Kabendera: Nimeombwa kuwasilisha vielelezo kuhusu vitisho vya Jaji Biswalo

Kabendera: Nimeombwa kuwasilisha vielelezo kuhusu vitisho vya Jaji Biswalo

Maneno yenye kila aina ya ukweli. Watu walikuwa wamejiona kama miungu watu. Kila nikikumbuka Makonda alivyokuwa amevurugwa akili kwa kulewa madaraka kabisa mpaka akajiona kuwa Dar yote hakuna wa kumwambia kitu ila Magufuli pekee. Ni Samia nasikia anamlinda tu lakini kuna siku yote aliyofanya atayalipa.
Kabisa atalipa,maana jinai haifi
 
Anajisikiaje akimkumbuka Mama yake? Kwanini asiishi maishi ya kiroho kuliko visasi na majibizano?
 
Back
Top Bottom