mengi, hivi karibuni amefungua duka lake jipya la FURNITURE 'Amorette" lenye brand yake ambapo atakuwa anauza furniture mbalimbali za nyumbani pamoja na mambo ya interior decorations.

View attachment 401358
Binamu bana...

Kikanisa sio halali...

Kisheria halali


Mdomo komaaaaa...mil 7 usawa huu [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Waliachana mke alikuwa mtata yule mama dah iko siku alimfukuza mzee akatoka nduki akaruka ukuta wa nyumba hata geti hakuliona.
Alimfanya nini mkewe?

Mpaka kiruka ukuta ujue alikuwa na soo

Hahaha
 
Hili jambo nami hujiuliza sana, Mengi alikua hakufunga ndoa au more money less masharti ya kiimani n vice versa?

Mengi na huyo jack wake wamefunga ndoa ya kibomani na sio ya kanisani, sasa hapo imani inaingiaje?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mtt Mashaalaah uyu kwa bed

Yan anakupa ile kitu Unacho staili

Hakup unacho kitaka
[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hii ya kumpelekea fundi juma....
1474038037815.jpg
 
Mengi na huyo jack wake wamefunga ndoa ya kibomani na sio ya kanisani, sasa hapo imani inaingiaje?
Mi mwenyewe nashangaa mkuu kuna watu wana judge wenzao kuhusu imani wakati wao wenyewe ni wazinz mbwa sasa imani ya mtu ikusaidie nn kwa mfano
 
Yupo Machame Nkwarungo

Kajitulia zake na lile limjumba pale la maana

Kufukuzana hataki si unajua tena ndugu zangu wamachame wakishapata nyumba na friji wameridhika

No stress
Hahaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]a akishapata nyumba na nini????
 
Back
Top Bottom