Kabendera, unakoseaje kwenye kitabu mwaka aliofariki Sokoine, tena mara mbili kwa mpigo?

Kabendera, unakoseaje kwenye kitabu mwaka aliofariki Sokoine, tena mara mbili kwa mpigo?

Mimi sijajitanabahisha kuwa muandishi nguli ninayeuza vitabu.

I expected a little better from someone who wrote for The Economist Intelligence Unit, The Guardian, The London Times, The East African etc.

The book was rushed to the printer without sufficient proofreading and fact checking. That is becoming apparent now.

Had it been once, I would have chalked it up to a typo, the error was made twice in two consecutive page. It seems that Kabendera thinks Sokoine died in 1983 and was going by what he had on his head, and nibody fact checked this.

Where were his proofreaders, fact checkers, editors?

Nyani Ngabu
Sioni shida sana mtu kapatia 12 April na kukosea 1984 nafikiri sio kosa la kijinga sana. Hata hivyo hawa hawana clear memories za tukio la Sokoine manake hawakuwepo siku hizo. After all kwa kizazi hicho tukio la Sokoine sio kubwa ki hivyo. Unakumbuka Rashidi Kawawa alikufa tarehe gani?
 
Hii ni petty issue, ni makosa ya uchapaji tu, vitu kama hivi huwa vinarekebishwa ktk subsequent revisions.
Hapana, si petty issue kwa sababu kuna watoto wanajifunzia kitabu hiki watajifunza kuwa Sokoine kafariki April 12 1983 badala ya 1984.

Sio petty issue kwa sababu kosa linarudiwa mara mbili katika kurasa mbili zinazofuatana, inaonesha kuwa hii si typographical error, ni timeline error. Kabendera anafikiri Sokoine kafa 1983.

Sio petty issue kwa sababu inaonesha hakukuwa na serious proofreading and editing ya mtu anayeijua historia ya Tanzania, walio edit wengi ni wa nje, wame edit lugha, Watanzania kina Kibanda wamekubali wenyewe kwamba wame rush ku edit. Utasemaje hii ni oetty issue?

Kibanda kakubali mwenyewe hilo kaomba msamaha jana.

Zitto pia kasema kuna story nyingine yake imekosewa timeline na na narrative.

Inaonekana kuna makosa mengi, usifanye mahaba yako kwa Kabendera au chuki yako kwa jiwe ikufanye useme hii ni petty issue.

Tunataka waandishi wetu waandike vizuri zaidi wasi rush vitabu vyao kwa publishers vikiwa na such glaring errors ambazo zinaweza kuharibu credibility hata ya mengine mengi ya kweli yaliyo kwenye kitabu.

Kumuua mtu mwaka mmoja mzima kabla ya kifo chake halisi si petty issue.

Labda kama Watanzania mnakubali low standards za account tu.

Tatizo lile lile mnalompigia kelele Magufuli, accountability, mkioneshwa kwa muandishi wenu mnayempenda mnamtetea.

The whole book is about accountability, why are you shielding Kabendera from accountability?
 
Sioni shida sana mtu kapatia 12 April na kukosea 1984 nafikiri sio kosa la kijinga sana. Hata hivyo hawa hawana clear memories za tukio la Sokoine manake hawakuwepo siku hizo. After all kwa kizazi hicho tukio la Sokoine sio kubwa ki hivyo. Unakumbuka Rashidi Kawawa alikufa tarehe gani?
Mkuu,

Kifo cha Sokoine ni jambo la ku check dakika moja tu Google wala huhitaji research kubwa.

Hiyo habari ya hawa hawakuwepo ndiyo ingewafanya wahakiki mambo kwa umakini zaidi. Maana hawakuwepo.

Mimi nilifikiri tunataka kuweka standard kubwa zaidi, kumbe tunatetea makosa kwa sababu yamefanywa na mtu fulani tunayempenda?

Sasa hapo si ndiyo tunajenga utamaduni wa kutokuwa na accountability unaopelekea tuishie kule kule kwa kina Magufuli tunaowasema?
 
Mimi ninalaani udikteta wa JPM

Kitabu hiki ni kazi ya CCM chini ya boss wake kutafuta uhalali wa kuja kuchaguliwa tena na wananchi hapo Oktoba mwaka huu.

Magufuli ni zao la CCM, hivyo kila alichokifanya JPM kina baraka zote za CCM. Leo hatuwezi kumuweka kona moja JPM kisha tukaiweka CCM kwenye kiti kisafi. Hata huyu aliyepo naye ni mulemule ndo maana mauaji anayoyafanya yanatisha zaidi ya aliyoyafanya JPM.

Kitabu cha Kabendera ni sayansi kubwa imetumika kupitia akili ndogo lakini kimezidi kutuelimisha kwanini ni haki kuitokomeza CCM. Hapa tusijifanye tunamnanga Magufuli ambaye ni sehemu kubwa sana ya CCM kwenye kila kitu alichokuwa anakifanya.

Kibanda, Zitto ni karikenye wa kisiasa, ndivyo ninavyowaona
Alichokiandika Kabendera ni UPUMBAVU MTUPU.
Na atakufa kifo kibaya na Cha fedheha na aibu anaokusudia imfike Magufuli aibu hiyo itamrudia kabendera mwenyewe.
 
Poleni sana mnaohangaika na kitabu hiko ama nikiite toilet paper ya kuchambia.

Kile kitabu hakiitaji akili ya darasa la tatu ama la nne basi ya nukuu pekee kilivyo unaona wazi kabisa mwandishi alikuwa na chuki binafisi na jpm. Kusema kwamba jpm aliua ikulu kwa bastola kwanini asiwataje waliokuwepo na walioshuhudia kuondoa dukuduku hili?

Rais aende kwa makamu wake na pajama hii hata hukubahatiki kwenda memkwa lazima akili ikatae na iwapo akili yako itakubali basi elewa kumbe rais wetu wa nchi anaweza kuua na kutekwa hata na kibaka tu na hata makamu pia.

JPM kumla mtoto wake hii nayo inakuja inakataa, Inakataa inakuja. Rais kama JPM alikuwa na nyege gani hadi za kumbaka mwanae na kumuua?

Haya mengine ya bangi,ukichaa wala sio ya kuya jadiri ni mambo ya kawaida sana kenya pale wanakula mirungi kama wehu hadi rais wao wala sio kesi.... Kuvunja dirisha huo ni utukutu tu wa kawaida kabisa.

Kitabu kitanunuliwa na wajinga wajinga tu.Kuna mambo asingeyaweka tungekinunua kwa wingi mno lakini kwa sasa kimejawa na chuki za nje nje. MAVI YA NYOKA MATUPU.
 
Mkuu,

Mimi sitaki controversies, conspiracy theories, mind bending politics.

Mimi nataka muandishi apatie facts tu.

Kama Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine alifariki April 12 1984, aandike April 12 1984.

Muandishi akiandika kuwa Sokoine alifariki April 12 1983, akarudia mara mbili kwamba Sokoine alifariki 1983, kabla sijafika huko kwenye mambo ya utata naona kuna tatizo la basic fact checking.
Jamii imekua na tabia yakujiandikia au kujiongelea tu mambo bila uthibitisho wala usahihi wowote.

Hii tabia itakua imeasisiwa na tabia za uchawa.Kwasababu sasa hivi chawa wakiamua kukupamba watakupamba uonekane kama Mungu na wenye chuki wakiamua kukusema watakubagaza kwa lolote bila ushahidi na kusiwe na hatua zozote zakuchukuliwa.

Hicho kitabu inaonyesha aliyekiandika na waliokipitia wote walikua na mtazamo au hisia mbaya na magufuli ndo maana hawakuona makosa yakiuandishi kama hayo.

Sasa hili lakuonyesha chuki kwa mtu au kumtukuza kulitakiwa kubaki kwenye mitandao, tukipeleka hadi kwenye vitabu hiyo ni hatari haijaliishi nia zinazowasukuma watu kufanya hayo.madhara yake nimakubwa uko mbele.
 
Poleni sana mnaohangaika na kitabu hiko ama nikiite toilet paper ya kuchambia.
Kile kitabu hakiitaji akili ya darasa la tatu ama la nne basi ya nukuu pekee kilivyo unaona wazi kabisa mwandishi alikuwa na chuki binafisi na jpm. Kusema kwamba jpm aliua ikulu kwa bastola kwanini asiwataje waliokuwepo na walioshuhudia kuondoa dukuduku hili?

Rais aende kwa makamu wake na pajama hii hata hukubahatiki kwenda memkwa lazima akili ikatae na iwapo akili yako itakubali basi elewa kumbe rais wetu wa nchi anaweza kuua na kutekwa hata na kibaka tu na hata makamu pia.

Jpm kumla mtoto wake hii nayo inakuja inakataa,Inakataa inakuja.Rais kama jpm alikuwa na nyege gani hadi za kumbaka mwane na kumuua?

Haya mengine ya bangi,ukichaa wala sio ya kuya jadiri ni mambo ya kawaida sana kenya pale wanakula mirungi kama wehu hadi rais wao wala sio kesi....Kuvunja dirisha huo ni utukutu tu wa kawaida kabisa.

Kitabu kitanunuliwa na wajinga wajinga tu.Kuna mambo asingeyaweka tungekinunua kwa wingi mno lakini kwa sasa kimejawa na chuki za nje nje.MAVI YA NYOKA MATUPU.
Wewe kwanza umenunua vitabu vingapi mwaka jana?
 
Jifunze hatua za uchapishaji wa kitabu mkuu sio kukurupuka kwenye mambl usiyoyajua. Hilo swali ulitakiwa kumuuliza mhariri sio mwandishi
Kwani mhariri ndiye kaandika kitabu kwanza?

Na wewe jifunze kusoma, kwani nilipohoji mhariri alikuwa wapi hapo uliponukuu hujaona?

Hujui editor ndiye mhariri?

Hujui kusoma kwa ufahamu au umenukuu na kujibu tu kwa muhemko bila kusoma?
 
Sioni shida sana mtu kapatia 12 April na kukosea 1984 nafikiri sio kosa la kijinga sana. Hata hivyo hawa hawana clear memories za tukio la Sokoine manake hawakuwepo siku hizo. After all kwa kizazi hicho tukio la Sokoine sio kubwa ki hivyo. Unakumbuka Rashidi Kawawa alikufa tarehe gani?

Swala sio kuwepo au kutokuwepo swala ni facts zako kuwa accurate hasa kwa kitu kama tarehe. It literally takes a sec to fact check that. Kwahiyo mwandishi kakosea, wahariri missed it na bado hiyo sio ishu? Kama jambo rahisi hivi wanakosea vp allegations alizotoa zisizo na proof hata moja tuwaamini tu sio?
 
Kwani mhariri ndiye kaandika kitabu kwanza?

Na wewe jifunze kusoma, kwani nilipohoji mhariri alikuwa wapi hapo uliponukuu hujaona?

Hujui editor ndiye mhariri?

Hujui kusoma kwa ufahamu au umenukuu na kujibu tu kwa muhemko bila kusoma?
Umewahi kuandika kitabu chochote kikapitia michakato ya uchapishaji? Usikute nabishana na nonsense
 
Hiyo inaashiria mengi tu yana utata humo na ao waliomsaidia kufanya 'proofreading' walifanya kazi kwa kulipua tu.
Nachelea hata ya maana mengi aliyoandika yatakuwa dismissed.

Absalom Kibanda kaomba radhi jana kwamba alipewa kitabu akipitie kufanya proofreading akakaa nacho wiki moja, akakipitisha, lakini naona sasa kimechapishwa ndiyo anaona makosa kaomba radhi.

Ina maana hakuona kosa hili la wazi kabisa? Au hakusoma kabisa? Au alikuwa anasoma kwa jazba ya kumnanga Magufuli? Au na yeye hajui Sokoine alifariki 1984 na si 1983?
 
Nachelea hata ya maana mengi aliyoandika yatakuwa dismissed.

Absalom Kibanda kaomba radhi jana kwamba alioewa kitabu akipitie kufanya proofreading akakaa nacho wiki moja, akakipitisha, lakini naona sasa kimechapishwa ndiyo anaona makosa kaomba radhi.

Ina maana hakuona kosa hili la wazi kabisa? Au hakusoma kabisa? Au alikuwa anasoma kwa jazba ya kumnanga Magufuli? Au na yeye hajui Sokoine alifariki 1984 na si 1983?
Kibanda na proofreaders wengine huenda walifanya 'skimming' tu walipokuwa wanapitia Ili kuwahi muda.
 
Swala sio kuwepo au kutokuwepo swala ni facts zako kuwa accurate hasa kwa kitu kama tarehe. It literally takes a sec to fact check that. Kwahiyo mwandishi kakosea, wahariri missed it na bado hiyo sio ishu? Kama jambo rahisi hivi wanakosea vp allegations alizotoa zisizo na proof hata moja tuwaamini tu sio?
Mkuu,

Wabongo wengi hawajali kitu kinaitwa attention to detail. Ndiyo maana wengine hatuelewani nao.

Yani suala la detail ambalo halina siasa kabisa, litaingizwa siasa.

Wanakosa kuelewa kuwa hapa kuna suala kubwa zaidi ya 1983 vs 1984.

Hapa kuna suala la editing, proofreading, accuracy.

Ukikosea mwaka aliofariki Sokoine, ukaandika 1983 badala ya 1984, mara mbili so we know it's not a typographical error, ukapeleka kitabu kwa publisher na kosa la mwaka, kuna mangapi mengine ambayo ni more nuanced hayako straightforward utakuwa umekosea?

Huna wahariri? Huna proofreaders?
 
Back
Top Bottom