Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,591
- 17,561
Thanks mkuu
Kitabu kimeandikwa na mwenye chuki na huyo aliyemuandika, dhamira yake kumchafua imetimia,je kwanini yeye akuuliwa?Ungesoma hicho kitabu au at least ungejua yaliyomsibu usingetoa comment hii. No research no right to speak.
TULIPOTEZANA KITAMBO MAANA HATA NAMBA YAKE ILIPOTEA.KAMA UNABISHA SAWA.Hujui kuwa Rafiki yako kauwawa?
Nawe mwongo tu kama kabendera.
Hujasoma hicho kitabu soma kwanz ahutauliza hilo swali tena.Kitabu kimeandikwa na mwenye chuki na huyo aliyemuandika, dhamira yake kumchafua imetimia,je kwanini yeye akuuliwa?
Mbona wakati wa JK watu wakitekwa ham hamkusema kwa amri yake. Mbona sasa wanatekwa na kuuawa hamsemi ni amri ya mtu fulani? We itakuwa unetumwa kumchafua, hachafukiMagufuli alikuwa katili aliyeona kuua watu ndio namna nzuri ya kupambana nao, cha ajabu yeye mwenyewe kalamba mchanga hata miaka 10 ya urais hakumaliza.
Sawa, wewe msafishe. Sema dunia ina maajabu, yaani "Kafa Daktari Magufuli, kapona Mgonjwa Lissu." Inashangaza sana.Mbona wakati wa JK watu wakitekwa ham hamkusema kwa amri yake. Mbona sasa wanatekwa na kuuawa hamsemi ni amri ya mtu fulani? We itakuwa unetumwa kumchafua, hachafuki
kivipi dadavua, uwongo wake vinvinevyo huna hoja kaa kimya.Huu uongo sasa. Mwamba kaongeza chumvi zaidi.
Mshakopa virushi na visimu vya mkopo mnajikuta vidume wenyewe kuambia watu wakae kimya. Halafu ukute mimi baba yako, shauri yako.kivipi dadavua, uwongo wake vinvinevyo huna hoja kaa kimya.
baba kama hana point, akae kimya.Mshakopa virushi na visimu vya mkopo mnajikuta vidume wenyewe kuambia watu wakae kimya. Halafu ukute mimi baba yako, shauri yako.
HatariEti mtu GEREZANI halafu mtu huyo huyo apate habari mbaya tu zaidi ya 100 kumhusu mtu mmoja tu....... tena taarifa hizo akizipata akiwa gerezani tena kutoka vyanzo tofauti....!
UFADHILI na NGUVU nyingi inayotumika kumchafua MAGUFULI unatia mashaka sana juu ya wenzetu hawa wenye ufadhili wa moja kwa moja wa nchi za ULAYA......
(Nimefurahi kwa sehemu kwa TRUMP kuifutilia mbali USAID kwani inafadhili baadhi ya machafuko kwenye nchi kama upuuzi huu)
NB: baada ya USAID kufaliki, tutegemee wanasiasa wengi "waliojikimbiza" kurejea na kuacha upuuzi wao wa kuichafua nchi yetu pendwa kwa manufaa yao na ya WEUPE
Wamebakia kina Mange, Gurumo na wachache wa aina hiyo.Eti mtu GEREZANI halafu mtu huyo huyo apate habari mbaya tu zaidi ya 100 kumhusu mtu mmoja tu....... tena taarifa hizo akizipata akiwa gerezani tena kutoka vyanzo tofauti....!
UFADHILI na NGUVU nyingi inayotumika kumchafua MAGUFULI unatia mashaka sana juu ya wenzetu hawa wenye ufadhili wa moja kwa moja wa nchi za ULAYA......
(Nimefurahi kwa sehemu kwa TRUMP kuifutilia mbali USAID kwani inafadhili baadhi ya machafuko kwenye nchi kama upuuzi huu)
NB: baada ya USAID kufaliki, tutegemee wanasiasa wengi "waliojikimbiza" kurejea na kuacha upuuzi wao wa kuichafua nchi yetu pendwa kwa manufaa yao na ya WEUPE
Hadithi yako inatufundisha nni?Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President.
Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere.
Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza la Segerea wakati alipopewa kesi ya uhujumu uchumi, utakatishaji wa fedha pamoja ukwepaji kodi. “ Nilikuwa selo wakati nilipopewa kikaratasi kutoka kwa mtu asiyejulikana akiniambia kuwa Chistopher Kadego alikamatwa siku 3 nyuma kabla ya kukamatwa kwangu kisha kupigwa risasi na watu wasiojulikana.”
Kabendera anaendelea kufafanua; Kadego nilimfahamu kama miaka 15 iliyopita na alikuwa mtu mwema, sema kitendo chake kushiriki katika makundi mbalimbali ya waasi kama lile kundi la Kabila katika Vita dhidi ya Mobutu mwaka 1997 na baadae kupinga baadhi ya maamuzi ya Magufuli nafikiri matatizo yalianzia hapo.
Magufuli akapenyezewa taarifa kuwa Kadego alikuwa ni Komando mstaafu hatari na aliyeshiriki jaribio la kumpindua Nyerere.
Ikumbukwe Kadego alikuwa na miaka 67 hivyo hakuwa Kadego yule kijanaa machachari. Hayati Magufuli aliagiza Kadego “ashughulikiwe” maana alikuwa anahatarisha usalama wake.
Akatekwa na kupigwa risasi na watu waliokuja kujulikana baadae kuwa ni watu wa ikulu.
My note;
Hayati alikuwa muoga sana, unamuuaje mzee wa miaka 67? Hayati hakuwa na ubinadamu kabisa.
Tuishi kwa upendo, tusitendeane mabaya.Hadithi yako inatufundisha nni?
HayaTuishi kwa upendo, tusitendeane mabaya.
Hata watoto Wa mama nitilie pia kimepotea ila nikwakotuuHicho kijarida kimepotea mapema sana chatini kama nyimbo za bongofleva za siku hizi. Unakilazimisha kitrendi tena?
Komando hata awe na miaka 100 akianza kufurukuta huyo lazima awe eliminated tu, ukizingatia tayari alikuwa na red mark kwenye maisha yake yaliyopita. Haya mambo si mazuri kuyatamka, lakini ukweli ndio huo!Kabendera ya huyu ayaoni?
Hii habari uwongoKomando hata awe na miaka 100 akianza kufurukuta huyo lazima awe eliminated tu, ukizingatia tayari alikuwa na red mark kwenye maisha yake yaliyopita. Haya mambo si mazuri kuyatamka, lakini ukweli ndio huo!