Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 6,090
- 22,803
Chief, mbona kama una ghadhabu, upo kwenye mafuriko nini?Ukweli UPI ?! Andika kitabu chako
Chief, mbona kama una ghadhabu, upo kwenye mafuriko nini?Ukweli UPI ?! Andika kitabu chako
Una uwezo mdogo sana kichwaniHawa mawakala wa wazungu, wanaishi kwa kutegemea pesa inayotoka kwenye taasisi za kina George Soros na Amsterdam.
Uzuri ni kwamba watanzania waliwashtukia mwaka jana baada ya kugundua kwamba machafuko ya October 29 yalitengenezwa na taasisi zao ili kuivuruga Tanzania iingie vitani.
Wanachokiandika mahali popote hakipaswi kuaminiwa na mtu mzalendo, nyuma ya maneno yao kuna nia mbaya sana ambayo inaitumikia pesa ya mzungu.
Nyinyi wasaliti ndio wenye uwezo mkubwa vichwani.Una uwezo mdogo sana kichwani