Kabendera: Komando mstaafu na aliyeshriki Jaribio la Mapinduzi dhidi ya Nyerere mwaka 1982, Christopher Kadego alitekwa na kuuawa kwa amri ya Magufuli

Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President.

Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere.

Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza la Segerea wakati alipopewa kesi ya uhujumu uchumi, utakatishaji wa fedha pamoja ukwepaji kodi. “ Nilikuwa selo wakati nilipopewa kikaratasi kutoka kwa mtu asiyejulikana akiniambia kuwa Chistopher Kadego alikamatwa siku 3 nyuma kabla ya kukamatwa kwangu kisha kupigwa risasi na watu wasiojulikana.”

Kabendera anaendelea kufafanua; Kadego nilimfahamu kama miaka 15 iliyopita na alikuwa mtu mwema, sema kitendo chake kushiriki katika makundi mbalimbali ya waasi kama lile kundi la Kabila katika Vita dhidi ya Mobutu mwaka 1997 na baadae kupinga baadhi ya maamuzi ya Magufuli nafikiri matatizo yalianzia hapo.

Magufuli akapenyezewa taarifa kuwa Kadego alikuwa ni Komando mstaafu hatari na aliyeshiriki jaribio la kumpindua Nyerere.

Ikumbukwe Kadego alikuwa na miaka 67 hivyo hakuwa Kadego yule kijanaa machachari. Hayati Magufuli aliagiza Kadego “ashughulikiwe” maana alikuwa anahatarisha usalama wake.

Akatekwa na kupigwa risasi na watu waliokuja kujulikana baadae kuwa ni watu wa ikulu.

My note;
Hayati alikuwa muoga sana, unamuuaje mzee wa miaka 67? Hayati hakuwa na ubinadamu kabisa.
unamjua Komando wewe? Tena waliosoma Cuba, Israel na Usoviet wakati ule? Unajua ni watu wa namna gani?

Wakati anaambiwa hayo huyo Kabendera humo gerezani, alipata kumuona mhusika yaani huyo Komando? Kama hapana alikuwa na uhakika gani kama aliyoambiwa humo gerezani yalikuwa ya kweli?

Je, Komando Kadego alikuwa gerezani kwa kosa gani? Unajuaje kama alikuwa humo kwa kukiuka kiapo chake japo kuwa alikuwa ametolewa Jeshini kitambo?

Unajuaje kama alikuwa ameshaonywa kabla hata ya kuwekwa humo ndani?

Unajua adhabu inayotolewa kwa Komando ikibainika kuwa anazunguka mbuyu

Unajua maana ya red mark kwa watu wa aina hiyo?
 
Hiki kitabu wanasema wanamtandao wana kutumia kumchafua mwamba kabendera ni kijana wa Nyepesi
 
Karen deranged? Karen deranged yupi huyo, baba yake si alikuwa Mhutu wa Ibterahamwe? Alifanya mauaji ya watu milioni 9 huko Rwandaburundi? Mbona alikimbilia Tanzania kusiko na tumehuru wala demokrasia lakini anamtukana Rais wetu? Tanzania pia tuna Wahutu, tena wengi zaidi (kama Askofu Bagonza), lakini wa kwetu wala hawana ukabila.
 
unamjua Komando wewe? Tena waliosoma Cuba, Israel na Usoviet wakati ule? Unajua ni watu wa namna gani?

Wakati anaambiwa hayo huyo Kabendera humo gerezani, alipata kumuona mhusika yaani huyo Komando? Kama hapana alikuwa na uhakika gani kama aliyoambiwa humo gerezani yalikuwa ya kweli?

Je, Komando Kadego alikuwa gerezani kwa kosa gani? Unajuaje kama alikuwa humo kwa kukiuka kiapo chake japo kuwa alikuwa ametolewa Jeshini kitambo?

Unajuaje kama alikuwa ameshaonywa kabla hata ya kuwekwa humo ndani?

Unajua adhabu inayotolewa kwa Komando ikibainika kuwa anazunguka mbuyu

Unajua maana ya red mark kwa watu wa aina hiyo?
Maswali mengi ya kipashkuna 🚮🚮🚮
Andikaa kama mwanaume boya wewe
 
Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President.

Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere.

Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza la Segerea wakati alipopewa kesi ya uhujumu uchumi, utakatishaji wa fedha pamoja ukwepaji kodi. “ Nilikuwa selo wakati nilipopewa kikaratasi kutoka kwa mtu asiyejulikana akiniambia kuwa Chistopher Kadego alikamatwa siku 3 nyuma kabla ya kukamatwa kwangu kisha kupigwa risasi na watu wasiojulikana.”

Kabendera anaendelea kufafanua; Kadego nilimfahamu kama miaka 15 iliyopita na alikuwa mtu mwema, sema kitendo chake kushiriki katika makundi mbalimbali ya waasi kama lile kundi la Kabila katika Vita dhidi ya Mobutu mwaka 1997 na baadae kupinga baadhi ya maamuzi ya Magufuli nafikiri matatizo yalianzia hapo.

Magufuli akapenyezewa taarifa kuwa Kadego alikuwa ni Komando mstaafu hatari na aliyeshiriki jaribio la kumpindua Nyerere.

Ikumbukwe Kadego alikuwa na miaka 67 hivyo hakuwa Kadego yule kijanaa machachari. Hayati Magufuli aliagiza Kadego “ashughulikiwe” maana alikuwa anahatarisha usalama wake.

Akatekwa na kupigwa risasi na watu waliokuja kujulikana baadae kuwa ni watu wa ikulu.

My note;
Hayati alikuwa muoga sana, unamuuaje mzee wa miaka 67? Hayati hakuwa na ubinadamu kabisa.
"Kwamba Magufuli akapenyezewa taarifa kuwa Kadego alikuwa komandoo hatari". Maana yake pamoja na kuwa Waziri miaka ishirini na Rais miaka mitano hakujuwa hilo!🤔🤔🤔🤔🤔
Hii NIMEIPENDA!!
 
Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President.

Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere.

Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza la Segerea wakati alipopewa kesi ya uhujumu uchumi, utakatishaji wa fedha pamoja ukwepaji kodi. “ Nilikuwa selo wakati nilipopewa kikaratasi kutoka kwa mtu asiyejulikana akiniambia kuwa Chistopher Kadego alikamatwa siku 3 nyuma kabla ya kukamatwa kwangu kisha kupigwa risasi na watu wasiojulikana.”

Kabendera anaendelea kufafanua; Kadego nilimfahamu kama miaka 15 iliyopita na alikuwa mtu mwema, sema kitendo chake kushiriki katika makundi mbalimbali ya waasi kama lile kundi la Kabila katika Vita dhidi ya Mobutu mwaka 1997 na baadae kupinga baadhi ya maamuzi ya Magufuli nafikiri matatizo yalianzia hapo.

Magufuli akapenyezewa taarifa kuwa Kadego alikuwa ni Komando mstaafu hatari na aliyeshiriki jaribio la kumpindua Nyerere.

Ikumbukwe Kadego alikuwa na miaka 67 hivyo hakuwa Kadego yule kijanaa machachari. Hayati Magufuli aliagiza Kadego “ashughulikiwe” maana alikuwa anahatarisha usalama wake.

Akatekwa na kupigwa risasi na watu waliokuja kujulikana baadae kuwa ni watu wa ikulu.

My note;
Hayati alikuwa muoga sana, unamuuaje mzee wa miaka 67? Hayati hakuwa na ubinadamu kabisa.
HizO ni porojo tu, Magufuli hakusain hati ya kumwua mtu yeyote
 
Kapenyezewa kakaratasi na akamuamini mpenyezaji?.
 
Kwani Kadago alikuwa na umri wa miaka mingapi? Maana hoja nyingine ukitafuta mantiki hupati
 
Eti mtu GEREZANI halafu mtu huyo huyo apate habari mbaya tu zaidi ya 100 kumhusu mtu mmoja tu....... tena taarifa hizo akizipata akiwa gerezani tena kutoka vyanzo tofauti....!
UFADHILI na NGUVU nyingi inayotumika kumchafua MAGUFULI unatia mashaka sana juu ya wenzetu hawa wenye ufadhili wa moja kwa moja wa nchi za ULAYA......
(Nimefurahi kwa sehemu kwa TRUMP kuifutilia mbali USAID kwani inafadhili baadhi ya machafuko kwenye nchi kama upuuzi huu)

NB: baada ya USAID kufaliki, tutegemee wanasiasa wengi "waliojikimbiza" kurejea na kuacha upuuzi wao wa kuichafua nchi yetu pendwa kwa manufaa yao na ya WEUPE
Hawa mawakala wa wazungu, wanaishi kwa kutegemea pesa inayotoka kwenye taasisi za kina George Soros na Amsterdam.

Uzuri ni kwamba watanzania waliwashtukia mwaka jana baada ya kugundua kwamba machafuko ya October 29 yalitengenezwa na taasisi zao ili kuivuruga Tanzania iingie vitani.

Wanachokiandika mahali popote hakipaswi kuaminiwa na mtu mzalendo, nyuma ya maneno yao kuna nia mbaya sana ambayo inaitumikia pesa ya mzungu.
 
Back
Top Bottom