Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Mkuu,
Wabongo wengi hawajali kitu kinaitwa attention to detail. Ndiyo maana wengine hatuelewani nao.
Yani suala la detail ambalo halina siasa kabisa, litaingizwa siasa.
Wanakosa kuelewa kuwa hapa kuna suala kubwa zaidi ya 1983 vs 1984.
Hapa kuna suala la editing, proofreading, accuracy.
Ukikosea mwaka aliofariki Sokoine, ukaandika 1983 badala ya 1984, mara mbili so we know it's not a typographical error, ukapeleka kitabu kwa publisher na kosa la mwaka, kuna mangapi mengine ambayo ni more nuanced hayako straightforward utakuwa umekosea?
Huna wahariri? Huna proofreaders?
I was giving Kabendera the benefit of the doubt ila kwa hili siwezi.