Kabendera, unakoseaje kwenye kitabu mwaka aliofariki Sokoine, tena mara mbili kwa mpigo?

Mkuu, kuna tofauti yoyote kati ya kutuma watu wakaue na kuua kwa mikono yako? Mbona kote matokeo ni kifo?
 
🤣🤣🤣
 
Mzee lukindo kama alinilea aise utotoni kwenda kwake ilikiwa kawaida sana
Nakumbuka gari zake zote zilikuwa benz special order kutoka Germany ndani ya gari kuna mpaka majina yake
Benz zile nmeendesha sana
Kuna wakati nliendaga Japan kwa gia yake
Yule lukindo alikuwa na exposure ya kutosha alikuwa anajuwa kuvaa,alikuwa na suti ,viatu vikali sana
Alikuwa diplomatic bana alijuwa kuitendea hadhi yake akuongea hyo ngeli si mchezo
Kwa uzoefu wangu wa kukutana na viongozi wa zamani madiplomqtic ukufanananisha na sahv sahv nibuchafu tu walipokaji

Ova
 
Mengine sijui, lakini kilichomuua huyo bint, kwanza she didn't commit suicide died from known ailment.
 
Umeandika Nguki badala ya Nguli hiyo haondoi maana kwamba kabendera ni mwandiahi Nguli
 
Mkuu, kuna tofauti yoyote kati ya kutuma watu wakaue na kuua kwa mikono yako? Mbona kote matokeo ni kifo?

..kuna tofauti.

..sema umekataa tu kuiona.

..hivi anayekodi au kutuma watu kufanya mauaji, na anayeuwa kwa mikono yake, unaamini hawana tofauti ktk daraja la ukatili, na utimamu wa akili?

.
 

"Magufuli kuwa responsible kwa mtoto wake kuwa na HIV " ???!!

Kuna episode hiyo kwenye Kitabu husika?
 
Niwazi kuna namna
 
Umeandika Nguki badala ya Nguli hiyo haondoi maana kwamba kabendera ni mwandiahi Nguli
Apples to oranges. Non sequitur fallacy.

1. Mimi nimeandika post JF. Hiki si kitabu.

2. Mimi si muandishi nguli. Naharibu kika siku na nioe uhuru wa kuharibu hivyo, sijawahi kusema mimi ni world class journalist.

Kabendera kaharibu, arekebishe. Kubali tu.

It happens to the best writers. Kina Piketty wameandika "Capital In The 21st Century" wakaweka errata.

Msitake kumtetea sana Kabendera mpaka akakosa nafasi ya kujifunza umakini na kuboresha uandishi wake.

Kitabu chake kina joja za kuborwsha uongozi, itakuwa ajabu mkimkingia kifua kwenye habari za kuboresha uandishi wake yeye mwenyewe.

Mtakuwa hamjaelewa somo la immanent critique.
 
Typing errors tu hizo bado kitabu kinatija kisome kielewe, imekosewa biblia na msahafu itakuwa kitabu cha kabendera
 
Typing errors tu hizo bado kitabu kinatija kisome kielewe, imekosewa biblia na msahafu itakuwa kitabu cha kabendera
Sijasema kitabu hakina tija.

Kwa nini tunapenda kufanya "all or nothing at all" false dichotomy fallacy?

Kwani kitabu hakiwezi kuwa na tija ya kusomwa, halafu pia Kabendera akawa kuna vitu kakosea, ka rush kuchapisha kitabu bila ku proofread vizuri?

Typing error inakuwa sehemu moja, hairudiwi.

Kabendera karudia kosa la kuandika mwaka 1983 badala ya 1984 mara mbili, ukurasa wa 108 na 109.

Hii si typing error, hii ni timeline error, lack of editing, lack of proofreading na kuna wengine wameingiza mpaka lack of credibility.
 
Ulivyosema,maana unaenda kwa mtu mwenye mme na walinzi
Sasa hapo sjui inakuwaje!
Mwandishi naona alihadisiwa ndivyo sivyo

Ova
Jamaa alitaka kuuza kitabu kwa umaarufu mwingi nankiki nyingi. Au, kwa makusudi amepotoshwa ili kitabu kizima kionekane fake news. Au alishauriwa akakaza shingo kwa sababu hao aliowapelekea wamefanya kazi ngapi za vitabu. Mbona watu vyuoni wanapitia thesis zinapahe 500 + ila unakuwa na editors wa2 au 3 inachukua miezi kadhaa lakini unapata kitu bora.
Nilisoma kazi ya Ben Carson, katk shukrani nyingi alizotoa ilikuwa ni editor wake mama mmoja hivi yaani alimsifu sana. Maana yake ni kuwa ktk publishing editor ndiye kiungo wa kila kitu. Anaibeba na kuibomoa kazi.
 
Kweli, la muhimu ni akina Magufuli na Samia na pyjama zao ikulu, tusikwepeshe tunataka kujua ilikuwaje na hapo Kabendera ndio anakuwa habari kubwa na tunamsifu kwa ujasiri mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…