Kabendera hata kwa trilioni moja, kazi hii unayofanya nakuhakikishia unacheza na usiowajua

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Nakuona nikijana nakuona bado una nafasi kulisaidia Taifa ila kama ilivyo kawaida ya sisi Mungu katupa ona kesho nataka kukwambia huyo Hayati Magufuli alisha lala either story yako yaweza kuwa na ukweli au uwongo nataka kuuthibitishia hata kama ni kwa malipo ya 1 trillion kufanya kazi unafanya my dear Brother your playing with unknown and just think what will happen?

Mwili wake bado haujapumzika acha kuingia kwenye jambo litakusumbuwa wewe na uzao wako.
Siwezi andika zaidi japo nakushauri haya mambo yanahusu head of state yaache baadae utanielewa na uwenda utarudi kunishukuru.

Niliwahi andika makala fulani juu ya what happen after head of state akifa akiwa madarakani. Naomba usome kwa faida yako.

Japo unaweza kuendelea kutafuta ukweli wa huj ushauri na unabii ktk maisha yako. End.
 
Kama kawaida yake eric kabendera aliamini ye ni mkubwa kuliko nchi na tawala. Pamoja na kufanya kazi za kimataifa ila hakujua kuna sheria lakini dunia ina kanuni zake.

Alifurahia mamilioni ya pesa aliyokuwa analipwa kwa kuandika habari za taharuki zisizo na uchunguzi wa kina kuhusu serikali kiasi cha kuangusha kasri la nguvu kule mbweni.

Alipoonywa alijitia pamba sikioni, kina zitto wakamdanganya kuwa tupo na wewe, we fanya tu.

Kilichotokea baada ya kudakwa wote wakamkimbia. Hata mama yake alipoomba msaada wa panadol kina zitto waligoma kujitokeza. Si mahakamani wala nyumbani kumjulia mama hali.

Mwishowe alipoteza mama, akapoteza na kile alichokikusanya, akawapoteza na marafiki zake pendwa kina zitto.

Alitakiwa ajue kuwa dunia ina kanuni zake.
 
Mwendazake atabeba msalaba wake hata baada ya kuwa kabulini,hakuna cha head of state Wala such upuuzi..

Hasamehewi Duniani na huko kaburini.,naona unajaribu kumtafutia huruma mhalifu kwa kisingizio cha deseased head of state..

Asante Sana Kabendera kwa kutufichulia ya sirini maana wewe pia ni mhanga wa Madhila ya Mwendazake..
 
Kama kawaida yake eric kabendera aliamini ye ni mkubwa kuliko nchi na tawala. Pamoja na kufanya kazi za kimataifa ila hakujua kuna sheria lakini dunia ina kanuni zake.

Alifurahia mamilioni ya pesa aliyokuwa analipwa kwa kuandika habari za taharuki zisizo na uchunguzi wa kina kuhusu serikali kiasi cha kuangusha kasri la nguvu kule mbweni.

Alipoonywa alijitia pamba sikioni, kina zitto wakamdanganya kuwa tupo na wewe, we fanya tu.

Kilichotokea baada ya kudakwa wote wakamkimbia. Hata mama yake alipoomba msaada wa panadol kina zitto waligoma kujitokeza. Si mahakamani wala nyumbani kumjulia mama hali.

Mwishowe alipoteza mama, akapoteza na kile alichokikusanya, akawapoteza na marafiki zake pendwa kina zitto.

Alitakiwa ajue kuwa dunia ina kanuni zake.
Sheria za kulinda uovu wa Jiwe au siyo?..

Kwa hiyo hizo sheria Kabendera alizivunja baada ya Jiwe kuwa Rais si ndio?

Peleka utaahira huko.
 
Nakuona nikijana nakuona bado una nafasi kulisaidia Taifa ila kama ilivyo kawaida ya sisi Mungu katupa ona kesho nataka kukwambia huyo Hayati Magufuli alisha lala either story yako yaweza kuwa na ukweli au uwongo nataka kuuthibitishia hata kama ni kwa malipo ya 1 trillion kufanya kazi unafanya my dear Brother your playing with unknown and just think what will happen?

Mwili wake bado haujapumzika acha kuingia kwenye jambo litakusumbuwa wewe na uzao wako.
Siwezi andika zaidi japo nakushauri haya mambo yanahusu head of state yaache baadae utanielewa na uwenda utarudi kunishukuru.

Niliwahi andika makala fulani juu ya what happen after head of state akifa akiwa madarakani. Naomba usome kwa faida yako.

Japo unaweza kuendelea kutafuta ukweli wa huj ushauri na unabii ktk maisha yako. End.
Pumba
 
Mmmeanza kumtisha kama Ben saa8?
 
Kama umeamua kumpa tahadhari, basi iishie hapo hapo! Siyo baadaye tena tusikie jamaa kapotea moja kwa moja kama ulivyofanya kwa yule msaidizi wa Mbowe.
 
Let the goat be called goat, kama alifanya ya sirini na wahanga ndio wanaodisclose hizo issues wafungwe midomo? Wote tunajua Kabendera alikuwa muhanga mkubwa kwa utawala wa mwendazake wacha aongee as he got some proofs as has already been called by DPP.
Msiwatishe watu, zama zimebadirika hizi
 
Back
Top Bottom