K Vant na tatizo la kusahau

K Vant na tatizo la kusahau

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Wakuu, wote tunajua pombe zina athari nyingi ingawa pia zina utamu wake.

Mimi ni mnywaji wa pombe ingawa hazijawahi kunisumbua kwa maana ya kuwa addicted ila nikinywa siku yoyote naenjoy tu. Sijawahi kuwa mpenzi wa konyagi au pombe za aina hiyo.

Juzi juzi hapa nilipiga K Vant, ilinipeleka sana aisee. Na kwa siku kadhaa baada ya hapo nilikuwa nasahau sahau tu vitu ovyo. Niliwahi kusikia hii pombe ina matatizo hayo. Je, ni kweli yanawatokea wengi na ni ya muda mrefu au ni kama sehemu tu ya hangover?
 
Kuna machaguo memgi ila hennesy choice NI best
JPEG_20220212_161541_2290562338589729152.jpg
 
Sasa hivi ugonjwa wa kufeli Figo ni namba nne.
1. Kisukari
2. Presha
3. Ukosefu wa nguvu za kiume
4. Kufeli kwa Figo

Kumbuka Kuna pombe Kali nyingi Sana feki mtaani wanazotengeneza wachina majumbani. Zina sticker za tra na chupa halisi.
Especially konyagi, K vant na Hennessy.
Drink at your own risk.
 
Nje ya mada!

Hivi anayekunywa 'Pombe' kupita kiasi na yule anayekunya 'Soda' kupita kiasi yupi? yuko kwenye Hatari zaidi ya kuua figo kwa haraka.
Wapi nimeitetea soda bosi wangu?
Tatizo jingine pombe nyingi Kali zinatengenezwa majumbani especially na wachina.
Drink at your own risk.
 
Back
Top Bottom