Yaani hiyo initial utata mtupu! Natumia mobile so sijapata notification yoyote, ila niliignore hii thread baada ya heading tu (my gender sensitivity was very sensitive), sasa imagine the shock nilivyoona majina.
Anyway l finaly got the humor (nimeichagua hiyo), na kuignore the other meaning. LOL
5weeks and you are already too attached to like let go just incase? I would be scared of you as well. I saw on style network, some lady got a bf and she went and bought a wedding dress just incase.
Hao wengine sijui lakini Kuhusu Kaunga wasiliana na Ruttashobolwa au na snowhite,mara ya mwisho nimesikia wana mpango wa kuanzisha kanisa la upako chini ya watunza sadaka charminglady na mumewe @c6
Kama ya King Kong lll!
Mambo?
Ni K kubwa za ukweli...we unazionaje??!
Kwa anayewafahamu kuna nliempa sifa ya uongo??!
Jamani na K yangu?
Kabakabana k yako siyo nzuri
toka huko, k yangu ni nzuri tu sema haijui labda
aniulize mimi naeijua!!! lol!!