"K" tatu ninazotamani kukutana nazo kabla ya mwaka kuisha...

Mimi natamani nikutane na K ya Miss Natafuta,nasikia ana nyege sana![emoji1]
 
Alirudi ukamtoroka. Kahama tena. Ana hasira za mkizi yule
Hahhhhha Kaiser naeeeee,hem mwite aache utoro!
Mwanafunzi gani anakuwa mvivu wa test restest hivyo?
Hajui siku hizi kuna competence based syllabus
 
No King'asti nipo siriaz sana aisee...
Yan maushauri yenu tu..mixed na utani apa na pale...uelewa mpana wa many different thngs....yani dah!
Honestly if t were possible...if only wishes were horses!
Even a begger would ride
 
Wewe bwana husomeki siku hizi!!!

Hebu piga shairi kwanza ili babu afurahi.

Nimekumithi sana tu!
Babu shairi majibu utaweza niingie
Babu sinipe jaribu usitake nipanie
Babu sitaki jawabu la mjukuu nisamehe
Nikiliweka shairi babu talitaka na jibule
 
Hahhhhha Kaiser naeeeee,hem mwite aache utoro!
Mwanafunzi gani anakuwa mvivu wa test restest hivyo?
Hajui siku hizi kuna competence based syllabus
Anasema eti unamchapa asipomaliza kuuza ubuyu unaompa. Mwalimu nawe... kwani mshahara haukutoshi.

Watanzania tutakuombea ili usituangushe
 
Anasema eti unamchapa asipomaliza kuuza ubuyu unaompa. Mwalimu nawe... kwani mshahara haukutoshi.

Watanzania tutakuombea ili usituangushe
Simchapi tenaaaa,mwambie aje!
Siku hizi ubuyu nasambaza direkti(in maalim voice)kutoka kwa babu issa!
 
Mimi natamani nikutane na K ya Miss Natafuta,nasikia ana nyege sana![emoji1]

Duh mkuu..hatuko huko.

Hata hivyo ngoja nmkuitie: Miss Natafuta aaaaaaaaaa

Kusoma, kuandika, kuhesabu :

Ewaa mkuu hizi zote nimezishika tangu utotoni...

Babu shairi majibu utaweza niingie
Babu sinipe jaribu usitake nipanie
Babu sitaki jawabu la mjukuu nisamehe
Nikiliweka shairi babu talitaka na jibule

Mwalimu upo vizuri, heko ninakupatia
thamani yako uturi, vito havitofikia
wambie wache kiburi, K ninawangojea
peupe pasi na siri, Mentor ninawaitia!!!
 
Si King'asti wala Kaunga ,wote wajua hitajio
Ni kiburi au kunga,hilo sijui na sinalo
labda upige ukunga ,asikie na Kongosho
labda wavuna mpunga subiri waje na pilao.
 
Si King'asti wala Kaunga ,wote wajua hitajio
Ni kiburi au kunga,hilo sijui na sinalo
labda upige ukunga ,asikie na Kongosho
labda wavuna mpunga subiri waje na pilao.

Haja yangu kwao moja, japo macho niwatie
na sina vingi vioja, naomba uniitie
nawaomba japo moja, dakika wanisikie
nawaombea kwake Jah, mavuno awapatie.
 
Haja yangu kwao moja, japo macho niwatie
na sina vingi vioja, naomba uniitie
nawaomba japo moja, dakika wanisikie
nawaombea kwake Jah, mavuno awapatie.
sidhani hawasikii,japo nawajua kwa kiburi
watakuja niamini,sipe moyo kisirani
wasubiri waja na kheri,nawajua majirani
nawajua kwa jeuri japo waja ila wasubiri
 
sidhani hawasikii,japo nawajua kwa kiburi
watakuja niamini,sipe moyo kisirani
wasubiri waja na kheri,nawajua majirani
nawajua kwa jeuri japo waja ila wasubiri

swadakta nakushukuru, faraja kunipatia
nami si kama kunguru, subira nimezoea
naandaa wangu nguru, mbilimbi nimezitia
karibu na tufuturu, tule tukiwangojea.
 
Haja yangu kwao moja, japo macho niwatie
na sina vingi vioja, naomba uniitie
nawaomba japo moja, dakika wanisikie
nawaombea kwake Jah, mavuno awapatie.
Dogo una mistari, ya vina hata mizani,
Kwa hakika ninakiri, kipaji kiko damuni,
Imelazimu kukiri, bila ya donge rohoni,
Kilichochacha usambe, uzima wake ni moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…