Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Achana nao hawa Vyeti feki huwa wana hasira san na mzee Baba tangu awatumbue hajawahi taka hata kumsikiaUnatumia mihemko sana katika hoja zako. Mbona unapenda kuvivua nguo vyombo vyetu kwa uongo wako. Wee unafikiri ingekuwa kweli vyombo vyetu vingeruhusu afikie hatua ile ya uongozi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bongo unaweza kumpa mtu kazi ya kupitia kitabu yeye anapiga bia bar tu, anakwambia kapitia kiko poa tu.
Mkuu huyu lazma akuruke, hawezi kukubali kwa Ile kanuni Yao ya "confidentiality of the source" wanajifichia hapo!!Nasikia na wewe umepewa tender ya ku proof hiki kitabu ukatuangusha mkuu, kweli?
Ila Wabongo bado sana, nime subscribe website moja ya Academia inanipa academic papers, kuna paper moja ya University of Iringa, Faculty of Law, mwanafunzi wa LLB III First year law student, paper inaitwa:
"Does The Immunity From Criminal Liability To President During His Leadership Defeats The Principle of Rule Of Law?"
Topic nzuri sana, inawezekana paper ina point nzuri sana, lakini hicho Kiingereza sasa, mziiigooo.
Sijamuongelea Pascal kama source, nimemuongelea kama proofreader.Mkuu huyu lazma akuruke, hawezi kukubali kwa Ile kanuni Yao ya "confidentiality of the source" wanajifichia hapo!!
Ukiwauliza wanakwambia moral ya hii kazi ni kulinda mtoa taarifa!!! Sasa sijui tukitaka kuthibitisha tunafanyaje!!
Kwenye utetezi wa kabendera kasema yuko tayari kwenda na hayo majina kaburini, Ina maana hata mkienda mahakamani basi hakuna kesi maana atashindwa kwa kutokubali kuleta mashahidi
Anacheza kotekote kama Pele tuuSijamuongelea Pascal kama source, nimemuongelea kama proofreader.
Kwani subject matter ilikuwa nini kwenye kutaja hizo tarehe? Isije kuwa tumeacha subject matter kwa kutafuta makosa madogo madogoNachelea kuwa kitabu hata kama kina mengi mazuri ya kujifunza, makosa kama haya yatakifanya kisiaminike chote.
Hatujaacha subject matter, na makosa si madogo madogo, na hata yakiwa madogo madogo, hayo madogo madogo kufanya nayo si vizuri.Kwani subject matter ilikuwa nini kwenye kutaja hizo tarehe? Isije kuwa tumeacha subject matter kwa kutafuta makosa madogo madogo
Nawewe umeandika mwandiahi badala ya mwandishiUmeandika Nguki badala ya Nguli hiyo haondoi maana kwamba kabendera ni mwandiahi Nguli
Umesema ni paper. Si iko published. Si imepita ktk mikono na macho ya watu?Nasikia na wewe umepewa tender ya ku proof hiki kitabu ukatuangusha mkuu, kweli?
Ila Wabongo bado sana, nime subscribe website moja ya Academia inanipa academic papers, kuna paper moja ya University of Iringa, Faculty of Law, mwanafunzi wa LLB III First year law student, paper inaitwa:
"Does The Immunity From Criminal Liability To President During His Leadership Defeats The Principle of Rule Of Law?"
Topic nzuri sana, inawezekana paper ina point nzuri sana, lakini hicho Kiingereza sasa, mziiigooo.
Yeah man. Ila bado ina Kiingereza kibaya , au sijui ni mimi ndiye nina high expectations?Umesema ni paper. Si iko published. Si imepita ktk mikono na macho ya watu?
Magufuli hayupo jehanam, magufuli anaishiHiyo ndiyo maana ya uandishi. Hilo kosa kidogo halibatilishi kwamba Sokoine alikufa. Tubaki kwenye reli,
Tanzania ilitawaliwa na Kichaa kuanzia mwaka 2015 hadi 2021. Asante Mungu kwa kumtupa Magufuli jehanam
yes kuandika hivyo haiondoi maana kwa kabendera ni mwandishi nadhani bwana kiranga atakua ameelewaNawewe umeandika mwandiahi badala ya mwandishi
Kwa wenye akili sawa sawa, makosa kama hayo yanaondoa credibility ya andiko, unaweza fanyia mzaha kibongo bongo ila kwa watu wanaojielewa hiyo sasa ndio inaitwa professional rubbish.Hiyo ndiyo maana ya uandishi. Hilo kosa kidogo halibatilishi kwamba Sokoine alikufa. Tubaki kwenye reli,
Tanzania ilitawaliwa na Kichaa kuanzia mwaka 2015 hadi 2021. Asante Mungu kwa kumtupa Magufuli jehanam
Sasa mpaka hata tarehe ya kukamatwa kwake haijui ??Mimi pia nimejaribu kupitia kitabu. Kuna matukio kadhaa ambayo Kabendera ameyakosea tarehe. Kwa mfano, anaelezea tukio la kukamatwa kwake na kutaja tarehe ambayo hailingani na tarehe halisi ya kukamatwa kwake kulingana na rekodi za mahakama alikamatwa tarehe 29 Julai, 2019
Pole jiwe la Kabendera limekupata msukule wa marehemu MagufuliKwa wenye akili sawa sawa, makosa kama hayo yanaondoa credibility ya andiko, unaweza fanyia mzaha kibongo bongo ila kwa watu wanaojielewa hiyo sasa ndio inaitwa professional rubbish.
Kitabu cha kabendera kimejaa hearsay tu , ni hadithi za kufikirika.
Hiyo first version itatumika kuchallenge the 2nd version na ataonekana muongo, hata arekebishe vipi, chapisho la awali litamhukumu.