Kabendera, unakoseaje kwenye kitabu mwaka aliofariki Sokoine, tena mara mbili kwa mpigo?

..Magufuli alikuwa kichaa ndio maana unasikia na yeye alishiriki kuua kwa mikono yake.

..Mkapa, Kikwete, Samia, sio vichaa ndio maana husikii wameua kwa mikono yao.

..mkuu wa nchi kuua kwa mikono yake, wakati anaweza kutuma watu kumfanyia kazi hiyo, ndio ukichaa wenyewe.
Mkuu, kuna tofauti yoyote kati ya kutuma watu wakaue na kuua kwa mikono yako? Mbona kote matokeo ni kifo?
 
Yap ndo maana nikasema kama anaweza kukosea hivo hata main content yake inakosa justice maana watu wataamini vipi? Mbaya zaidi kasema hayo aliyoyaandika kasimuliwa na watu mbalimbali..
Ina maana kuna uongo mwingi "uongo ni kama mende, ukiona mmoja jua Kuna wengine.."
Kikubwa nachojua kabendera katumia vizuri "fursa"
🤣🤣🤣
 
Naam,

Mshua alikuwa balozi Italy, akamuomba Nyerere amrudishe Tanzania kwa sababu alikuwa mzalendo anataka kutumikia wananchi Tanzania.

Kuna siku Nyerere alikuwa anatembea ndanindani vijijini, akatania kuwa huku labda tunahitaji kuwapatia wakuu wa wilaya farasi ili wafike, magari hayafiki.

Nyerere was just joking.

Siku ya pili Sokoine akaitisha kikao cha kutafuta farasi haraka sana, kama alivyoagiza Nyerere.

Balozi Raphael Lukindo akawaasa kina Sokoine kuwa wasinunue farasi kwa pupa, wafanye uchunguzi vizuri kabla ya kununua farasi. Farasi wanataka matunzo na matayarisho, wakinunua kwa pupa, farasi wanaweza kukosa matunzo na kufa.

Sokoine akamu overrule balozi Lukindo kwa kumuambia lazima wafanye haraka kununua farasi.

Basi, Sokoine alikuwa senior kwa Balozi Lukindo. Wakanunua farasi haraka. Kutoka Argentina.

Kilichotokea ni kile kile alichotabiri Balozi Lukindo. Farasi wakafa.

Mzee mwingine aliyejua story za Sokoine alikuwa Mzee Accadoga Chiledi, huyu alikuwa muandishi wake.
Mzee lukindo kama alinilea aise utotoni kwenda kwake ilikiwa kawaida sana
Nakumbuka gari zake zote zilikuwa benz special order kutoka Germany ndani ya gari kuna mpaka majina yake
Benz zile nmeendesha sana
Kuna wakati nliendaga Japan kwa gia yake
Yule lukindo alikuwa na exposure ya kutosha alikuwa anajuwa kuvaa,alikuwa na suti ,viatu vikali sana
Alikuwa diplomatic bana alijuwa kuitendea hadhi yake akuongea hyo ngeli si mchezo
Kwa uzoefu wangu wa kukutana na viongozi wa zamani madiplomqtic ukufanananisha na sahv sahv nibuchafu tu walipokaji

Ova
 
Unajibu hoja ukiwa umejitoa akili kwa vile ulimchukulia Magufuli kama mungu wako, kumbe ulikuwa unamuabudu muuaji na mbakaji.

Kwa taarifa yako hata binti yake aliye commit suicide mwaka 2012 ilikuwa ni baada ya kubakwa na baba yake mzazi Magufuli. Binti alishindwa kuishi na ile trauma
Mengine sijui, lakini kilichomuua huyo bint, kwanza she didn't commit suicide died from known ailment.
 
Naelewa hilo,

Lakini kwa muandishi nguki this was such a basic thing. Na hapo kuna watu watachukua point za kuhoji credibility ya kitabu.

Mimi sijajitanabahisha kuwa muandishi nguli ninayeuza vitabu.

I expected a little better from someone who wrote for The Economist Intelligence Unit, The Guardian, The London Times, The East African etc.

The book was rushed to the printer without sufficient proofreading and fact checking. That is becoming apparent now.

Had it (the error) been once, I would have chalked it up to a typo, the error was made twice in two consecutive page. It seems that Kabendera thinks Sokoine died in 1983 and was going by what he had on his head, and nobody fact checked this.

Where were his proofreaders, fact checkers, editors?

Nyani Ngabu
Umeandika Nguki badala ya Nguli hiyo haondoi maana kwamba kabendera ni mwandiahi Nguli
 
Mkuu, kuna tofauti yoyote kati ya kutuma watu wakaue na kuua kwa mikono yako? Mbona kote matokeo ni kifo?

..kuna tofauti.

..sema umekataa tu kuiona.

..hivi anayekodi au kutuma watu kufanya mauaji, na anayeuwa kwa mikono yake, unaamini hawana tofauti ktk daraja la ukatili, na utimamu wa akili?

.
 
Disclaimer: This thread will contain some spoilers from the book ""In The Name Of The President: Memoirs Of A Jailed Journalist".

Naam,

Nasoma kitabu cha Erick Kabendera "In The Name Of The President: Memoirs Of A Jailed Journalist".

Kwa wanaonijua, mimi si mtetezi wa Magufuli, kwa hiyo uzi huu si wa kumtetea Magufuli.

Uzi huu ni wa kuhakiki kitabu. Kitabu kina mambo mengi sana ambayo yana utata, episodes za pajama, Osama kukaa Zanzibar, Magufuli kuwa responsible kwa mtoto wake kuwa na HIV, Magufuli kumpiga risasi Ben Saanane Ikulu, just to name a few.

Mimi sitayazungumzia yote hayo, nitazungumzia jambo moja tu ambalo halina utata.

Watu wote wanaojua historia wanajua Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine alifariki April 12 1984.

Imekuwa vipi Erick Kabendera kaandika tarehe hiyo kama April 12 1983? Tena nilivyoona mara moja tu, nikafikiri hiyo ni typographical error tu, nikakuta karudia mara mbili, katika kurasa mbili zinazofuatana (108 na 109 in the printed book). Inaonekana ndiyo tarehe anayoifahamu.

Kitabu hakikuwa na editor? Hakikuwa na proofreader?

Leo Clubhouse (Watanganyika House) nimemsikia Absalom Kibanda akiomba msamaha kuwa alipewa kitabu kukifanyia proofreading, lakini hakukipitia vizuri, aliharakisha kukipitia, kaona kina makosa fulani ambayo yatasahihishwa katika second edition.

Nimemsikia pia Zitto Kabwe akisema kuwa kuna tatizo la timeline katika narrative ya tukio fulani.

Replays zipo "Watanganyika" Clubhouse.

Na hao ndio wahusika wachache tu waliokuwa tayari kukiongelea kitabu.

Hili linanipa swali, kama kitabu kimekosea mpaka mwaka aliofariki Edward Moringe Sokoine, je, kitabu kimekuwa rushed, hakijafanyiwa proofreading vizuri?

As much as wengine hawakumpenda Magufuli, ku rush kitabu na kufanya makosa kunawapa wanaompenda Magufuli ammunition ya kudismiss mengi yaliyoandikwa kuwa ni ya uongo.

Kabendera muandishi mkubwa kashindwa ku fact check tarehe ya kifo cha Sokoine hata kwenye Google? Proofreaders wake na editor wameshindwa pia?

Kama hili lina mushkeli, hili lililo wazi ambalo halina utata kabisa, tunaachwa tukijiuliza, mangapi yenye utata mwingi yana mushkeli pia?

Kabendera has to get not only the general narrative right, but the detail too.

Hopefully the second edition will correct this and any other inaccuracy.

"Magufuli kuwa responsible kwa mtoto wake kuwa na HIV " ???!!

Kuna episode hiyo kwenye Kitabu husika?
 
Niwazi kuna namna
 
Umeandika Nguki badala ya Nguli hiyo haondoi maana kwamba kabendera ni mwandiahi Nguli
Apples to oranges. Non sequitur fallacy.

1. Mimi nimeandika post JF. Hiki si kitabu.

2. Mimi si muandishi nguli. Naharibu kika siku na nioe uhuru wa kuharibu hivyo, sijawahi kusema mimi ni world class journalist.

Kabendera kaharibu, arekebishe. Kubali tu.

It happens to the best writers. Kina Piketty wameandika "Capital In The 21st Century" wakaweka errata.

Msitake kumtetea sana Kabendera mpaka akakosa nafasi ya kujifunza umakini na kuboresha uandishi wake.

Kitabu chake kina joja za kuborwsha uongozi, itakuwa ajabu mkimkingia kifua kwenye habari za kuboresha uandishi wake yeye mwenyewe.

Mtakuwa hamjaelewa somo la immanent critique.
 
Disclaimer: This thread will contain some spoilers from the book ""In The Name Of The President: Memoirs Of A Jailed Journalist".

Naam,

Nasoma kitabu cha Erick Kabendera "In The Name Of The President: Memoirs Of A Jailed Journalist".

Kwa wanaonijua, mimi si mtetezi wa Magufuli, kwa hiyo uzi huu si wa kumtetea Magufuli.

Uzi huu ni wa kuhakiki kitabu. Kitabu kina mambo mengi sana ambayo yana utata, episodes za pajama, Osama kukaa Zanzibar, Magufuli kuwa responsible kwa mtoto wake kuwa na HIV, Magufuli kumpiga risasi Ben Saanane Ikulu, just to name a few.

Mimi sitayazungumzia yote hayo, nitazungumzia jambo moja tu ambalo halina utata.

Watu wote wanaojua historia wanajua Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine alifariki April 12 1984.

Imekuwa vipi Erick Kabendera kaandika tarehe hiyo kama April 12 1983? Tena nilivyoona mara moja tu, nikafikiri hiyo ni typographical error tu, nikakuta karudia mara mbili, katika kurasa mbili zinazofuatana (108 na 109 in the printed book). Inaonekana ndiyo tarehe anayoifahamu.

Kitabu hakikuwa na editor? Hakikuwa na proofreader?

Leo Clubhouse (Watanganyika House) nimemsikia Absalom Kibanda akiomba msamaha kuwa alipewa kitabu kukifanyia proofreading, lakini hakukipitia vizuri, aliharakisha kukipitia, kaona kina makosa fulani ambayo yatasahihishwa katika second edition.

Nimemsikia pia Zitto Kabwe akisema kuwa kuna tatizo la timeline katika narrative ya tukio fulani.

Replays zipo "Watanganyika" Clubhouse.

Na hao ndio wahusika wachache tu waliokuwa tayari kukiongelea kitabu.

Hili linanipa swali, kama kitabu kimekosea mpaka mwaka aliofariki Edward Moringe Sokoine, je, kitabu kimekuwa rushed, hakijafanyiwa proofreading vizuri?

As much as wengine hawakumpenda Magufuli, ku rush kitabu na kufanya makosa kunawapa wanaompenda Magufuli ammunition ya kudismiss mengi yaliyoandikwa kuwa ni ya uongo.

Kabendera muandishi mkubwa kashindwa ku fact check tarehe ya kifo cha Sokoine hata kwenye Google? Proofreaders wake na editor wameshindwa pia?

Kama hili lina mushkeli, hili lililo wazi ambalo halina utata kabisa, tunaachwa tukijiuliza, mangapi yenye utata mwingi yana mushkeli pia?

Kabendera has to get not only the general narrative right, but the detail too.

Hopefully the second edition will correct this and any other inaccuracy.
Typing errors tu hizo bado kitabu kinatija kisome kielewe, imekosewa biblia na msahafu itakuwa kitabu cha kabendera
 
Sijasema kitabu hakina tija.

Kwa nini tunapenda kufanya "all or nothing at all" false dichotomy fallacy?

Kwani kitabu hakiwezi kuwa na tija ya kusomwa, halafu pia Kabendera akawa kuna vitu kakosea, ka rush kuchapisha kitabu bila ku proofread vizuri?

Typing error inakuwa sehemu moja, hairudiwi.

Kabendera karudia kosa la kuandika mwaka 1983 badala ya 1984 mara mbili, ukurasa wa 108 na 109.

Hii si typing error, hii ni timeline error, lack of editing, lack of proofreading na kuna wengine wameingiza mpaka lack of credibility.
 
Ulivyosema,maana unaenda kwa mtu mwenye mme na walinzi
Sasa hapo sjui inakuwaje!
Mwandishi naona alihadisiwa ndivyo sivyo

Ova
Jamaa alitaka kuuza kitabu kwa umaarufu mwingi nankiki nyingi. Au, kwa makusudi amepotoshwa ili kitabu kizima kionekane fake news. Au alishauriwa akakaza shingo kwa sababu hao aliowapelekea wamefanya kazi ngapi za vitabu. Mbona watu vyuoni wanapitia thesis zinapahe 500 + ila unakuwa na editors wa2 au 3 inachukua miezi kadhaa lakini unapata kitu bora.
Nilisoma kazi ya Ben Carson, katk shukrani nyingi alizotoa ilikuwa ni editor wake mama mmoja hivi yaani alimsifu sana. Maana yake ni kuwa ktk publishing editor ndiye kiungo wa kila kitu. Anaibeba na kuibomoa kazi.
 
Mkuu,

Kifo cha Sokoine ni jambo la ku check dakika moja tu Google wala huhitaji research kubwa.

Hiyo habari ya hawa hawakuwepo ndiyo ingewafanya wahakiki mambo kwa umakini zaidi. Maana hawakuwepo.

Mimi nilifikiri tunataka kuweka standard kubwa zaidi, kumbe tunatetea makosa kwa sababu yamefanywa na mtu fulani tunayempenda?

Sasa hapo si ndiyo tunajenga utamaduni wa kutokuwa na accountability unaopelekea tuishie kule kule kwa kina Magufuli tunaowasema?
Kweli, la muhimu ni akina Magufuli na Samia na pyjama zao ikulu, tusikwepeshe tunataka kujua ilikuwaje na hapo Kabendera ndio anakuwa habari kubwa na tunamsifu kwa ujasiri mkubwa.
 
Back
Top Bottom