Kabendera, unakoseaje kwenye kitabu mwaka aliofariki Sokoine, tena mara mbili kwa mpigo?

Kabendera, unakoseaje kwenye kitabu mwaka aliofariki Sokoine, tena mara mbili kwa mpigo?

Unatumia mihemko sana katika hoja zako. Mbona unapenda kuvivua nguo vyombo vyetu kwa uongo wako. Wee unafikiri ingekuwa kweli vyombo vyetu vingeruhusu afikie hatua ile ya uongozi?
Achana nao hawa Vyeti feki huwa wana hasira san na mzee Baba tangu awatumbue hajawahi taka hata kumsikia

Wengine sa hivi wangekuwa wakurugenzi wakuubwa

Ila we, Chuma kikapita nao mazima
 
Nawakumbusha tu,wa mwisho kutoka duniani asisahau uzima taa
 
Nasikia na wewe umepewa tender ya ku proof hiki kitabu ukatuangusha mkuu, kweli?

Ila Wabongo bado sana, nime subscribe website moja ya Academia inanipa academic papers, kuna paper moja ya University of Iringa, Faculty of Law, mwanafunzi wa LLB III First year law student, paper inaitwa:

"Does The Immunity From Criminal Liability To President During His Leadership Defeats The Principle of Rule Of Law?"

Topic nzuri sana, inawezekana paper ina point nzuri sana, lakini hicho Kiingereza sasa, mziiigooo.
Mkuu huyu lazma akuruke, hawezi kukubali kwa Ile kanuni Yao ya "confidentiality of the source" wanajifichia hapo!!

Ukiwauliza wanakwambia moral ya hii kazi ni kulinda mtoa taarifa!!! Sasa sijui tukitaka kuthibitisha tunafanyaje!!

Kwenye utetezi wa kabendera kasema yuko tayari kwenda na hayo majina kaburini, Ina maana hata mkienda mahakamani basi hakuna kesi maana atashindwa kwa kutokubali kuleta mashahidi
 
Sijamuongelea Pascal kama source, nimemuongelea kama proofreader.
 
Nachelea kuwa kitabu hata kama kina mengi mazuri ya kujifunza, makosa kama haya yatakifanya kisiaminike chote.
Kwani subject matter ilikuwa nini kwenye kutaja hizo tarehe? Isije kuwa tumeacha subject matter kwa kutafuta makosa madogo madogo
 
Kwani subject matter ilikuwa nini kwenye kutaja hizo tarehe? Isije kuwa tumeacha subject matter kwa kutafuta makosa madogo madogo
Hatujaacha subject matter, na makosa si madogo madogo, na hata yakiwa madogo madogo, hayo madogo madogo kufanya nayo si vizuri.
 
Nasikia na wewe umepewa tender ya ku proof hiki kitabu ukatuangusha mkuu, kweli?

Ila Wabongo bado sana, nime subscribe website moja ya Academia inanipa academic papers, kuna paper moja ya University of Iringa, Faculty of Law, mwanafunzi wa LLB III First year law student, paper inaitwa:

"Does The Immunity From Criminal Liability To President During His Leadership Defeats The Principle of Rule Of Law?"

Topic nzuri sana, inawezekana paper ina point nzuri sana, lakini hicho Kiingereza sasa, mziiigooo.
Umesema ni paper. Si iko published. Si imepita ktk mikono na macho ya watu?
 
Umesema ni paper. Si iko published. Si imepita ktk mikono na macho ya watu?
Yeah man. Ila bado ina Kiingereza kibaya , au sijui ni mimi ndiye nina high expectations?

Ningeiweka hapa ila sina ruhusa ya mwenyewe.

Nimesikitika sana, kwa sababu hiyo topic nimeipenda sana, pia nimependa kwamba imeandikwa na mwanafunzi wa Tanzania, ila mimi nikiona Kiingereza kibaya nashindwa hata kusoma points, hata kama zipo I can't get past the bad english.
 
Hiyo ndiyo maana ya uandishi. Hilo kosa kidogo halibatilishi kwamba Sokoine alikufa. Tubaki kwenye reli,

Tanzania ilitawaliwa na Kichaa kuanzia mwaka 2015 hadi 2021. Asante Mungu kwa kumtupa Magufuli jehanam
Magufuli hayupo jehanam, magufuli anaishi

Unajua kwanin walichagia neno "kazi eliendelee?" Pamoja na kwamba hawapendi jina "hapa kazi tu" lisikike masikioni mwao?
Jpm yu hai kwa sababu

▪︎Projects zake ndo kioo hata tunapobato na wakenya hatuna kingine cha kuonyesha mbali na kazi za jpm.

▪︎ blogger wa kikenya wanakuja sana bongo kusaka contents, hawaendi mlima kilimanjaro wa mto ruaha bali ktk kazi za jpm kujionea mabadiliko.

▪︎ kabla ya jpm tz ilikua miongoni mwa nchi 10 za mwisho kabisa in terms of maendeleo kwa Africa, spirit yake imeendelea kukimbiza hata baada ya kifo Chake , tz sass inaeleweka na kila taifa jirani limeweza kujifunza.

Wajinga na wapumbavu wanaotamani kuona maendeleo ktk taifa lao, wasiojua maendeleo hupatkana kwa hatua zipi ndo pekee watapiga kelele na kusapot ujinga
 
Ni ngumu sana kukubali chochote kwenye mazingira kama haya...

Ngoja iendelee kunyesha tutajuwa zaidi....
 
Hiyo ndiyo maana ya uandishi. Hilo kosa kidogo halibatilishi kwamba Sokoine alikufa. Tubaki kwenye reli,

Tanzania ilitawaliwa na Kichaa kuanzia mwaka 2015 hadi 2021. Asante Mungu kwa kumtupa Magufuli jehanam
Kwa wenye akili sawa sawa, makosa kama hayo yanaondoa credibility ya andiko, unaweza fanyia mzaha kibongo bongo ila kwa watu wanaojielewa hiyo sasa ndio inaitwa professional rubbish.

Kitabu cha kabendera kimejaa hearsay tu , ni hadithi za kufikirika.

Hiyo first version itatumika kuchallenge the 2nd version na ataonekana muongo, hata arekebishe vipi, chapisho la awali litamhukumu.
 
Mimi pia nimejaribu kupitia kitabu. Kuna matukio kadhaa ambayo Kabendera ameyakosea tarehe. Kwa mfano, anaelezea tukio la kukamatwa kwake na kutaja tarehe ambayo hailingani na tarehe halisi ya kukamatwa kwake kulingana na rekodi za mahakama alikamatwa tarehe 29 Julai, 2019
Sasa mpaka hata tarehe ya kukamatwa kwake haijui ??

Huyu jamaa ni baharia flani hivi na katufanya sisi ni mabaharia wenzake anatupigia stori.
 
Kwa wenye akili sawa sawa, makosa kama hayo yanaondoa credibility ya andiko, unaweza fanyia mzaha kibongo bongo ila kwa watu wanaojielewa hiyo sasa ndio inaitwa professional rubbish.

Kitabu cha kabendera kimejaa hearsay tu , ni hadithi za kufikirika.

Hiyo first version itatumika kuchallenge the 2nd version na ataonekana muongo, hata arekebishe vipi, chapisho la awali litamhukumu.
Pole jiwe la Kabendera limekupata msukule wa marehemu Magufuli
 
Back
Top Bottom