Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
- Thread starter
- #121
Mkuu,Naunga mkono hoja, sometimes, even the greatest magicians runs out of tricks!, kwa level ya ubobezi wa EK, no proof reader would have doubted the dates!.
P
Kuna matatizo hapa.
1. Inaonekana Kabendera kaandika akiwa nje na kategemea sana editors na proofreaders wa nje kwa muda mrefu. Hawa wamekuwa wazuri sana kumsaidia kunyoosha Kiingereza, lakini mambo ya Tanzania hawajui. Nimeona kuna sehemu jina la jaji Mnzavas limeandikwa Mnavas. Hapo inaonekana waliopitia wengi ni watu wa nje ambao hawajui tarehe ya kufariki Sokoine wala spellings za jina la Jaji Mnzavas.
2. Labda kwa sababu ya sensitivity ya kitabu, inaonekana proofreaders wa Tanzania wametumiwa kitabu mwishoni kabisa. Absalom Kibanda kasema alikuwa na muda mfupi sana wa kukipitia kitabu na kuna makosa kaya miss.
3. Kabendera ana umri gani? Mbona hii tarehe ya kufariki Sokoine tuliimba sana Tanzania
"kumi na mbili tarehe, Aprili nane nne, ilikuwa si sherehe, kufariki Sokoine".
Hawa kina Kabendera na Kibanda ni wadogo sana hawakuwepo siku zile? If so, that is even more reason to double check dates. They are supposed to be top notch journalists.